Uislamu ni tofauti na wengi tunavyouchukulia: Haya ni mambo ambayo watu walielewa tofauti kuhusu uislamu

Sidhani! Mbona nilisikia kuwa Waislamu wanapoenda Hijja Saudi Arabia, kunakuwepo na kipindi cha kumpiga Shetani mawe? Inawezekanaje aliyesilimu kupigwa tena mawe kama sehemu ya ibada?
Shetani ni muislamu safi
 
Umesema jini? Unamaanisha jini kabisa, au kwa jina jingine pepo, au kitu kingine?

Jini linasilimu, how? Dini ya Uislamu ina ushirika na majini?

Usishtushwe na hamaki yangu, nauliza kwa lengo la kufahamu.
Hivi ndio vitu wakristo wamekosa elimu navyo! Hahaha wakisikia kuna jinni waislaam basi kuchanganyikiwa na kutoa kauli chafu dhidi ya uislaam hahaha

Islaam ni full content jamani kila sehemu tupo, scientifically hadi kwa viumbe visivyonekana...what a deen!

Wanasadiki mwenyezi mungu kaomba visible and invisible lakini hawana elimu yeyote kuhusu invisible, watakuambia malaika..
 

Umesoma surat jinn au na wewe ni muislamu wa mchongo.
 
Shetani ni muislamu safi
Ndio maana alimshinda nguvu Yesu akambeba juu juu.Kweli waislamu wako juu zaidi kuliko Yesu. Katika Biblia Takatifu tunasoma
Luka 4:5
Luka 4:9-11
Luka 4:13
Jinsi shetani alivyomchukuwa Yesu juu juu,na kumpandisha kwenye milima,bila kupenda.
 
Huu ndio ukweli
 
Nashukuru sana wazazi wangu hawakuwa waislamu, hivyo sikufanikiwa kuingizwa kwenye hiyo dini.
 
Dini ya kiislamu haifungamani na matendo kama haya ya mauaji , kuna watu hujivika uislamu au kuvaa sura ya uislamu na kutumia njia hiyo kuonesha kuwa uislamu unawafunza hivyo sio sahihi

Uislamu hauruhusu kumwaga damu kwa mtu yeyote hata asiye muislamu pasipo na kosa lolote.

Watu hufanya matukio kusingizia dini hizi either hawafahamu vizuri au ni interest zao kueneza chuki , hakuna sehemu chuki inaweza ikaenezwa kwa haraka kama katika nyanja hizi ya dini
 
Uisilamu lazima ipigwe vita tu uchukiwe hili maneno ya allah yatimie wewe ulitaka watu wauseme vizuli hili iweje?usilamu ndio dini pekee inayo kataza maasi haramu ushirikina na watu wengi wamebobea kwenye hayo yanayo pingwa na uisilamu unadhani wataupenda waende zao huko
 
Ulijuaje waliovamia kuwa ni waisilamu?
 
Huu ndio ukweli
 
Mimi uislamu nili Anza kuuogopa pale niliposikia kuwa ukifa unajitoa mhanga Ni sawa. Halafu pia kusamehe Ni Kama udhaifu Fulani hivi. Nikaja kuunga na tukio la kikofia ubalozi wa ufaransa...
Wewe ni muisilamu nusu upande si muisilamu weka wazi imani yako unaogopa nn?
 
Wewe hapo ulipo uko na majini nyumbani kwako,ila ujui nini maana ya majini
 
Lete ushahidi wa maandiko
View attachment 2706223
YUDA ANA MBUSU YESU
HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
 
Uislamu umejengwa katika uongo kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, Allah, yupo.

Mungu huyo hayupo. Hili linaweza kuthibitishwa kimantiki.

Pia, kitabu cha Uislamu, Quran, kina contradictions nyingi sana.

Contradictions hizo zinaonesha kwamba, hiki si kitabu cha Mungu, ni kitabu cha watu tu waliokuwa wanapambana na hali zao kwa siasa zao.

Ndiyo maana unaona hapa unaambiwa ua, kule unaambiwa usiue. Kitabu hakina logical consistency.

Kama unabisha.

1. Thibitisha Mungu yupo.

2. Nikubalie niweke contradictions za kwenye Quran hapa tuzichambue uzitatue.
 
Tofautisha hadithi na Qur'an,mimi nakuletea aya za Biblia sio hadithi.
Lete aya ya Qur'an.Hadithi ni maneno ya watu,yapo ya ukweli na yapo ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…