Uislam ndio dini pekee ambayo wanawake huvaa kwa kujisitiri kama Bikira Maria, Wakristo wengi wapo NUSU UCHI

Ndiyo maana nikakwambia unasoma document kwa lengo la.kutafuta legitimacy ya existance yako over others.
Nipe dondoo fiducia supplicans inasemaje?
Ni kweli sijui kizungu kama wewe nataka unipe mwanga!
 
Ndiyo maana nikakwambia unasoma document kwa lengo la.kutafuta legitimacy ya existance yako over others.
Nipe dondoo fiducia supplicans inasemaje?
Ni kweli sijui kizungu kama wewe nataka unipe mwanga!
Tumia google translate au utumie google kutafuta wachambuzi wa kiswahili

Halafu punguza ubishi usio na faida, ulikua unaomba Fiducia supplicans wakati unajijua lugha inakupiga chenga
 
Umeshasema mababu zetu, hao hawakuwa na dini zinazoongelewa hapa,

Mwambie mama yako au dada yako avue nguo atembee uchi mbele yako kama unaona kawaida
Yaan Mwili una viungo viiiiiingi ila we uchi ndo umeona ndo wa muhimu sana Jomba!!

Tatizo kuto kusoma elimu ya duniani ndomana hata kitabu tukufu vya maana mmeona ni ngono tu sijui mabikira 72 wenye macho kama…… nyambaf!!

Yaan Mtume alipigana mpaka na malaika ili kuandika maneno ya kheri ila kwenye maneno zaidi ya Mamilioni mmeamua kuchagua machache yanayoendana na Tamaa zenu za Mwili..

Binadamu ni zaidi ya Mwili.. vya mwilini huviwezi maana vina ukomo na madhaifu, ndomana wenzako wanaokolewa kwa Neema.. Yaan ivyo ivyo na dhambi zako na udhaifu wako ukiamua kuitafuta kweli na kuepuka vinavyoepukika Mbigu unaiona.. bila kuchinja wala kubonda makafiri mawe.. kuua wasio vaa hijabu pamoja na kutokaa na wanaokula baadhi ya vyakula.. Mungu sio wa Mwilini Mkuu!!
 
Tumia google translate au utumie google kutafuta wachambuzi wa kiswahili

Halafu punguza ubishi usio na faida, ulikua unaomba Fiducia supplicans wakati unajijua lugha inakupiga chenga
Sikakuomba fiducia supplicans nimekuuliza kama unaifahamu! Wewe ukakurupuka ukaidownload ukaituma hata bila kuisoma na mimi nilitaka unipe dondoo nikiwa najua wazi hujaisoma.
Ni wapi nimekuomba hiyo document.
?
Usikurupuke kijana mimi nimeisoma na kuielewa ndo maana nikakuuliza pale kwenye muktadha wa ushoga nani anabarikiwa?
Shoga kama mdhambi anayehitaji toba au mashoga kama muungano wa mume na mke?.
Sasa naomba nikuulize swali la kizushi,kwenye uislam mashoga wakifa huwa hawaswaliwi?Na kama wanaswaliwa kwa nini huku kwingine nako wasipate huduma za kiroho kwa msamaha wa dhambi? Kuna sheria katika uislam inayomzuia shoga kuswali msikitini?
Naomba nifahamishwe!
 
Nilishakwambia kama kwako uchi ni wa kawaida mwambie mama yako au dada yako avue nguo muwe mnapishana koridoni uchi
 
Nilishakwambia kama kwako uchi ni wa kawaida mwambie mama yako au dada yako avue nguo muwe mnapishana koridoni uchi
Endelea kukaza fuvu, unatumia akili kubwa na muda mwingi kwenye vitu vidogo visivyo na msingi

Sijui kama wazungu wangekua wanapoteza muda na mambo ya kiarabu leo tungekua tunabishana kwa namna gani… maana hao wavaa uchi na mashoga ndo tunawategemea kwa kila kitu.. wale wenye utamaduni safi chao ni chao wakiwa nacho kukupa mpaka uwe kama wao.. na walicho nacho hakuna hata kimoja kilicho chao cha asili.. vyote wameiga kwa mashoga na wavaa uchi.. naskia hata Dini hii ilianzia kwao.. mambo ya kopi, pesti and editing
 
Dah nimesikitika sana, nina wasi wasi upo tayari kutoa #$% kisa tu unasaidiwa. Kumtegemea mtu haimaanishi ufuate kila kitu anachofanya. AMKA uwe unajiongeza mkuu !!
 
