nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Una uhakika hii issue ni Minor?Unataka kuzua taharuki ndugu yangu vipi vingine ni minor issue sana kwanza hamna utaratibu rasmi wa waislamu
Waislamu wanachinja mifugo kwa ajili ya waislamu wenzao
Huoni kuwa kitendo cha kuwakubalia kuchinja kinadhalilisha imani zingine mkuu?Mi siamini katika Mungu na familia yangu ni wakristo Tunachinja wenyewe
Na akitokea mgeni muislam tunamkatibisha na anakula vizuri sana…….. The good thing ni kwamba huwa hawaulizi kachinja nani, wanakula tu
Kwenye nyama zinazo tumika public waislam wameachiwa wachinje kiungwana tu kwasababu dini zingine tukiwemo wapagani hatuna tatizo na nani atachinja
Mafundisho ya kiislamu yanasisitiza wale vilivyojichwa kwa kufuata ibada yao lakini wakristo hawana mwongozo wowote rasmiSasa mbona wakristo wakichinja wanazira kula mkuu?
Nakumbuka miaka ya 2015 lakini ulitatuliwa kama kuna ishu tena imetokea tuelezaneUna uhakika hii issue ni Minor?
Geita huko kuna waislamu walichinja mtu kwa mgogoro aina hii...
NADHANI HUU UZI UNGEISHIA HAPAMpumbavu mpe cheo
Sasa mbona wanataka kulazimisha kila kitu ili taifa hili lionekane kama islamic state mkuu?Mafundisho ya kiislamu yanasisitiza wale vilivyojichwa kwa kufuata ibada yao lakini wakristo hawana mwongozo wowote rasmi
Ili kuondoa contradiction yoyote maana sisi ni secular state japo tuna imani tofouti jukumu hilo wachinje waislamu lakin kama una matumizi yako binafsi kama kula nyumbani unachinja vyovyote lakini kwa matumizi ya biashara wachinje waislamu maana tunakula wote
Ukiona mtoto wako ameingia kwenye hii dini na bahati mbaya akawa wale suruali fupi, si mwanao tena huyo...Kwa waislamu hili suala sio minor? Hawana dogo hawa jamaa zetu aisee!
Mkristo wa kanisa lipi ??? kila kanisa lina biblia yake na sheria zakeKwa mujibu wa injili ya kweli uchinjaji wa uislamu ni ibada hivyo imeandikwa kwenye injili kuwa msile chakula kilicho fanyika ibada ya miungu ya dini au imani potovu ikiwa mnajua kuwa hicho chakula kimefanyiwa ibada potovu za miungu mingine ...hivyo mlapo chakula msiulize ulize..msije kujua kama kimefanyiwa ibada ...mkijua itawapasa msikile...sasa tukija kwenye uchinjaji wa waislamu ni nani asiye jua kuwa waislamu ndiyo wanachinja kwa ibada zao za kuelekeza kibla na dua za mungu wa Muhammad? Hivyo ni kosa kwa mkristo kula nyama hiyo ikiwa utajua kuwa imefanyiwa hayo machinjo ya dini.
Sheria za kiislamu ndizo alizozileta Yesu , wewe husomi biblia ??Sasa mbona wanataka kulazimisha kila kitu ili taifa hili lionekane kama islamic state mkuu?
Huko shuleni wanalazimisha wanafunzi wote wa kike wavae hijabu na wamefanikiwa.
Pia wamelazimisha vitabu vya historia visiandikwe BC (Before Christ) au Anno Domino (AD)wamefanikiwa.
Huoni kuwa wanazidi kutusilimisha kidogo kidogo hadi wote tutakuwa tunafuata sheria zao?
huku nnakoishi wapangaji tulisha mhamisha mmoja kwa kutoheshmu wengne mda wa maombi yaan mda wake kila mtu atazima mziki hadi amalize ikifika kwa wengne ndo utasikia kila aina ya kaswida mbona tulimhamisha mchana kweupe tena bila notice tukamrudishia hela yake hadi leo tukikutana anatuita immigration. So mda mwingne unapotunga sheria ujue hata wewe lazima itakuadhiri utake usitakeDu! Hii safi sana. Mliwakomesha. Hawa jamaa wana madai ya ajabu sana, sometimes.
