pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,875
- 2,781
Kama nyama inaliwa na waislam unawaachia wao wachinje maana hawawezi kula nyama iliochinjwa na kafiri ila kama ni wewe na familia yako chinja unavyotaka mkuu.
ChaiHicho kijiji nakikubali sana. Waislamu ni waroho wa nyama ndio maana wamejipachika cheo cha kuchinja ili wawe wanakula nyama za bure.
Huku mtaani wakristo wenyewe wakiwa na mnyama wanamtafuta muislam awachinjie.Hicho kijiji nakikubali sana. Waislamu ni waroho wa nyama ndio maana wamejipachika cheo cha kuchinja ili wawe wanakula nyama za bure.
Bint hujakatazwa kuchinja, nunua kuku wako, mbuzi au ng'ombe chinja anza kulaMambo ya ovyo sana. Na cha ajabu, muislamu akikutembelea akatengewa nyama haulizi imechinjwa na nani.
Kumbe waislamu wanangangania kuchinja kwa sababu ya kutimiza ibada zao za kishetani?😨😳 Nimejifunza kitu hapa.Kwa mujibu wa injili ya kweli uchinjaji wa uislamu ni ibada hivyo imeandikwa kwenye injili kuwa msile chakula kilicho fanyika ibada ya miungu ya dini au imani potovu ikiwa mnajua kuwa hicho chakula kimefanyiwa ibada potovu za miungu mingine ...hivyo mlapo chakula msiulize ulize..msije kujua kama kimefanyiwa ibada ...mkijua itawapasa msikile...sasa tukija kwenye uchinjaji wa waislamu ni nani asiye jua kuwa waislamu ndiyo wanachinja kwa ibada zao za kuelekeza kibla na dua za mungu wa Muhammad? Hivyo ni kosa kwa mkristo kula nyama hiyo ikiwa utajua kuwa imefanyiwa hayo machinjo ya dini.
Sasa mbona mkristo akichinja waislamu wanakataa kula mkuu? Eti wanawaita wakristo makafir!Hakuna sehemu ilipoandikwa wala amri kutolewa
Ni utamaduni tumejijengea kwa miaka mingi hasa kwenye jamii iliyostarabika na imezoeleka hivyo
Wala mkristu hazuiwi kuchinja, ni maamuzi yako binafsi
😄😄😁Mpumbavu mpe cheo
Kwanini sasa wamejaa machinjioni wanalazimisha kuwachinjia hata watu wa dini zingine mkuu?Unataka kuzua taharuki ndugu yangu vipi vingine ni minor issue sana kwanza hamna utaratibu rasmi wa waislamu
Waislamu wanachinja mifugo kwa ajili ya waislamu wenzao
kwani mtu anapochinja anataka awachinjie Waislamu au familia yake:Kama nyama inaliwa na waislam unawaachia wao wachinje maana hawawezi kula nyama iliochinjwa na kafiri ila kama ni wewe na familia yako chinja unavyotaka mkuu.
Du! Hii safi sana. Mliwakomesha. Hawa jamaa wana madai ya ajabu sana, sometimes.Hao watu wanafurahish kwa hilo jambo la kukata shingo minyama. Mwaka juzi tulifanya arusi ya mdogo wangu sasa wakati wakupanga kamati si wakaleta hiyo mada kuwa mwislam atahusika hapo. Abdi(sio jina lake halisi) akajiteua kuwa atafanya hiyo kazi ya kukata vichwa coz ngombe walikuwa wawili. Jamaa yetu abdi n kalewa yan yeye na pombe walifunga ndoo anakunywa kweli. Sasa cku ya arusi jana yake tukafanya juu chn abdi alewe ile ya kutojimbua na kweli tukafanikisha ili asikate shngo za minyama tuone kama hawatakula. Shughuli ilisha vizur na chakula kilipikwa wote tulikula na hakuna aliyekumbuka kuuliza aliyekata koromeo la ngombe. So hao jamaa zetu wana imani zingne ambazo inabidi wajiulize wenyewe kuwa zinawasaidia nini?
Hawa jamaa wanapenda sana amshaamsha. Jambo dogo tu, wanatoka wote wanaingia barabarani kuandamana.kwani mtu anapochinja anataka awachinjie Waislamu au familia yake:
Tumeamua kuwaachie mchinje ili kutoletea taharuki
tu:
Mkristo ana kila haki kukataa myama aliyechinjwa kwa kuzingatia ibada za kiislamu, ni kama mnatulazimisha tuzifuate ibada zenu:
ila kwakuwa tuna Upendo tumeamua tuwaachie kwani hatuathiriki na ibada zenu za kujitungia za kuchinja:
Hawajawahi lazimisha mtuKwanini sasa wamejaa machinjioni wanalazimisha kuwachinjia hata watu wa dini zingine mkuu?