Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

mimi nimeamini uislam sbb nimependa mfumo wake wa kuishi ayo mengne sijui ya afrika imefnyje ni akili zenu.
😂😂😂😂Umependa au umezaliwa katika dini ya kiislamu...ungezaliwa Calcutta ungekuwa Mhindu.. ungezaliwa Vatican ungekuwa catholic. 😂Hujachagua chochote ni accident of geography tu...na fikiria asa umekufa ukakutana na brahma au yesu na hujaamini... huogopi kuchomwa moto kama mafuta ya lami..😂maana ndo mnavyotishia wasio mjua Mungu wa kiarabu
 
Kitu kibaya ni kwamba hujui kuhusu uislamu na huo ndio mtazamo wako ,sikulaumu na ulichoongea hakina ukweli kwa asilimia zote .

Mbaya wengi wanaosma uislamu ndio wanasilimu ,uliloongea hapo halina ukweli kabisa zote ni nadharia za kimagharibi.

Uislamu umempa mwanamke cheo hata tunaamini pepo ipo chini ya nyayo ya mama(mwanamke) na sio baba ,kuna sehemu inafundisha katikq daraja nne basi tatu anabeba mwanamke katika wazazi(mama na baba) kwamba mama ana daraja 3 na baba ana moja.

Ukienda kweny kusoma hata utume alimpendelea binti ,sasa njoo kweny mirathi ndio utajua yaani mwanamke anapewa mirathi yake ila bado kaka yake anahusika kumlea kwa nguvu zake mpaka atakapoelewa huku akiwa hatumii hata thumni ya mirathi yake (Mwanamke).....Mwanamke huyo ndie ambaye hata mahari anataja yeye na sio mzazi na maamuzi ya kuolewa ni yeye....Mwanamke katika uislamu ukiangalia majukumu ya ndoa hata akizaa akinyonyesha mtoto wako wewe mwanaume unatakiwa kumlipa na hakuna sehemu imeonyesha kwamba mwanamke ni mama wa kufanya kazi za nyumbani....Ni mengi nikikutajia hapa hata nikuambia mwanamke anapewa stare ili kumpa thamni nyie mnasema haki za binadamu ila akitembea uchi ndio uhuru🙄.


Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani 😅😅haya hamyaon?...Sababu uislamu upo practical tukichambua hapa utajua sheria nyingi zinafana ila ukristo umathirika na wazungu ndio maana kwa sababu hata vipedo kanisani havikuhusu na utashangaa sanamu la maria na masister wamevaa hijabu ila waumini hawavai..😅


Hakuna hukumu uislamu kama dhambi tunasema haijalishi nan kafanya ..
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 

Attachments

  • 1697363989582.gif
    1697363989582.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363990233.gif
    1697363990233.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363990743.gif
    1697363990743.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363991355.gif
    1697363991355.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363991880.gif
    1697363991880.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363992343.gif
    1697363992343.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363992963.gif
    1697363992963.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363993549.gif
    1697363993549.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363994002.gif
    1697363994002.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1697363994455.gif
    1697363994455.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363995396.gif
    1697363995396.gif
    42 bytes · Views: 3
  • 1697363994918.gif
    1697363994918.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363995895.gif
    1697363995895.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363996393.gif
    1697363996393.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363997076.gif
    1697363997076.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363997596.gif
    1697363997596.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363998245.gif
    1697363998245.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697363998781.gif
    1697363998781.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363999247.gif
    1697363999247.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697363999863.gif
    1697363999863.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697364000288.gif
    1697364000288.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697364000682.gif
    1697364000682.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697364000999.gif
    1697364000999.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697364001518.gif
    1697364001518.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697364002183.gif
    1697364002183.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697364002651.gif
    1697364002651.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697364002991.gif
    1697364002991.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697364003350.gif
    1697364003350.gif
    42 bytes · Views: 2
  • 1697364003757.gif
    1697364003757.gif
    42 bytes · Views: 1
  • 1697364004233.gif
    1697364004233.gif
    42 bytes · Views: 1
vyote kwa pamoja acha fix.
Acha uwongo...Kuna chart imeonyesha hapo kundi linaloongezeka in terms of conversion ni irreligious people. Watu wengi wanahama kutoka dini zao kutokuwa na dini. 😂Kama unabisha ka google. Ila kuzaliana sawa waislamu coz mtume kawafundishe mbake watoto wa primary wenye vindimu na vichongeo
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Hii hoja yako waislamu wanaikwepa sana 😂. Hakuna anayejibu tangu nione unaiweka humu
 
Kwa
vyote kwa pamoja acha fix.
Asilimia ngapi? Inasema vyote vina michango ni KWA asilimia sawa?

