blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,774
- 9,913
Waislam wengi wapo kimwili zaidi tofauti na wakristo huko walishahama kitambo sana mambo ya Mungu ni yakiroho siyo ya kimwili. Waislam wanafukika mwili vizuri lakini matendo yao ni machafu mfano kama kiongozi wetu kutwa kajistiri vizur lakini angalia matendo yake watu wanauliwa na wengine kubambikiwa makesi yeye hana habari unasikia kifo ni kifo tu.