Ukristo na uislam unasisitiza kuvaa kwa kujisitiri na ndio maana nimesema mwanzoni mstari wa kwanza hapo zamani wakristo walikuwa wanajisitiri na huo ndio ukrist.Ko we jamaa
Kwamba we jamaa unamjua kila mtu hii bongo au mtu akivaa uchi unajuaje ni mkristo au mwislam.
Mavazi ni ishu personal usilaumu dini laumu watu kwa kukengeuka amna dini inasema vaa uchi mkuu.
Watu wanavaa majuba tunaomba namba na mbunye wanatoa ivo ni ishu binafsi watu kukengeuka usiingize dini mkuu.
Thailand wanamiji kama pattaya na phukhet huko umalaya umehalalishwa na serikali wanavaa chupi tu kwa ajili ya kuvutia watalii, je mbona wao si wakristo, kumbuka kila mtu atakufa na mzigo wake hii dunia saiv pambana na yako.
Hii sijaelewa fafanuaTatizo wanakuwaga na tundu moja liko wazi sana kwa sababu ya Sunna
sawa wewe una IQ kubwa, umeshazoea kuona mapaja ya mama yako na dada yako, ukikaa na mtoto wako wa kike kavaa kimini akikaa ushazoea kuona vingi zaidi, HIGH IQUdini ni low IQ
Lakini wakifunua hizo nguo hawajatobolewa?Nusu uchi
Mavazi yanayochoresha au kuonyesha makalio, mapaja, matiti, hips, sehemu za siri
Maria siyo Bikra, aliendelea kuzaa watoto.Huyu ni Bikira Maria kwa mavazi
View attachment 3444498
Haya ni mavazi ya wanawake kiislam
View attachment 3444544
View attachment 3444500
Kwa Wakristo, hali huwa tofauti, hapo zamani walivaa kwa kujisitiri ila siku hizi hata mwanamke avae nusu uchi kama kahaba atawanukuu viongozi wake wa kanisani "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi", Mwanaume anaweza kuwa na mama yake, dada au mtoto wake wa kike kavaa kimini au kigauni kifupi mapaja yapo wazi na akikaa nguo inapanda zaidi kama hajavaa nguo ya ndani utaona kila kitu, kuna nguo zinazobana kama taiti au jeans inayochoresha maumbo ya mwili kama makalio, hips na mapaja, Nguo zinazopasuliwa kifuani kuonyesha kwa makusudi matiti.
View attachment 3444551
View attachment 3444548
View attachment 3444584
View attachment 3444547
Sawa Maana matendo ya Mwili si tiketi ya Mbinguni bali Wokovu kupitia YESU kristoHuyu ni Bikira Maria kwa mavazi
View attachment 3444498
Haya ni mavazi ya wanawake kiislam
View attachment 3444544
View attachment 3444500
Kwa Wakristo, hali huwa tofauti, hapo zamani walivaa kwa kujisitiri ila siku hizi hata mwanamke avae nusu uchi kama kahaba atawanukuu viongozi wake wa kanisani "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi", Mwanaume anaweza kuwa na mama yake, dada au mtoto wake wa kike kavaa kimini au kigauni kifupi mapaja yapo wazi na akikaa nguo inapanda zaidi kama hajavaa nguo ya ndani utaona kila kitu, kuna nguo zinazobana kama taiti au jeans inayochoresha maumbo ya mwili kama makalio, hips na mapaja, Nguo zinazopasuliwa kifuani kuonyesha kwa makusudi matiti.
View attachment 3444551
View attachment 3444548
View attachment 3444584
View attachment 3444547
Wewe,unakoelekea unachanganyikiwa...mama wa watu kaingiaje hapo? Je huwezi malizana na aliyekuquote bila kuhusisha wazazi wake? Ok,tuseme sawa tunaungana na kauli yako...lakini je,tofauti ya wazazi wake na wako iko wapi....wewe hukupita palepale alipolalwa mzazi mkristo? Udini,udini mkuu 🚮umeshazoea kuona mapaja ya mama yako na dada yako,
Umemjibu sahihi, ndiyo wanaofunga makanisa ili wabaki wao pekee kuabuduKwahiyo akina zuchu nao ni wakristo?
Pumbavu.
Hayo mavazi zamani ndiyo yalikuwa ya makahaba. Nyakati zinabadilika. Hata hivyo Mungu hana dini.Mavazi rasmi ya wanawake wa kiislam ni yanayostiri kama hijab na abaya.
wanawake wa kiislam wanaovaa nje ya mavazi yaliyoruhusiwa hairuhusiwi, ni maamuzi yao nje ya dini.
Nenda kwa shehe au ustadh mwambie kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa, atayalaaniUmemjibu sahihi, ndiyo wanaofunga makanisa ili wabaki wao pekee kuabudu
Lakini si ni Islamic na anavaa vibaya....je,tuwajudge wazazi wa kiislamu wote kwa kushindwa kulea watoto wao wa kike?Nenda kwa shehe au ustadh mwambie kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa, atayalaani
Nenda kwa mchungai mwambi kama mavazi ya zuchu yanaruhusiwa atakwambia kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, itafika muda watu wanaenda makanisani na Bikini
Endelea kutukana Dini ishakuharibu Akilisawa wewe una IQ kubwa, umeshazoea kuona mapaja ya mama yako na dada yako, ukikaa na mtoto wako wa kike kavaa kimini akikaa ushazoea kuona vingi zaidi, HIGH IQ
Kama huwezi kujua utofauti wa mwalimu anaekiri mwanafunzi ana kosa inabidi arejee njia sahihi na mwalimu anaeona mwanafunzi ana kosa lakini ana mtetea aendelee kukosea basi una safari ndefuLakini si ni Islamic na anavaa vibaya....je,tuwajudge wazazi wa kiislamu wote kwa kushindwa kulea watoto wao wa kike?
Hivyo na Christian usiwahukumu maana hairuhusiwi kuvaa hovyo ila walikengeuka huvaa mkuu
Kuna viongozi wa dini moja wamevikalia kimya vigodoro!Tofauti ni kwamba kwenye ukristo viongozi wa makanisa wameyakalia kimya au kuyaruhusu kwa msemo maarufu "kinachoangaliwa ni roho sio mavazi",
Matokeo yake waumini wanaona ni sawa kuvaa kuvaa vimini na kuacha mapaja wazi, kuvaa vitopu vinavyoachia matiti wazi, kuvaa taiti zinazochoresha makalio, n.k.