Uislamu ni tofauti na wengi tunavyouchukulia: Haya ni mambo ambayo watu walielewa tofauti kuhusu uislamu

Ni kweli Yesu sio Issa.1.Yesu aliomba kikombe cha umauti kimuepuke,kwa Mungu wake,lakini hakujibiwa,alikamatwa,akadhihakiwa,akapigwa,akatundikwa msalabani,akagongewa misumari,akapigwa mkuki,akanyishwa sifongo,akafa .Mathew 16:18.
2.Issa aliomba kwa Allah amuepushie mauti hayo,Allah alimkubalia hapo hapo.Hakupigwa,hakudhalilishwa,hakudhihakiwa,hakuuliwa
An -Nisaa 157-158



View attachment 2704593
View attachment 2704601
Mungu wa Issa alimuokoa na mateso na mauaji.Mungu wa Yesu,alimuomba kikombe cha umauti kimuepuke lakini,hakujibiwa.
 
Huu Uzi hauwezi tembea kwa comments nyingi Kwa sababu hujauponda uislam,ungeuponda ungeona Jinsi watu wanavyojaza comments za kejeli na dhihaka
Mbona sikuizi wakristo wanautetea sana uislam nijuzi tu muislam mmoja alianza kuiponda taasisi yakiislam watu wengi wakaitetea
 
Kumbe mimi ndo nilikuwa sijaelewa, kwa vile M23 inauwa basi waislam nao wana
haki ya kuua.

Ndomana kuna makundi mengi ya waislam, osama aliua watu zadi ya elfu tatu tena siku moja.
"Yesu anasema
Msidhani nimekuja kuleta amani duniani,sikuja kuleta amani,bali upanga"
Matthew 10:34-36
Hao wanafuata maelekezo ya Yesu,ili wapate uzima wa milele.
Angalia hapa napo
Yesu anasema kwenye Biblia Takatifu
"BWANA NI MTU WA VITA"
KUTOKA 15:3
 
Nenda kasome maana ya hyo aya
 
Waislam mngelikua kama mleta uzi, wakristo wengi wangeslim.
Sema tatizo lenu mnakazania mabaya ya ukristo badala ya mema ya uislam.
 
Usitafsiri biblia kama unasoma qur an, biblia haitafsiri hivyo. Upanga unaozungumzwa hapo si huu upanga wa damu na nyama. Mama kasome theolojia na falsafa zake utajua kusoma biblia na mafundisho yake
 
Ikitokea Muislamu yupo kwenye nchi zisizo na utaratibu wa kuchinja Kiislamu, atakwepa kula nyama?

Ikitokea umekuja kwangu ukakuta tunakula nyama ya kuku, ukikaribishwa hutakula kwa sababu hujathibitisha kama kuku kachinjwa kwa kufuata taratibu za Kiislamu?
 

Kama sio mkristo huwezi elewa kwanini kristo ilimpasa afe.

Sometimes inabidi ufikiri kama wanavyofikiri wao ili upate kwanini wanafikiri hivyo,unless utabaki na assumptions zako tu.
 

Hivi vifungu umevitoa kwenye hii hii biblia mnayodai feki au ile original ambayo hamjui iko wapi,tuanzie kwanza hapa.
 
Dini ya Majini,
Hii imeniogopesha sana sana sana.
Sitaki hata kuusikia Uislamu kwa hili jambo.
Naam Uislam ndiyo dini ya pekee, ni dini ya kila aliyejisalimisha kwaa Muumba wake.

Wewe kama hujajisalimisha kwa Muumba wako kwanini uogope? Jinni aliyesilimu hadhuru mtu.

Ukiona jinni lunadhuru watu elewa kuwa hilo ni kama wewe haljasillimu.


Kuuogopa kwako Uislam mbona siyo wewe wa kwanza, mpo wengi sana. Hatutushangaoi, mna "Islamophobia".
 
Pemba wana andamana kupinga ujenzi wa Kanisa.
Ujenzi wa Bar za Pombe haipingwi kwa maandamano.
Huo ndio Uislamu.
Una uhakika huo? Kama ni kweli, basi wamefanya jambo la maana sana, kwani jauelewi ushetani unaofanyika kanisani?

Nikuoneshe?
 
sasa hiyo NO 3,umepinga kitu ambacho kitaalam nawe pia umekielekeza.

leo hii kijana wa 25yrs akimrukia mama wa miaka 40 tutashtuka lakini tutazoea,baada ya muda akaongeza mke 2,3,4,5 mpaka wakafika 11 na mtoto mdogo juu,tutasemaje!!!!
 
Umesema jini? Unamaanisha jini kabisa, au kwa jina jingine pepo, au kitu kingine?

Jini linasilimu, how? Dini ya Uislamu ina ushirika na majini?

Usishtushwe na hamaki yangu, nauliza kwa lengo la kufahamu.
 
Umesema jini? Unamaanisha jini kabisa, au kwa jina jingine pepo, au kitu kingine?

Jini linasilimu, how? Dini ya Uislamu ina ushirika na majini?

Usishtushwe na hamaki yangu, nauliza kwa lengo la kufahamu.
Unastaajabu Majinni kusilimu na kuwa Waislamu.
Unaambiwa hata Shetani kasilimu na sasa hivi ni Mwislamu safi.
Namaanisha Ibirisi mwenyewe sasa hivi anajiyenyekesha kwa Mola wake Mlezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…