camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Ndiyo maana nikakwambia unasoma document kwa lengo la.kutafuta legitimacy ya existance yako over others.Wewe nimegundua hata lugha inakupiga chenga na huwezi ku comprehend (kusoma na kuelewa)
Kwa urahisi kama huwezi kusoma chanzo nilichokuwekea direct kutoka Vatican fatilia source za kiswahili
Matamko ya mwaka juzi hayo mpaka leo hujui kinachoendelea, Haibooo!!
Nipe dondoo fiducia supplicans inasemaje?
Ni kweli sijui kizungu kama wewe nataka unipe mwanga!