Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

Hakuna Dini ya haki mkuu!!mwenyehaki ni mtakatifu asie na upande wowote!

Mungu hawezi watawanya watu vipande vipande kiimani!!
 
Ndugu zangu waislamu hata wakiwa wawili wanajenga msikiti......

Huu mtaa ninaokaa Una misikiti zaidi ya sita lakini ukiingia kote hata safu mbili hazifiki....
 
Kuna waislamu wengi sana wanachame, ndio maana Mbowe huwa anavaa kanzu mara kwa mara.
Machame nimewahi fika ple hospitali ya lutheran kma sijakosea waislamu wapo na ni kuzuri kweli yani full kijani kma dola yetu TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…