Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

Takbiiir! Sikutegemea hata kidogo kukuta wimbi la waislamu huku Iringa aisee uislamu unakua kwa kasi sana na kila mtaa ni msikiti na watu wanaswali na wanajaza sana msikitini Tofauti nilivyokuwa nafikiria aisee na hiii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki aisee.
Iringa hii ambayo kila mtu ni MuRC na Jumapili maduka na huduma zinaanza kutolewa saa 4 au ipi?

Mi nipo Iringa hakuna kitu kama hiko labda umechanganywa na huu msikiti anao ujenga ASAS hapa town centre baada ya kubomoa ule msikiti wa zamani.

Hakuna kitu kama hiko.
 
Weka huo ufahamu unaona wewe wa maana halafu tumuite Mvaa Kobazi mujadili Kisha mwisho wa picha tuone nani ataonekana kilaza.

Wewe kutwa nyuzi za sports na kula kimasihara ndio unajielewa ? wewe hata Maghayo The Mongolian Savage na uchizi pamoja na Mabange yake amekuzidi IQ
😂😂😂😂 imekugusaa eeeh? Sasa usitikisike itakatiamo.
Poleee wee ticha wa madrasa. Woiiiiih
 
Nyie watu huwa tukisema hamnaga akili mnaanza kututukana...Yaani nyie mkillala mkiamka mnawaza dini tu hivi hiyo dini huwa inawalisha na kuwavisha ama kuns siri gani jaman. Embu mtueleze basi na sisi tulambe asali
Nyinyi ndio hamnaga akili hata ya kujiongeza , una uhakika kama mleta mada ni Muislamu ?

Kati ya Magalatia na wengine nani wanaongoza kwa mada na chokochoko za kidini humu ?

ID inatambulisha dini ya mtu ? haujui mtu anaweza kujifanya dini Fulani ili kuanzisha mada za kuitukanisha dini hiyo na humu Jf wapo wengi vilaza wa sampuli hiyo ?
 
😂😂😂😂 imekugusaa eeeh? Sasa usitikisike itakatiamo.
Poleee wee ticha wa madrasa. Woiiiiih
Kazi yangu ni kutoa dozi na kutembea , sinaga majibizano na wala wala kuchukulia personal maneno mitandaoni .Mimi kawaida yangu napita mbele kwa mbele kuenjoy life yangu sipendi kujipa tabu na ujinga wa mtu binafsi ambao sina uwezo wa kuuControl.

Yaani nikimchukua kilaza wa Jf Maghayo The Mongolian Savage nikupambanisha na wewe bado Maghayo ataonekana Genius sasa Kuna haja gani tena Mimi kujadiliana na wewe Scumbag ?
 
Kwa gazeti hili, limekugusa kunako, ndo maana povu jingii.
Poleeee ostaadh. 😂😂😂😂😂😂
 
Kwa gazeti hili, limekugusa kunako, ndo maana povu jingii.
Poleeee ostaadh. 😂😂😂😂😂😂
Mimi mkali wa Insha kawaida yangu kuandika Magazeti sinaga summary hata kwenye normal talks and chats kitu kidogo kinachohitajia maelezo machache nachapa gazeti tu.

Kwangu Mimi gazeti haihusiani na panic mood kwa na siwezi kuharibu mood na saikolojia yangu kipuuzi kwa watu wa mtandaoni tu ambao siwajui .

The Mongolian Savage kamata Demu huyo juu ,☝️☝️☝️ Ligalatia unendelee nae maana akili zenu zinaendana
 
Nyie watu huwa tukisema hamnaga akili mnaanza kututukana...Yaani nyie mkillala mkiamka mnawaza dini tu hivi hiyo dini huwa inawalisha na kuwavisha ama kuns siri gani jaman. Embu mtueleze basi na sisi tulambe asali
Acha makasiriko wewe masikini wewe
 
Weka huo ufahamu unaona wewe wa maana halafu tumuite Mvaa Kobazi mujadili Kisha mwisho wa picha tuone nani ataonekana kilaza.

Wewe kutwa nyuzi za sports na kula kimasihara ndio unajielewa ? wewe hata Maghayo The Mongolian Savage na uchizi pamoja na Mabange yake amekuzidi IQ
Tuliza mshono wewe mke wa papa leo xvi
 
Tuliza mshono wewe mke wa papa leo xvi
Kwaheri , ukiwa mjinga kiasi hiki hamstahili wala kuwa na hadhi ya kujibiwa ..

images (58).jpeg
 
Tunakuchora uwezo wako wa iq
Wakristo na waislam zimewasaidia nini
Mm hadi niwe nafukuzwa na fisi ndo utasikia mama nisaidie
 
ukiona uislam kule ujue wale ni wahamiaji tu kama moshi unakuta mtu anaitwa ramadhan msuya kumbe ni mhamiaji toka upareni kuliko na uislam mwingi japo si pare yote ni waislam wengine ni wasabato na walutheri cha ajabu wanapendana na hawana udini
Kuna waislamu wengi sana wanachame, ndio maana Mbowe huwa anavaa kanzu mara kwa mara.
 
Pumbavu zako, mm na ww aliye masikini ni nani....Nina uwezo wa kukulisha wewe na familia yako mpaka mnakufa kenge wewe tafuta pesa uache kulialia njaa kali. Dini haitakupeleka popote fukara wewe.
🤣🤣🤣 Hichi ndiyo nilikuwa nataka aisee nitingishe hilo dishi lako hahaha
 
Back
Top Bottom