jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Haya we mvaa kobazi ongea tunakusikia.wewe sio muislam kaa kimyaaa
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya we mvaa kobazi ongea tunakusikia.wewe sio muislam kaa kimyaaa
Wengi wao vilaza..unategemea nini zaidi ya mihemko.Uislamu unaharibiwa na waislamu wengj wanaoifata dini kwa mihemko.
Naapia kwa mola aliyeniumba hii dini inavurugwa na watu wenye mihemko.
Njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhan. Km wewe kweli mkereketwaUjinga mtupu, yaani niache kula mchana kwa sababu ya dini ya mtu tena ya kuletewa? Siku nile aje mpuuzi eti aniulize kwanini nakula mchana haki ya nani huyo mtu aombe Mungu wake tu asiingie anga zangu. Atakula kichapo cha kufa mtu mpaka atajuta kuzaliwa.
Sio kula mchana. Kula hadharani. Na Sio mwakristo tu hata waislam wanaokula hadharani wanachapwa vile vile. Mbona watu washazoea. Hapo tunakumbushana tukati ya vitu ambavyo huwa vinanifanya nitamani tuachane na zanzibar, ni kuwachapa viboko wakristo ambao hawajafunga kula mchana, ni ukatili na ugaidi kabisa. hapo ndio huwa naiondoa kabisa zenji moyoni mwangu.
Why mnafukuza na kuwafunga wananchi wanaokula wakati wao hawafungi?.Huwezi kuonnekana mshindi kama hakuna kitu unachotakiwa kukishinda.
Hayo sio maswali ya kuniuliza mimi.Why mnafukuza na kuwafunga wananchi wanaokula wakati wao hawafungi?.
Wakati huo huo msaafu wenu unakutaka usionekane mbele za watu kama mtu aliyefunga!.
Ona huyo ☝🏾Point yako ni ipi?
Real IQ inahitajika.Mkuu umeuliza swali gumu sana, mpaka uwe na IQ kubwa kuelewa swali lako.
😍Habarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba walikatazwa wasiokuwa waislamu wasile mchana wa ramadhani.
Katika masharti ya mtu kulazimika kufunga kwanza awe muislamu.
Kwa maana asiyekuwa muislamu hailazimiki kufunga,kama halazimiki kufunga maana yake ana uhalali wa kula mchana wa ramadhani kwa sababu sio muislamu.
Mtu anaweza akasema kwamba wamekatazwa wasile hadharani ?
Hadharani kwanza ni wapi kwa mujibu wa sheria ya dini ?
Watu wanakula kwenye migahawa hakuna anayekunywa chai na chapati anatembea pale kariakoo.
Hivyo kuhusu kula hadharani uislamu pia haujakataza kwa sababu neno hadharani ni pana katika muktadhwa huu.
Uislamu umekataza kwa muislamu ambaye hana udhuru wowote alafu akala mchana wa ramadhani,huyu anapata dhambi.
Lakini kuwakataza watu wasile mchana na kuwashambulia sio katika adabu za kiislamu kwa sababu
Kuna wagonjwa hawatakiwi kufunga.
Kuna wanawake wako kwenye siku
Kuna watoto
Kuna wazee
Kuna wasafiri
Kuna wasiokuwa waislamu
Hawa wote ruhusa kula mchana kwa mujibu wa ssheri ya uislamu wetu.
Sasa kama wanaruhusiwa kula mchana vipi wasiruhusiwe kula hadharani wakati hakuna katazo lolote la kula hadharani katika uislamu.
Allah anasema..
"Hakuna kulazimishana katika dini"
Asiye muislamu kumkataza asile mchana maana yake unamlazimisha akae na njaa jambo ambalo sheria ya dini imekataza.
Tutaheshimu sheria itakayowekwa na serikali lakini tunaomba sheria hizo zisinasibishwe na uislamu.