Wasio waislam wanasilimu, waislam wanaacha uislam. Tofauti hapa ni ndogo sana.

Unaweza kaa kwenye mtaa usione mtu hata mmoja aliyebadili dini kuwa muislam mwaka mzima au ukaona wawili waliokuwa waislam.

Lakini waislam katika mtaa ndani ya mwaka watajifungua tu ambaye yule mtoto ameongeza katika uislam. Waislam watoto wanaozaliwa ni wengi kuliko wanaokufa.
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Ukatili wa wamarekani na wakristu wengi huuoni

Uko shallow sana
 
Hivi waruguru/wapogoro na wapare kwanini hawatodautiani kwenye kimo?
 
Umeandika porojo tupu hapo, vp makundi yanayoua watu Kongo yanatofautiana vp na al shabab
Ukiwa muislamu safi laziwe uwe
1. Gaidi, hapa utaenda kuchoma makanisa, kuua watu na kujilipua ili ueneze uislamu. Kikundi cha boko haram au islamic state lazima kiianzishwa
2. Lazima uwe na ushirika na majini.
3. Utakuwa mnganga wa kienyeji au wa majini. Angalia mashekh wanavyouza dawa na kutabiri nyota
4. Lazima uwe katili
- Ukiacha uislamu lazima ukatwe kichwa. Kwenye uislamu hakuna uhuru wa kuabudu.
Hayo makundi ya kigaidi ya kiislamu huwa huoni waislamu wakiandamana wakikemea ila wakichoma Quran, watu wanaandamana km mchwa kwahiyo uislamu ni ugaidi
 
Kitu kibaya ni kwamba hujui kuhusu uislamu na huo ndio mtazamo wako ,sikulaumu na ulichoongea hakina ukweli kwa asilimia zote .

Mbaya wengi wanaosma uislamu ndio wanasilimu ,uliloongea hapo halina ukweli kabisa zote ni nadharia za kimagharibi.

Uislamu umempa mwanamke cheo hata tunaamini pepo ipo chini ya nyayo ya mama(mwanamke) na sio baba ,kuna sehemu inafundisha katikq daraja nne basi tatu anabeba mwanamke katika wazazi(mama na baba) kwamba mama ana daraja 3 na baba ana moja.

Ukienda kweny kusoma hata utume alimpendelea binti ,sasa njoo kweny mirathi ndio utajua yaani mwanamke anapewa mirathi yake ila bado kaka yake anahusika kumlea kwa nguvu zake mpaka atakapoelewa huku akiwa hatumii hata thumni ya mirathi yake (Mwanamke).....Mwanamke huyo ndie ambaye hata mahari anataja yeye na sio mzazi na maamuzi ya kuolewa ni yeye....Mwanamke katika uislamu ukiangalia majukumu ya ndoa hata akizaa akinyonyesha mtoto wako wewe mwanaume unatakiwa kumlipa na hakuna sehemu imeonyesha kwamba mwanamke ni mama wa kufanya kazi za nyumbani....Ni mengi nikikutajia hapa hata nikuambia mwanamke anapewa stare ili kumpa thamni nyie mnasema haki za binadamu ila akitembea uchi ndio uhuru[emoji849].


Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani [emoji28][emoji28]haya hamyaon?...Sababu uislamu upo practical tukichambua hapa utajua sheria nyingi zinafana ila ukristo umathirika na wazungu ndio maana kwa sababu hata vipedo kanisani havikuhusu na utashangaa sanamu la maria na masister wamevaa hijabu ila waumini hawavai..[emoji28]


Hakuna hukumu uislamu kama dhambi tunasema haijalishi nan kafanya ..
Unatumia nguvu nyingi sana kuunadi uislam.Lakini matendo ya hao waislamu yanadhihirisha namna uislamu ulivyo
 
