Uislamu unaruhusu kuombea dua mbaya watu mliotofautiana mawazo , misimamo au mnaoshindania maslahi ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni katika mambo yenye kuruhusiwa katika dini au ni Bid'ah.
 
Hii ni njia nzuri ya kujua ma-sheikh wa kweli na ma-sheikh mchongo. Nnachoweza kukumbia ni kuwa 90% ya viongozi wa dini Tanzania, ni watu wa mchongo. Na ni dini zote. Wao wanajali matumbo yao tu. Wanazidi kufanya watu wengi waamini kuwa dini ni utapeli tu.
 
Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni katika mambo yenye kuruhusiwa katika dini au ni Bid'ah.
NJAA
 
Back
Top Bottom