Uislam ndio dini pekee ambayo wanawake huvaa kwa kujisitiri kama Bikira Maria, Wakristo wengi wapo NUSU UCHI

Uislam ndio dini pekee ambayo wanawake huvaa kwa kujisitiri kama Bikira Maria, Wakristo wengi wapo NUSU UCHI

Ko we jamaa

Kwamba we jamaa unamjua kila mtu hii bongo au mtu akivaa uchi unajuaje ni mkristo au mwislam.
Mavazi ni ishu personal usilaumu dini laumu watu kwa kukengeuka amna dini inasema vaa uchi mkuu.
Watu wanavaa majuba tunaomba namba na mbunye wanatoa ivo ni ishu binafsi watu kukengeuka usiingize dini mkuu.
Thailand wanamiji kama pattaya na phukhet huko umalaya umehalalishwa na serikali wanavaa chupi tu kwa ajili ya kuvutia watalii, je mbona wao si wakristo, kumbuka kila mtu atakufa na mzigo wake hii dunia saiv pambana na yako.
Ukristo na uislam unasisitiza kuvaa kwa kujisitiri na ndio maana nimesema mwanzoni mstari wa kwanza hapo zamani wakristo walikuwa wanajisitiri na huo ndio ukrist.

Sikuhizi makanisa ambayo yanategemewa kuonyesha njia na kutunza desturi yamekaa kimya au kuruhusu waumini kuvaa wanavyotaka, kwa hio waumini wanaona ni sawa kabisa na watakwambia "viongozi wetu hawana shida wamaesema kinachoangaliwa ni roho sio mavazi".

Kwa uislam hali ipo tofauti, wanawake wanaendelea wanasisitizwa kuvaa kwa kujisitiri na kutambua ni kosa wanapovaa mavazi yasiyowastiri.

Kwa wakristo makanisani ni kawaida kukuta binti kavaa kisketi kifupi anaingia chumbani kuombewa na mchungaji, akikaa kisketi kinapanda juu zaidi mchungaji anaona kila kitu na wala hakemei.
 
Cha msingi hapo kupokea wazi Lake, unakuta amekaa na kuwa a hata kushirikisha ndugu zake pia. Nao wameongezea nyama
 
Nusu uchi

Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, matiti, hips, sehemu za siri
Lakini wakifunua hizo nguo hawajatobolewa?

Punguzeni kuhukumu,ungekuwa Mungu nina uhakika wakristo ungetufuta duniani...dini tumeletewa lakini tumekuwa wajuaji kuliko waliozileta🚮
 
Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi

View attachment 3444498

Haya ni mavazi ya wanawake kiislam

View attachment 3444544

View attachment 3444500

Kwa Wakristo, hali huwa tofauti, hapo zamani walivaa kwa kujisitiri ila siku hizi hata mwanamke avae nusu uchi kama kahaba atawanukuu viongozi wake wa kanisani "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi", Mwanaume anaweza kuwa na mama yake, dada au mtoto wake wa kike kavaa kimini au kigauni kifupi mapaja yapo wazi na akikaa nguo inapanda zaidi kama hajavaa nguo ya ndani utaona kila kitu, kuna nguo zinazobana kama taiti au jeans inayochoresha maumbo ya mwili kama makalio, hips na mapaja, Nguo zinazopasuliwa kifuani kuonyesha kwa makusudi matiti.


View attachment 3444551

View attachment 3444548

View attachment 3444584


View attachment 3444547
Maria siyo Bikra, aliendelea kuzaa watoto.
 
Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi

View attachment 3444498

Haya ni mavazi ya wanawake kiislam

View attachment 3444544

View attachment 3444500

Kwa Wakristo, hali huwa tofauti, hapo zamani walivaa kwa kujisitiri ila siku hizi hata mwanamke avae nusu uchi kama kahaba atawanukuu viongozi wake wa kanisani "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi", Mwanaume anaweza kuwa na mama yake, dada au mtoto wake wa kike kavaa kimini au kigauni kifupi mapaja yapo wazi na akikaa nguo inapanda zaidi kama hajavaa nguo ya ndani utaona kila kitu, kuna nguo zinazobana kama taiti au jeans inayochoresha maumbo ya mwili kama makalio, hips na mapaja, Nguo zinazopasuliwa kifuani kuonyesha kwa makusudi matiti.


