Uislamu haujakataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani, siungi mkono wasio waislamu kuzuiwa kula mchana

Samahan mtoa post, nauliza kati ya Mtume na Allah nani ambaye ana mamlaka ya kukataza? Maana umesema hakuna mahali mtume amekataza…
Wote wanayo mamlaka ya kukataza ndugu
 

Moderators nao wajue hili neno na maana yake, na sio kukurupuka kupiga watu ban kisa eti flani kaambiwa kafiri.
 
Uko vizuri Maalim. Nimekusoma
 
Na kwann uislamu uogope competition kutoka imani zingine
 
Kwa hiyo Wana wa Israel ambao ni wayahudi hawakuwa waarabu sio?
 
Msaada wandugu; hivi dhambi unapambana nayo uishinde au unaipiga marufuku isiwepo?.

Na utaonekana vipi mshindi endapo hakuna kitu unachotakiwa kukishinda?.
 
Kama hakuna wa kupaza sauti juu ya kugomeana huko, kuna siku watakuja kutuambia TUSISHEHEREKEE PASAKA kama imo ndani ya mfungo..!!!
 
Hiyo dini watu wake ni watu wa mihemko sana tena umkute Mwafrika amesoma soma basi anakuwa ndio kiranja wa kubagua wenzake kwa misingi ya kuita watu makafiri
 
Hiyo dini watu wake ni watu wa mihemko sana tena umkute Mwafrika amesoma soma basi anakuwa ndio kiranja wa kubagua wenzake kwa misingi ya kuita watu makafiri
Mungu atuepushe
 
Tatizo wamenyimwa vichogo! Hivyo akili zao zote zimegeuka na kuwa urojo. Yaani usiku mzimu ni kusindilia tu! Sijui futari, wali maharage, chai, soda, vitafuno mbalimbali! Mpaka saa 11 alfajiri!

Halafu mchana wanajifanya eti wamefunga! Wizi mtupu. Huko ni kubadilisha tu ratiba ya chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…