pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Boss wako papa yuko hatua za mwisho kuruhusu makanisa wafungishe ndoa za jinsia moja.Mbona kanisa nalosali hakuna movement za ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss wako papa yuko hatua za mwisho kuruhusu makanisa wafungishe ndoa za jinsia moja.Mbona kanisa nalosali hakuna movement za ushoga
Hahah Mkuu tuko Pamoja kumbe Mimi mwenyewe niko Against all but huwa nasimamia kwenye Ukweli tu 😅😅😅😂😂😂Zipo wapi asa... huwezi fananisha. Afu this isn't abt wakristo vs waislamu. Mi Niko against all
Mkuu nimekupa hizo groups Go and do research kuzihusu usitegemee nikutafunie kila kituTuletee evidence hapa za Mkristo akijitoa muhanga kwa jina la YESU
Hewaa.KWA kuzaliana ndio kwenye rate kubwa ya uongezekanaji kuliko kubadili dini
😂😂😂Toa hoja bana kwani lazma uwe kilema ili utetee haki zao. Mbona unakuwa kama mtoto mdogo
inakuwa vipi tuoneshe rate ya watu wanao silimu kwa mwaka au ukiona waisalamu wengi ulaya unadhani dini imekuwa wale ni wakimbizi wa nchi za kiarabu.Ajabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
ao wote waarabu wamekaa kimabavu kwenye ardhi ya mwafrika yenye utajiri wa gesi, mafuta, dhahabu, almasi na vingi sana,, ni vile tu muafrika sio mtu wa kisasi..Mfumo wa kiislam ndio mfumo Bora wa haki kuongozea watu, unaondoa matabaka kwenye jamii, unaboresha ustawi na maendeleo ya watu. Palipo na mfumo wa kiislam hakuna umasikini.
Tofaut ya maendeleo baada ya uhuru kwa nchi za Kaskazini na za kusini mwa jangwani la Africa ni mfumo wa dini ya Islam.
Baada ya Uhuru nchi za kiafrika zenye maendeleo na Maisha Bora kwa watu wake ni Tunisia Libya Misri Algeria Morocco na zote ni kwa sababu ya dini.
Kwenye uislam ni haki bin haki hakuna ufisadi, rushwa, upigaji, kuchezea Kodi za wananchi, wizi, umalaya, adhabu yako ni panga ili iwe fundisho kwa wengine
Haimaanishi ndo uwachukulie wanawake Kama ng'ombehawa wanaume wanaotetea haki za wanawake ni wapuuzi sana, yani wanachangia kabisa sisi kubenwa, Ulaya maisha ya mwanmme ni magumu sana. Na sisi tupo njiani keshi kutwa tutaanza kuambiwa tuwalipe mishahara kwa wapuuzi kama hawa mleta mada.
Still bado tunavyo tele tumeshindwaao wote waarabu wamekaa kimabavu kwenye ardhi ya mwafrika yenye utajiri wa gesi, mafuta, dhahabu, almasi na vingi sana,, ni vile tu muafrika sio mtu wa kisasi..
Umeandika mengi ambayo nayasikia kupitia kwa rafiki yangu muislam ila hilo suala la kuolewa kwamba mwanamke ndiyo anaamua sijui kama nikweli maana kuna dogo yupo Dubai wamemuolea mke huku na kumtumia kama kifurushi,hajawahi kufahamiana wala kujuana na huyo mume wake, Kaka mtu kaoa kwa niaba ya dogo na dogo katumiwa tu,huku wazazi tu walikubaliana.Kitu kibaya ni kwamba hujui kuhusu uislamu na huo ndio mtazamo wako ,sikulaumu na ulichoongea hakina ukweli kwa asilimia zote .
Mbaya wengi wanaosma uislamu ndio wanasilimu ,uliloongea hapo halina ukweli kabisa zote ni nadharia za kimagharibi.
Uislamu umempa mwanamke cheo hata tunaamini pepo ipo chini ya nyayo ya mama(mwanamke) na sio baba ,kuna sehemu inafundisha katikq daraja nne basi tatu anabeba mwanamke katika wazazi(mama na baba) kwamba mama ana daraja 3 na baba ana moja.