View attachment 3444551

View attachment 3444548

View attachment 3444584


View attachment 3444547
Sawa Maana matendo ya Mwili si tiketi ya Mbinguni bali Wokovu kupitia YESU kristo
 
umeshazoea kuona mapaja ya mama yako na dada yako,
Wewe,unakoelekea unachanganyikiwa...mama wa watu kaingiaje hapo? Je huwezi malizana na aliyekuquote bila kuhusisha wazazi wake? Ok,tuseme sawa tunaungana na kauli yako...lakini je,tofauti ya wazazi wake na wako iko wapi....wewe hukupita palepale alipolalwa mzazi mkristo? Udini,udini mkuu 🚮
 
Mavazi rasmi ya wanawake wa kiislam ni yanayostiri kama hijab na abaya.

wanawake wa kiislam wanaovaa nje ya mavazi yaliyoruhusiwa hairuhusiwi, ni maamuzi yao nje ya dini.
Hayo mavazi zamani ndiyo yalikuwa ya makahaba. Nyakati zinabadilika. Hata hivyo Mungu hana dini.
 
Umemjibu sahihi, ndiyo wanaofunga makanisa ili wabaki wao pekee kuabudu
Nenda kwa shehe au ustadh mwambie kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa, atayalaani

Nenda kwa mchungaji mwambie kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa atakwambia kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, itafika muda watu wanaenda makanisani na Bikini
 
Nenda kwa shehe au ustadh mwambie kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa, atayalaani

Nenda kwa mchungai mwambi kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa atakwambia kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, itafika muda watu wanaenda makanisani na Bikini
Lakini si ni Islamic na anavaa vibaya....je,tuwajudge wazazi wa kiislamu wote kwa kushindwa kulea watoto wao wa kike?
Hivyo na Christian usiwahukumu maana hairuhusiwi kuvaa hovyo ila walikengeuka huvaa mkuu
 
sawa wewe una IQ kubwa, umeshazoea kuona mapaja ya mama yako na dada yako, ukikaa na mtoto wako wa kike kavaa kimini akikaa ushazoea kuona vingi zaidi, HIGH IQ
Endelea kutukana Dini ishakuharibu Akili
 
Kuna vitu huwa mnachanganya sana kuna UISLAMU na Tamaduni ,a kiarabu hivi ni vitu viwili tofauti kuna nchi ambazo tunaamini zina waarabu wengi hasa huko Africa Kaskazin ila hata kuvaa hivyo hawavai mkuu
 
Lakini si ni Islamic na anavaa vibaya....je,tuwajudge wazazi wa kiislamu wote kwa kushindwa kulea watoto wao wa kike?
Hivyo na Christian usiwahukumu maana hairuhusiwi kuvaa hovyo ila walikengeuka huvaa mkuu
Kama huwezi kujua utofauti wa mwalimu anaekiri mwanafunzi ana kosa inabidi arejee njia sahihi na mwalimu anaeona mwanafunzi ana kosa lakini ana mtetea aendelee kukosea basi una safari ndefu
 
Budha alipoona kwamba akila wali na kutumia madawa ya kulevya anawaza vizuri basi akatamani kila mmoja aishi kama yeye ili wafikiri sawa,
Hana tofauti na yule jamaa wa juu ambae hakutamani mke wake atamaniwe na vijakazi wake, hivyo akaamua kuwa mke wake anapokutana na hawa vijakazi basi alipaswa kujisitiri, ili wasiweze kummezea mate, lakini pia alipenda na yeye asimeze mate Kwa wanawake wengine, hisia iliyozaa haya yote ni hisia ya wivu ambayo hupelekea machukizo, lakini leo kwenye macho na masikio yetu linakuja kama jambo zuri ambalo kila mmoja wetu anapaswa kuliheshimu,

Wanyama hasa wanaosimama Kwa miguu miwili hupenda sana maigizo,
 
Tofauti ni kwamba kwenye ukristo viongozi wa makanisa wameyakalia kimya au kuyaruhusu kwa msemo maarufu "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi",

Matokeo yake waumini wanaona ni sawa kuvaa kuvaa vimini na kuacha mapaja wazi, kuvaa vitopu vinavyoachia matiti wazi, kuvaa taiti zinazochoresha makalio, n.k.
Kuna viongozi wa dini moja wamevikalia kimya vigodoro!
 
Back
Top Bottom