Uislamu na kuchinja mifugo inayoliwa na watu

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,843
Reaction score
29,350
Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.

Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.

Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?

Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?

Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
 
Mbona husemi kwann bucha za ngo'mbe hawachanganyi na kitimoto na iyo kuchinja muislam ipo duniani kote siyo bongo
 
Nacho kufahamu mimi hilo swala la kuchinja wanyama limebezi sana kwenye mapato ya fedha kwa sababu hao wanao itwa wachinjaji huwa hawachinjii bure,.
 
Mbona husemi kwann bucha za ngo'mbe hawachanganyi na kitimoto na iyo kuchinja muislam ipo duniani kote siyo bongo
Hilo nalifahamu mkuu. Ninachouliza ni justification ya waislamu kuchinja wao tu, huku dini zingine zikiwekwa pembeni.
 
Tulikuwa tuna mambo ya ajabu sana, home tukitaka kula kuku, mbuzi, kondoo na ng'ombe ni mpaka tumuite muislam aje ajinje, kuku tunampelekea nyumbani kwake ajinje. Eti tukichinja wenyewe itakuwa nyamafu !
Mambo ya ovyo sana. Na cha ajabu, muislamu akikutembelea akatengewa nyama haulizi imechinjwa na nani.
 
Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.

Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.

Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?

Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?

Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
Ujakatazwa kujichinjia....we Chinja tu bibie! Mfugo wako nani atakuzui? Kumbuka kuna kuchinja na kunyonga
 
Kwani waislamu ni nani aliyewasimika kuchinja nyie tu huku mkiwadharau wengine?
 
Back
Top Bottom