Ukienda kweny kusoma hata utume alimpendelea binti ,sasa njoo kweny mirathi ndio utajua yaani mwanamke anapewa mirathi yake ila bado kaka yake anahusika kumlea kwa nguvu zake mpaka atakapoelewa huku akiwa hatumii hata thumni ya mirathi yake (Mwanamke).....Mwanamke huyo ndie ambaye hata mahari anataja yeye na sio mzazi na maamuzi ya kuolewa ni yeye....Mwanamke katika uislamu ukiangalia majukumu ya ndoa hata akizaa akinyonyesha mtoto wako wewe mwanaume unatakiwa kumlipa na hakuna sehemu imeonyesha kwamba mwanamke ni mama wa kufanya kazi za nyumbani....Ni mengi nikikutajia hapa hata nikuambia mwanamke anapewa stare ili kumpa thamni nyie mnasema haki za binadamu ila akitembea uchi ndio uhuru🙄.
Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani 😅😅haya hamyaon?...Sababu uislamu upo practical tukichambua hapa utajua sheria nyingi zinafana ila ukristo umathirika na wazungu ndio maana kwa sababu hata vipedo kanisani havikuhusu na utashangaa sanamu la maria na masister wamevaa hijabu ila waumini hawavai..😅
Hakuna hukumu uislamu kama dhambi tunasema haijalishi nan kafanya ..
Duniani kote.Si Kibiti,si Znz,si Kenya,UarabuniHebu tujulishe umeyaona wapi?
Uislamu hatuhitaji kuusoma.Tunausoma na kuuelewa vizuri kupitia matendo ya waislamUislamu ni dini iliyokamilika katika nyanja zote hivyo kausome uislamu uuelewe sio kutoa maoni kwenye kitu usichokijua!
Ndio jukwaa la SimbaVinahusiana vipi na jukwaa hili
Hata wewe unajua kutoka moyoni kuwa hili ulishuhudialo si kweliBoss wako papa yuko hatua za mwisho kuruhusu makanisa wafungishe ndoa za jinsia moja.
Umeandika facts tupu mkuuUislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.
Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.
Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.
Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.
Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.
Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.
Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.
Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.
Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.
Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.
Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Unatetea ujinga mtupu suala la kuchinja watu ushaona Imani nyingine kama sio waislamu? Mnachinja watu huku mkirekidi hakika hii ni Imani ya kishetani kabisaKitu kibaya ni kwamba hujui kuhusu uislamu na huo ndio mtazamo wako ,sikulaumu na ulichoongea hakina ukweli kwa asilimia zote .
Mbaya wengi wanaosma uislamu ndio wanasilimu ,uliloongea hapo halina ukweli kabisa zote ni nadharia za kimagharibi.
Uislamu umempa mwanamke cheo hata tunaamini pepo ipo chini ya nyayo ya mama(mwanamke) na sio baba ,kuna sehemu inafundisha katikq daraja nne basi tatu anabeba mwanamke katika wazazi(mama na baba) kwamba mama ana daraja 3 na baba ana moja.
Ukienda kweny kusoma hata utume alimpendelea binti ,sasa njoo kweny mirathi ndio utajua yaani mwanamke anapewa mirathi yake ila bado kaka yake anahusika kumlea kwa nguvu zake mpaka atakapoelewa huku akiwa hatumii hata thumni ya mirathi yake (Mwanamke).....Mwanamke huyo ndie ambaye hata mahari anataja yeye na sio mzazi na maamuzi ya kuolewa ni yeye....Mwanamke katika uislamu ukiangalia majukumu ya ndoa hata akizaa akinyonyesha mtoto wako wewe mwanaume unatakiwa kumlipa na hakuna sehemu imeonyesha kwamba mwanamke ni mama wa kufanya kazi za nyumbani....Ni mengi nikikutajia hapa hata nikuambia mwanamke anapewa stare ili kumpa thamni nyie mnasema haki za binadamu ila akitembea uchi ndio uhuru[emoji849].
Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani [emoji28][emoji28]haya hamyaon?...Sababu uislamu upo practical tukichambua hapa utajua sheria nyingi zinafana ila ukristo umathirika na wazungu ndio maana kwa sababu hata vipedo kanisani havikuhusu na utashangaa sanamu la maria na masister wamevaa hijabu ila waumini hawavai..[emoji28]
Hakuna hukumu uislamu kama dhambi tunasema haijalishi nan kafanya ..