108:2 Suratul KautharIdhini ya waislamu kuchinja mifugo mingine ilitokana na kifungu kipi cha msahafu mkuu?
Hicho kijiji nakikubali sana. Waislamu ni waroho wa nyama ndio maana wamejipachika cheo cha kuchinja ili wawe wanakula nyama za bure.Kuna kijiji kimoja hakiwatumii sana waislam kuchinja mifugo. Wanachinja wenyewe kibabe, ule usile utajua mwenyewe
Wanaibukaga kuchinja, maana wanamtafuna. Jamaa watu basi!?Acha Wagalatia waendelee kuchinja kitimoto tu kwa ajili ya utangamano wa kidini.
Mbona husemi kwann bucha za ngo'mbe hawachanganyi na kitimoto na iyo kuchinja muislam ipo duniani kote siyo bongoHabari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.
Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.
Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?
Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?
Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
Mambo ya ovyo sana. Na cha ajabu, muislamu akikutembelea akatengewa nyama haulizi imechinjwa na nani.Tulikuwa tuna mambo ya ajabu sana, home tukitaka kula kuku, mbuzi, kondoo na ng'ombe ni mpaka tumuite muislam aje ajinje, kuku tunampelekea nyumbani kwake ajinje. Eti tukichinja wenyewe itakuwa nyamafu !
Ujakatazwa kujichinjia....we Chinja tu bibie! Mfugo wako nani atakuzui? Kumbuka kuna kuchinja na kunyongaHabari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.
Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.
Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?
Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?
Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
Kuna kijiji kimoja hakiwatumii sana waislam kuchinja mifugo. Wanachinja wenyewe kibabe, ule usile utajua mwenyewe
Akisha chinja anaondoka na ngozi ya ng'ombe, kichwa na pmbu zoteTulikuwa tuna mambo ya ajabu sana, home tukitaka kula kuku, mbuzi, kondoo na ng'ombe ni mpaka tumuite muislam aje ajinje, kuku tunampelekea nyumbani kwake ajinje. Eti tukichinja wenyewe itakuwa nyamafu !