Ni bora uislamu ulaumiwe kwa sheria ambayo kweli imeiweka kama vile viboko kwa wazinifu n.k
Kuliko uislamu kulaumiwa kwa sheria ambayo haijaiweka kama hizi kukataza kula mchana wa ramadhani
Nakaribisha maswali.
Naomba kuwasilisha.
Mimi ni mkristo lkn nawaheshimu waislamu kama ww ambao mnajielewa na ni watu wazuri sana Mungu azidi kukupa heri zakeHabarini za kutwa nyote.

Sasa shida ipo wapi Mr. real IQ, si ufafanue swali ulilouliza, ili nikufahamu uzuri.Ona huyo [emoji1489]
Real IQ inahitajika.
Dhambi lazima iwepo na uishinde ili kuongeza kiwango chako cha imani, na wanaoishinda dhambi kwetu wakristu hao ndio wataurithi ufalme wake.Msaada wandugu; hivi dhambi unapambana nayo uishinde au unaipiga marufuku isiwepo?.
Na utaonekana vipi mshindi endapo hakuna kitu unachotakiwa kukishinda?.
Kufanya mema na kuacha uovu ni mzani unaotakiwa kubalance.Msaada wandugu; hivi dhambi unapambana nayo uishinde au unaipiga marufuku isiwepo?.
Na utaonekana vipi mshindi endapo hakuna kitu unachotakiwa kukishinda?.
Wapi imesemwa kwamba aliyeruhusiwa kula akila kafanya mzaha ilhali sheria haijamkataza ?
Hakuna sehemu nimesema 'dhambi' alafu unapaswa kutambua kuna watu ni waislam lakini wanakula kutokana na sababu mbalimbali, so nao ni dhambi?.Kufanya mema na kuacha uovu ni mzani unaotakiwa kubalance.
Katika uislamu kunakuamrisha mema na kukataza maovu pia.
Hivyo mtu anatakiwa afanye mema na aache maovu, na wakati huohuo kukataza maovu ni wema na kuacha uovu utendeke ni uovu.
Zinaa ni dhambi, hivyo mtu hatakiwi kuzini na pia anatakiwa kukataza zinaa.
Sasa ukisema uovu uwepo ili watu waushinde, ni sawa na kusema watu wafanye maovu.
Hivyo nitakuuliza huyo anayetakiwa kufanya maovu ili yawepo ni nani?
Au ulikusudia nini uliposema kuwepo kwa dhambi?
Soma Al hajuraati 13Kafiri ni mtu yoyote yule asiye amini uwepo wa MUNGU au yule anae amini uwepo wa Miungu mingine zaidi ya MUNGU mmoja alieumba mbingu na nchi.
Hata kama anajiita ni muislamu ila kama anaamini na kuiomba/kuitegemea miungu mingine imtatulie shida zake zaidi ya MUNGU mmoja mfano mizimu, nyoka, majini n.k huyo pia anahesabika ni kafiri vile pia.
Swali: kwa nini waislamu wanawaita wakristo ni makafiri?
Jibu: sio matakwa yetu kuwaita hivyo ila Qur'ani tayari imeshaelezea ukafiri wa wakristo na imewetaja wakristo ni makafiri.
Swali: Ni upi haswa ukafiri wa Wakristo?
Jibu:
“Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.” (al-Maida, 5/73).
“Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu. Sema: Ni nani mwenye kumiliki cho chote mbele ya Mwenyezi Mungu ikiwa Yeye angetaka kumuangamiza Masihi mwana wa Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. Huumba apendavyo. Na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu.” (al-Maida, 5/17)
“Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.” (al-Maida, 5/72).
Kama bado una swali lolote kuhusu ukafiri unaruhusiwa kuuliza.
Mr. Real IQ unaniangusha, mbona unaanza kuuliza maswali ambayo majibu yake yapo wazi.Hakuna sehemu nimesema 'dhambi' alafu unapaswa kutambua kuna watu ni waislam lakini wanakula kutokana na sababu mbalimbali, so nao ni dhambi?.
Haya christian akiwa anakula je?