Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Unaandika vitu havifanani.

Mi naongelea adhabu ya Iran. Kwani yule Rais wa Hispania Iran imemuambia nini?
Hiili nilishalimaliza kila sehemu na sheria zake na utaratibu wake huwezi kwenda kenya ukatumia Shilinginya Tanzania
 
LRA

SPLA

ANTIBARAKA

MUNGIKI

MAYIMAYI

TIGREY

Na wale wapuuzi wa kizulu kule bondeni wanaoua wa Africa wenzao ni waislamu?.

Halafu hayo makundi yote uliotaja ni mapandikizi ya Marekani.
 
Hawafiki kwa sababu Huambiwi wala huwatajaribu "kukukalukuletia" Athari walizosababisha kwa sababu itaenda kinyume na mipango hao Ya NWO
Mwenye macho aambiwa tazama
Boko haram wanachofanya kaskazini mwa nigeria kipo wazi na sio kificho same kwa boko haram

Wazungu sio malaika wanamapungufu yao ila hakuna race ya watu wenye roho mbaya na wakatili kama waarabu wenye misimamo mikali ya kidini ya waislamu
 
Upo nyuma sana. Hata Tz Dola ya Marekani inatumika
Sijazungumzia Dola mkuu soma vizuri kabla hujakurupuka kujibu Kuna currencies Ambazo zina power kuliko zingne $€£Β₯ zinaweza ila nenda na Tsh 10000 yako tumia marekani halafu tumia...
Tatizo wengi ni Malimbukeni hamtembei ila shida kufata story za vijiweni...
 
Kwa hilo nakubaliana na wewe 100% ila na Wazungu wenye misimamo ya kikristo pia ni wakatili na Nimeshuhudia wakilipua watu kadhaa na kuua mwaka 2000 kurudi nyuma walikuwa wanaua sana watu japo miaka hii ya kuanzia 2002 kuja juu wamepunguza
 
Wake zenu ni konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo" (2: 222-223).
konde(shamba) unajua faida inayotkna na kulima?/shambani?je unajua ukulima ni kanuni na syo inshu ya kujifanyia ?uelewa wako sio sahh kweny hii aya..kama unawaza mambo ya kaumu luti futa kbs.
 
Ur point is ..?
 
Mbona wewe na Mimi hatuletewi? Mungu gani ambae Yuko kila mahali ila anafikisha ujumbe kwa kunong'oneza mwarabu...πŸ˜‚na wewe 1400 years later unakubali...kweli Africa tuna safari ndefu
mimi nimeamini uislam sbb nimependa mfumo wake wa kuishi ayo mengne sijui ya afrika imefnyje ni akili zenu.
 
Lilikuwa ni Jibu la swali la mwenye Jamvi na haikuwa hoja Jaribu kutokurupuka Na ufatilie kwa makini
πŸ˜‚So unatetea uislamu au .. sikuelewi. Unaanza kusema NWO cjui Nini...those groups zilikuwepo na impact zamani saa hivi ulaya wamekuwa enlightened wengi wanajua religion ni tool tu ila waarabu bado wanaendelea na ukatili wa kidini ndo maana tunaangalia currently
 
😝😝😝😝😝Hio ya cristiano Ronaldo imekaaje?😝😝

jamaa sheria zao ngumu hawa

Hivi Ingekuwaje Marekani ndio ingekua Taifa la kiarabu,Dunia ingekoma wallah 😝😝

Mungu alijua akawanyima power na nguvu za kiuchumi waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…