Uislamu na kuchinja mifugo inayoliwa na watu

Safi sana. Hapo mlifanya vizuri sana mkuu. Kwisha kazi!
kuna uzi flani nilicoment kuwa dini zililetwa tu kutupumbaza ili watusome na kutafiti kilichopo africa wachukue na ikabaki waafrica wakaamini mambo yasio jiulize mbona wapigane huu mda wa mfungo tena pande zote mbili yaan ukristo na uislam ndo wanakanyagana haswa. Mimi naamin kuwa dini ni jambo la kawaida tu kama uraibu wa pombe au wa madem
 
Ndiyo maana yake ...

Wakristo wa neno la Mungu, siyo wa madhehebuni
wote hudai hivyo , hata hivyo mimi niite nikuchinjie , malipo yangu nachukuwa miguu na kichwa , vilivyobaki chukuwa mwenyewe πŸ˜› πŸ˜›
 
N
Ni ujuha kama ujuha mwingine wowote. Mimi nakula sijali amechinja nani na hata siwazi.
Alafu kwangu binti wa kazi ni muislamu siasa kali tangu afike kwangu miezi 6 sasa sijawahi kuona hata nywele za kichwa chake zinafananaje. Nafuga kuku wa kutosha tuu kila wakisema wanahitaji kitoweo tunachinja kuku mbona hajawahi kulalamika na anazibugia kiroho safi. Nilikuwa nasikilizia siku aseme hali kuku kwa sababu tumechinja sisi wakristo, alafu nione kama atakula mboga za majani wakati sisi tunakula kuku. Mambo mengine ni matokeo ya kuendekeza ulofa tuu.
 
wajitunuku cheo cha kuchinja mifugo kiasi kwamba mnyama akichinjwa na mkristo au mpagani waislamu wanasusia kula hiyo nyama?
Wanasema ni kibudu ila cha kujiuliza ni hiki hapa:

Kuna nyama choma, mbuzi choma na mishkaki ya hasara, nyama za kubanikwa, supu, nyama za michuzi michuzi, michemsho, nyama za kukaangwa, nk hizi zote ukiingia kwenye migahawa na mahotel unazikuta na zinaliwa na wote na wakiingia hua wanaagiza wali nyama, ugali nyama, supu ya kongoro, supu ya mapupu, supu ya pumbu za ng'ombe, mbuzi na kondoo inapatika Mbezi Kimara/Mbezi Luis

Hua hawaulizi huyu mnyama amechinjwa na shekhe/Ostadhi gani wa kutoka msikiti gani ila wanafakamia, ondoa hio kuna kuku hawa wanaouzwa kwa mafungu mengi ukisogelea wakiwa wanaandaliwa wewe hata km sio muislamu kafiri unaweza sema hawa kuku mimi sili kuna sababu nyingine nje ya hapo,

Ukiacha hio kuna mkubwa wa meza eeh yule unamjua mwenye nyama tamu kuliko zote duniani anamzidi utamu mpaka ngamia bwana huyu nae hua wanaagiza kilo zao kadhaa wanazipiga na hawaulizii huyu Kitimoto amechinjwa na shekhe/Ostadhi nani ila wanamla km kawaida bila kuuliza maswali mengi, kuna Ostadhi anaweza kumchinja Kitimoto wanasema haramu sababu kumchinja kwake ni kimbembe lazima mkurupushane na ukikaa vibaya anaondoa na Korodani zako

Nimesema ukweli km kuna mtu anaona nimesema uongo aniambie wapi nimesema uongo, sikashifu dini sidharau dini za watu wana uhuru wao wa kuabudu ila kwenyee ukweli nitasema ukweli

beberu la mtaa Bwana Utam mtanisamehe imebidi niseme ukweli hakuna namna
 
Hawa watu wana mambo ya ajabu sana. Utashangaa wanakula nyama ya pori na kitimoto hawaulizi nani kachinja.
 
Mkuu umesema ukweli πŸ’―%. Hata wakati huu wa mfungo wa ramadhani wauza Kitimoto wanalia soko hakuna. Kama sio wateja wa noah inakuwaje wakifunga soko la Kitimoto linashuka? Waache kutuchanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…