Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Takbiiir! Sikutegemea hata kidogo kukuta wimbi la waislamu huku Iringa aisee uislamu unakua kwa kasi sana na kila mtaa ni msikiti na watu wanaswali na wanajaza sana msikitini Tofauti nilivyokuwa nafikiria aisee na hiii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki aisee.
 
Mh! Unachekesha, Lini Iringa imepokea dini hiyo?
 
Aliyewaambia msiende shule aliwakosea sana.
 
Dini kama dini haina faida kwa uchumi, GDP, ya, nchi, hata, wakiwa, wote islam, haitasaidia, Somalia ni islam watupu, Yemen islam watupu,
Qatar, uturuki ni majority islam lakini nchi zinaendeshwa sio, kwa kutumia political islam, Bali sheria za ki secural
 
Msikiti mkuu unajengwa, unadhani waliokua wanaswali pale watajazana wapi?
 
Kwanza iringa unaijua?
ukiona uislam kule ujue wale ni wahamiaji tu kama moshi unakuta mtu anaitwa ramadhan msuya kumbe ni mhamiaji toka upareni kuliko na uislam mwingi japo si pare yote ni waislam wengine ni wasabato na walutheri cha ajabu wanapendana na hawana udini
 
Matajiri wa Tz ni dini ipi? Acha upumbavu
 
Allah akbar
 
Nyie watu huwa tukisema hamnaga akili mnaanza kututukana...Yaani nyie mkillala mkiamka mnawaza dini tu hivi hiyo dini huwa inawalisha na kuwavisha ama kuns siri gani jaman. Embu mtueleze basi na sisi tulambe asali
 
Wakati wenzenu wanapambana kupigania nchi zao kwa uridhi mzuri wa vizazi vyao wewe unahangaika na mila na desturi zanwaarabu maana uislam sio dini bali ni mila za kiarabu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuzidi miti ya mbao au ?.maana samia anapenda sifa sana
 
Ila wavaa kobazi na shungi, sometimes muwe mnajielewa,

kukariri juzuu tyuuh, ufahamu na uelewa wa mambo mengine aaah.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weka huo ufahamu unaona wewe wa maana halafu tumuite Mvaa Kobazi mujadili Kisha mwisho wa picha tuone nani ataonekana kilaza.

Wewe kutwa nyuzi za sports na kula kimasihara ndio unajielewa ? wewe hata Maghayo The Mongolian Savage na uchizi pamoja na Mabange yake amekuzidi IQ
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…