Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachekea nini? Kati ya wewe ambae Zanzibar unayochekea umeiona kwenye barua na yule ambae ndio yuko Zanzibar na inamuhusu.. nani anachekesha hapo!?Nimeona barua fulani Zanzibar nikacheka sana maana binadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa na ufahamu wa nini tunaabudu. Kweli binadamu ambaye maisha yake ni kama upepo muda wowote yanapeperuka anajigeuza Mungu kuwahukumu wengine dhambi eti kisa amekula maajabu kabisa
Utukufu ni thamani.Kuna tofauti ya kimaana kati ya mtukufu na mtakatifu?
Shukran mkuu.Mashallah!. Ubarikiwe sana kwa andiko Maridadi mno.
Kufunga ni swala la kiimani zaidi. Najua fika kuna waisilamu wanajidai kuwa kwenye funga huku wanakula mafichoni.
Nadhani hao ndiyo wanaoshindwa kuhmili wakiwaona Makafiri au makundi yaliyoruhusiwa wakipata mlo.
Isute nafsi yako katika kujitolea kumtukuza Mwenyenzi Mungu mwingi wa Rehma.
Bila shaka nawe ni miongoni mwa wanafiki unayedhani ni mtakatifu sana kuliko wengine kisa umehamisha muda wa kula.Unachekea nini? Kati ya wewe ambae Zanzibar unayochekea umeiona kwenye barua na yule ambae ndio yuko Zanzibar na inamuhusu.. nani anachekesha apo!?
Wewe ukiitwa kafiri inakupunguzia nini? Ulalamishi mwingine ni wa kipuuzi tu.Kwa nini mnaita watu wengine wasio waislamu ni makafir?
Kafiri ni mtu yoyote yule asiye amini uwepo wa MUNGU au yule anae amini uwepo wa Miungu mingine zaidi ya MUNGU mmoja alieumba mbingu na nchi.Kwa nini mnaita watu wengine wasio waislamu ni makafir?
Sielewi maana yake ndiyo maana nimemuuliza.Weye ukiitwa mbwa-koko utachekelea?Na wakati hujui maana yake?Wewe ukiitwa kafir inakupunguzia nini? Ulalamishi mwingine ni wa kipuuzi tu.
Habarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba walikatazwa wasiokuwa waislamu wasile mchana wa ramadhani.
Katika masharti ya mtu kulazimika kufunga kwanza awe muislamu.
Kwa maana asiyekuwa muislamu hailazimiki kufunga,kama halazimiki kufunga maana yake ana uhalali wa kula mchana wa ramadhani kwa sababu sio muislamu.
Mtu anaweza akasema kwamba wamekatazwa wasile hadharani ?
Hadharani kwanza ni wapi kwa mujibu wa sheria ya dini ?
Watu wanakula kwenye migahawa hakuna anayekunywa chai na chapati anatembea pale kariakoo.
Hivyo kuhusu kula hadharani uislamu pia haujakataza kwa sababu neno hadharani ni pana katika muktadhwa huu.
Uislamu umekataza kwa muislamu ambaye hana udhuru wowote alafu akala mchana wa ramadhani,huyu anapata dhambi.
Lakini kuwakataza watu wasile mchana na kuwashambulia sio katika adabu za kiislamu kwa sababu
Kuna wagonjwa hawatakiwi kufunga.
Kuna wanawake wako kwenye siku
Kuna watoto
Kuna wazee
Kuna wasafiri
Kuna wasiokuwa waislamu
Hawa wote ruhusa kula mchana kwa mujibu wa ssheri ya uislamu wetu.
Sasa kama wanaruhusiwa kula mchana vipi wasiruhusiwe kula hadharani wakati hakuna katazo lolote la kula hadharani katika uislamu.
Allah anasema..
"Hakuna kulazimishana katika dini"
Asiye muislamu kumkataza asile mchana maana yake unamlazimisha akae na njaa jambo ambalo sheria ya dini imekataza.
Tutaheshimu sheria itakayowekwa na serikali lakini tunaomba sheria hizo zisinasibishwe na uislamu.
Ni bora uislamu ulaumiwe kwa sheria ambayo kweli imeiweka kama vile viboko kwa wazinifu n.k
Kuliko uislamu kulaumiwa kwa sheria ambayo haijaiweka kama hizi kukataza kula mchana wa ramadhani
Nakaribisha maswali.
Naomba kuwasilisha.
Sasa mtu ameniita mimi mbwa koko....why nikasirike? Najua siyo mbwa koko...why should i bother? Kama yeye ananiona mimi mbwa koko basi naye atakuwa kiumbe flani ambacho hakipatani na mbwa....so sina haja ya kuhangaika na mtu wa hivyo.Sielewi maana yake ndiyo maana nimemuuliza.Weye ukiitwa mbwa-koko utachekelea?Na wakati hujui maana yake?
Umeandika kiwepesiii utadhani ndivyo mlivyo.Jambo dogo tu huwa mnaanzisha taharuki hadi dunia inakataa kujizungusha kwenye muhimili wake.Sasa mtu ameniita mimi mbwa koko....why nikasirike? Najua siyo mbwa koko...why should i bother? Kama yeye ananiona mimi mbwa koko basi naye atakuwa kiumbe flani ambacho hakipatani na mbwa....so sina haja ya kuhangaika na mtu wa hivyo.
Haukatazwi kujifungia hata chumbani kwa hiari yako fanya mkuu.Sawa,
Ila sisi ambao hatufungi basi ni vyema kutafuta sehemu ambayo haipo hadharani
Ni ustaarabu tu
Nataka nikusaidie wewe ambaye unapata taharuki kwa vitu visivyo na msingiUmeandika kiwepesiii utadhani ndivyo mlivyo.Jambo dogo tu huwa mnaanzisha taharuki hadi dunia inakataa kujizungusha kwenye muhimili wake.
Nimekupata mkuuHaukatazwi kujifungia hata chumbani kwa hiari yako fanya mkuu.
Ila sio kuwakataza watu ambao wanaenda migahawani kupata kula uwakataze ari kwa kuwa wewe umefunga no no
Mimi tulivu kabisa. Kama wazo lako ni hilo basi matumizi yako ya muda si mazuri.Nataka nikusaidie wewe ambaye unapata taharuki kwa vitu visivyo na msingi