Unakumbuka mwaka 2012 waligoma kuhesabiwa baada ya kukataliwa sensa yao ambayo walikuwa wanadai kuwa waislamu ni wengi kuliko wakristo hapa nchini? Inasikitisha sana aisee!
Safi sana. Hapo mlifanya vizuri sana mkuu. Kwisha kazi!huku nnakoishi wapangaji tulisha mhamisha mmoja kwa kutoheshmu wengne mda wa maombi yaan mda wake kila mtu atazima mziki hadi amalize ikifika kwa wengne ndo utasikia kila aina ya kaswida mbona tulimhamisha mchana kweupe tena bila notice tukamrudishia hela yake hadi leo tukikutana anatuita immigration. So mda mwingne unapotunga sheria ujue hata wewe lazima itakuadhiri utake usitake
Kivipi mkuu? Hebu fafanua kidogo.
Sisi nyumbani Mama ndiye alikuwa anachinja kuku. Sisi ni Wagalatia.Tulikuwa tuna mambo ya ajabu sana, home tukitaka kula kuku, mbuzi, kondoo na ng'ombe ni mpaka tumuite muislam aje ajinje, kuku tunampelekea nyumbani kwake ajinje. Eti tukichinja wenyewe itakuwa nyamafu !
KHabari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.
Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.
Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?
Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?
Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.
Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.
Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?
Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?
Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
KILA DINI ICHINJE KIVYAKE TUMECHOKA KULA MANUIZIO YA ma-JINNI KWENYE NYAMA.Habari wanabodi. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Kuna jambo moja linanitatiza sana hadi leo sijapata jawabu.
Kwa kuwa humu kuna wataalamu wa theolojia na wanachuoni wabobevu nimeshawishika kuleta hili swali ili mimi pamoja na wadau wengine wasiofahamu tuelimishwe.
Hivi kwanini waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja mifugo inayoliwa na watu wa dini zote? Katika machinjio zote ziwe za kuku, mbuzi, ng' ombe au ngamia ni waislamu tu ndio wanaruhusiwa kuchinja. Je, wao ni watakatifu sana kuliko watu wa dini nyingine hadi watunikiwe au wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?
Ni nani aliyesema kuwa mnyama akichinjwa na mkristo huwa haramu? Kifungu hicho kimeandikwa katika msahafu au biblia ipi?
Kama ni utaratibu wa nchi je, huo mwongozo uliandikwa wapi?
Labda kama hiyo nyama kuna waislam watakula lakini la sivyo mimi huwa nachinja mwenyeweHuku mtaani wakristo wenyewe wakiwa na mnyama wanamtafuta muislam awachinjie.
Sawa mkuu. Umenena vema na kwa ushahidi kuntu.Kwa ufupi, Yesu Kristo hakusema kwamba ameondoa sheria za Mungu. Katika Biblia kuna aya zinazoonyesha kuwa alisisitiza kufuata sheria za Mungu.
Yesu alisema hakuja kufuta sheria
Injili ya Mathayo 5:17 “Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; sikuja kutangua bali kutimiliza.”
Hii inaonyesha kwamba Yesu aliheshimu sheria zilizotolewa zamani kwa Musa.
Yesu alisisitiza kushika amri
Injili ya Mathayo 19:17 “Ukitaka kuingia uzimani, zishike amri.”
Yesu mwenyewe alifuata sheria
Injili ya Luka 4:16 “Akaingia katika sinagogi siku ya sabato kama ilivyokuwa desturi yake.”
Hii inaonyesha alifuata sheria za dini ya wakati wake.
Katika Biblia, Yesu alifundisha watu kumtii Mungu na kushika amri zake. Hakuja kufuta sheria bali kuzitimiza na kuzifundisha kwa njia ya haki na upendo.
Yesu alisema atakuja mwingine kuwaongoza kwenye ukweli
Injili ya Yohana 16:12–13 “Bado ninayo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyachukua sasa.
Lakini yeye atakapokuja, Roho wa kweli, atawaongoza awatie katika kweli yote; kwa maana hatasema kwa shauri lake mwenyewe, bali yote atakayoyasikia atayanena.”