Hakuna mkristo anaetembea uchi huyo hajawwahi kuwa mkristo,.
Nusu uchiHakuna mkristo anaetembea uchi huyo hajawwahi kuwa mkristo,.
Alafu unatakiwa ujue kutofautisha kati ya mkristo na mshirika wa dhehebu
Nusu uchi
Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za si
Usidanganyike hakuna kitu kinaitwa nusu uchi.Nusu uchi
Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za siri
Dada yako huyu amevaa vizuri kabisa, ana vibe kama lote ukumbiniWakristo wengi wanavaa Nusu uchi - Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za siri (Suruali, Sketi fupi, pedo, vitop, magauni yanayobana, n.k.)
Ni kwasababu umeshazoea kukaa na watoto wako wa kike, dada zako hata mama yako wamevaa vimini na taiti unaona sawa tu kuyaona mapaja yao, shape za makalio yao, n.k.Usidanganyike hakuna kitu kinaitwa nusu uchi.
Kuna kujisitiri na kuna uchi.
Kama ujajisitiri upo uchi, hatakama ni paja tu linaonekana ama makalio ndani ya suruali
Kila mwanaume anaemtazama mwanamke kwa kumtamani tu amekwisha kuzini nae.
Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi (Sura imewekwa tu)
View attachment 3444498
Haya ni mavazi ya wanawake kiislam
View attachment 3444544
View attachment 3444500
Wakristo wengi wanavaa Nusu uchi - Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za siri (Suruali, Sketi fupi, pedo, vitop, magauni yanayobana, n.k.)
View attachment 3444551
View attachment 3444548
View attachment 3444547
Sawa mkuu, endelea kuangalia mapaja ya mama yako, dada zako au watoto zako wako wa kike mkiwa sebuleni wamevaa viminiMavazi hayatampeleka mtu mbinguni ila matendo yake
Mavazi rasmi ya wanawake wa kiislam ni yanayostiri kama hijab na abaya.Lakini haya mambo si inategemea tu na mtu?
We umejuaje kuwa huyo aliyevaa kilemba na gauni ni Muislamu na huyo mwingine ni Mkristo?
Wale waarabu wanaocheza na vigwaya tu, chupi na vishanga vya kuning'inia, hawa ukiwahukumu moja kwa moja, unaweza kueleweka; wanaishi kwenye Shariah hawa.
Basi kata uzi halafu kalaleHuyu ni Bikira Maria kwa mavazi
View attachment 3444498
Haya ni mavazi ya wanawake kiislam
View attachment 3444544
View attachment 3444500
Kwa Wakristo, hali huwa tofauti. Mtu anaweza kuwa na mama yake, dada zake au watoto wake wa kike waliovaa mavazi mafupi kama vile vimini au vigauni vifupi zinazoacha mapaja wazi, nguo zinazobana kama taiti au jeans zinazoonyesha maumbo ya mwili kama vile makalio, nyonga, hips na mapaja,
View attachment 3444551
View attachment 3444548
View attachment 3444547
Kwahiyo akina zuchu nao ni wakristo?Nusu uchi
Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, hips, sehemu za siri