Ujue kuna ukristo nq umagharibi, wengi wanafuata umagharibi , ukristo haujamruhusu mwanamke kutembea uchi
 
Ujue kuna ukristo nq umagharibi, wengi wanafuata umagharibi , ukristo haujamruhusu mwanamke kutembea uchi
Ni kweli lakini sehemu kubwa ya wakristo wapo kwenye makanisa yanayoruhusu au kutokemea kuvaa hivyo

Makanisa yanayotakiwa kuwa kama mchungaji anaechunga kondoo (waumini) yanapokuwa kimya, kondoo huona ni sawa
 
🤣🤣🤣 na wale ambao wanakodi coaster wanatingisha makalio dirishani kwenye harusi za kiislamu huwa wanasitiri nini?
 
🤣🤣🤣 na wale ambao wanakodi coaster wanatingisha makalio dirishani kwenye harusi za kiislamu huwa wanasitiri nini?
Ni sawa na mkristo anaekwenda kwa mganga wa kienyeji kuabudu majini, jambo hilo sio sawa
 
Mavazi rasmi ya wanawake wa kiislam ni yanayostiri kama hijab na abaya.

wanawake wa kiislam wanaovaa nje ya mavazi yaliyoruhusiwa hairuhusiwi, ni maamuzi yao nje ya dini.
Mavazi rasmi ya waarabu una maanisha?
 
Mavazi yoyote yanayostiri
No, namaanisha...kama uislamu ulianza baada ya Mudy kufikisha miaka 40 duniani, mavazi ya akina Sikujua yalikuaje huku?

Yaani, kabla ya biashara ya watumwa na utawala wa sultani, mavazi yalikuwa ni yapi?
 
Kabla ya biashara ya utumwa ambayo sisi wenyewe waafrika tulikuwa vinara wa kuuzana kwa wazungu na waarabu, mavazi yalikuwa ni magamba ya miti, vibuyu, ngozi, n.k. bila kujali ustiri.

Dini za ukristo na uislam zimesaidi kujistiri kupitia maandiko (kujiziba sehemu za siri, wanawake kuziba matiti, mapaja, n.k)

lakini sikuhizi wakristo wanafuata sana umagharibi kuliko maandiko ya kuvaa kwa kujistiri.

Kwahiyo unasema hizo dini zikitokea magharibi na mashariki ndio msingi wa mavazi sio?

Baada ya hapo, unasema tuache kuvaa kulingana na hao wa kimagharibi na kimashariki sio?

Wamagharibi, wana evelve na mavazi yao, elimu na mtindo wa maisha yao...tunaoenda kuwafuata kwaajili ya elimu, teknolojia etc, hatuoni shida yoyote kuiga kama tulivyoiga dini zao.

Wamashariki, kadhalika, wanajifunika dhidi ya vumbi la jangwani, kisha wakaendelea na utamaduni wao kwa jinsi iwapendezavyo...nasi tunaiga.

Hawa wanakula mdudu, nasi tunakula...wale hawana mdudu wala ng'ombe, wanakula ngamia na maziwa yake, sisi pia tunakula ngamia hata kama sio mnyama anayepatikana kwa wingi.

Ndio hivyo.
 
Mavazi rasmi ya wanawake wa kiislam ni yanayostiri kama hijab na abaya.

wanawake wa kiislam wanaovaa nje ya mavazi yaliyoruhusiwa hairuhusiwi, ni maamuzi yao nje ya dini.
Hata kwenye ukristo ndo hivyo nashindwa kumuelewa mtoa mada, amna sehem ukristo unasema watu wavae uchi ni maamuzi ya watu.
 
Hata kwenye ukristo ndo hivyo nashindwa kumuelewa mtoa mada, amna sehem ukristo unasema watu wavae uchi ni maamuzi ya watu.
Tofauti ni kwamba kwenye ukristo viongozi wa makanisa wameyakalia kimya au kuyaruhusu kwa msemo maarufu "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi",

Matokeo yake waumini wanaona ni sawa kuvaa kuvaa vimini na kuacha mapaja wazi, kuvaa vitopu vinavyoachia matiti wazi, kuvaa taiti zinazochoresha makalio, n.k.
 
Ko we jamaa
Kwamba we jamaa unamjua kila mtu hii bongo au mtu akivaa uchi unajuaje ni mkristo au mwislam.
Mavazi ni ishu personal usilaumu dini laumu watu kwa kukengeuka amna dini inasema vaa uchi mkuu.
Watu wanavaa majuba tunaomba namba na mbunye wanatoa ivo ni ishu binafsi watu kukengeuka usiingize dini mkuu.
Thailand wanamiji kama pattaya na phukhet huko umalaya umehalalishwa na serikali wanavaa chupi tu kwa ajili ya kuvutia watalii, je mbona wao si wakristo, kumbuka kila mtu atakufa na mzigo wake hii dunia saiv pambana na yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…