Wanasema ni kibudu ila cha kujiuliza ni hiki hapa:
Kuna nyama choma, mbuzi choma na mishkaki ya hasara, nyama za kubanikwa, supu, nyama za michuzi michuzi, michemsho, nyama za kukaangwa, nk hizi zote ukiingia kwenye migahawa na mahotel unazikuta na zinaliwa na wote na wakiingia hua wanaagiza wali nyama, ugali nyama, supu ya kongoro, supu ya mapupu, supu ya pumbu za ng'ombe, mbuzi na kondoo inapatika Mbezi Kimara/Mbezi Luis
Hua hawaulizi huyu mnyama amechinjwa na shekhe/Ostadhi gani wa kutoka msikiti gani ila wanafakamia, ondoa hio kuna kuku hawa wanaouzwa kwa mafungu mengi ukisogelea wakiwa wanaandaliwa wewe hata km sio muislamu kafiri unaweza sema hawa kuku mimi sili kuna sababu nyingine nje ya hapo,
Ukiacha hio kuna mkubwa wa meza eeh yule unamjua mwenye nyama tamu kuliko zote duniani anamzidi utamu mpaka ngamia bwana huyu nae hua wanaagiza kilo zao kadhaa wanazipiga na hawaulizii huyu
Kitimoto amechinjwa na shekhe/Ostadhi nani ila wanamla km kawaida bila kuuliza maswali mengi, kuna Ostadhi anaweza kumchinja
Kitimoto wanasema haramu sababu kumchinja kwake ni kimbembe lazima mkurupushane na ukikaa vibaya anaondoa na Korodani zako
Nimesema ukweli km kuna mtu anaona nimesema uongo aniambie wapi nimesema uongo, sikashifu dini sidharau dini za watu wana uhuru wao wa kuabudu ila kwenyee ukweli nitasema ukweli
beberu la mtaa Bwana Utam mtanisamehe imebidi niseme ukweli hakuna namna