😂So unatetea uislamu au .. sikuelewi. Unaanza kusema NWO cjui Nini...those groups zilikuwepo na impact zamani saa hivi ulaya wamekuwa enlightened wengi wanajua religion ni tool tu ila waarabu bado wanaendelea na ukatili wa kidini ndo maana tunaangalia currently
Dah mkuu zamani ipi unazungumzia Makundi yote hayo mengi yao ni ya 2000s na baadhi ni ya 1990s
 
Cooked data na ndy nyie mnakubali matokeo ya sensa z uongo.
Acha uwongo...Kuna chart imeonyesha hapo kundi linaloongezeka in terms of conversion ni irreligious people. Watu wengi wanahama kutoka dini zao kutokuwa na dini. 😂Kama unabisha ka google. Ila kuzaliana sawa waislamu coz mtume kawafundishe mbake watoto wa primary wenye vindimu na vichongeo
 
Umejazwa ujinga ukakujaa. Uislam hauna ukatili na wala haufundishi ukatili.

Mnajazwa ujinga na mashetani ili msiusome Uislam.
Sisi tunaona matendo ya waziwazi ya waislam pamoja na chuki waliyonayo kwa wasio waislam.Hatuhitaji kuusoma.Imani inaendana na matendo
 
Hii hoja yako waislamu wanaikwepa sana 😂. Hakuna anayejibu tangu nione unaiweka humu
Ukiisoma uislamu una ukakasi mwingi sana ndiyo maana siwezi kuwa muislamu kwasababu;
1. Huko ahkera unapewa mabikira 72, kazi yako ni kufanya ngono tu.
2. Ukihama uislamu ukaenda imani nyingine unakatwa kichwa. Hapa hakuna uhuru wa kuabudu, huwezi kunilazimisha kwa kuniua niwe kwenye imani yako. Haitatokea
3. Waislamu wanafungamana na majini. Kasome Surat Jinn
4. Kueneza dini kwa kumwaga damu na kufanya vurugu. Kuchoma makanisa, kuua watu na kujilipua.
5. Kuwepo kwa mahakama ya kadhi. Wewe una dhambi halafu unanihukumu kwa kosa gani? Only God can judge me
6. Allah kusikia lugha moja ya kiarabu. Sawa wameweka hivyo ili hata ukienda nchi yoyote upate ukaswali pamoja. Je, hata ukiwa peke yako mwenyewe ili Allah akusikie lazima utumie lugha ya kiarabu. Tofauti na hapa umekwema
7. Baadhi ya maandiko wamekopi kutoka kwenye Biblia na kuyawekea chumvi. Yesu kristo wa kwenye Biblia na Issa wa Quran. Utaona ni tofauti sana.
8. Waislamu wanaamini torati na Zaburi na ipo kwenye Quran. Hapa Allah alicopy Torati na Zaburi ikawekwa kwenye Quran?
9. Quran ilishushwa halafu akapewa mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika na aliyepewa alikufa hivyo hivyo bila kujua na kusoma. Siamini mpk keshokutwa
10. Alama ya nyota na mwezi, ukichunguza utagundua ni miungo inayowakilishwa.
11. Historia ya mtume muhamad. Alioa binti wa miaka 9 halafu alioa mwanamke aliyemzidi umri.
12. Mafundisho yao yamejaa chuki sana juu ya ukristo
 
Unaona ukatili mzinifu kuchapwa vboko 99 lkn ukimfumania jamaa na mke wako unampaka mafuta y KY ,hizo adhabu zimewekwa ili kumfanya mtu aogope kabisa kufanya hio dhambi.
 
Umejazwa ujinga ukakujaa. Uislam hauna ukatili na wala haufundishi ukatili.

Mnajazwa ujinga na mashetani ili msiusome Uislam.
Ukatili wa uislamu
  • Ukiacha uislamu na kuhamia imani nyingine, unakatwa kichwa (unauliwa).
  • Mwanamke asipojifunika kichwa anauliwa. Mtu hajafunika kichwa unamuua (Iran)
  • Waislamu wakifunga kipindi cha ramadhani, hurusiwi kula hadharani. Unapigwa viboko (Zanzibar)
  • Kuchoma makanisa na kuwamwagia wakrito tindikali au kuwaaua ili kueneza dini ya uislamu.
 
Back
Top Bottom