Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Mimi ni mkristo ila nauteyea uislam. Uislam kama dini haifundishi ukatili hata siku moja, ila katika imani zote huwa kuna watu unaowaita wakatili, wapo tayari kuua, kutesa kwa sababu ya dini zao, ukristo ukiufuatilia kuna kanisa moja kubwa kuliko yote walikuwa wanachemsha watu kwenye mapipa ya mafuta, walirusha watu kwenye simba wenye njaa, walirusha watu kwenye matanuru,
Uislam ni dini ya haki. Ukiangalia ni watu wangapi hueaendea wakristo kuwaomba msaada na ni watu wangapi huwaendea waislam kuwaomba msaada utakugua jambo.
Sisi wakristo hatuna tunachojivunia
Acha kutetea ujinga wewe waislamu wanafundishana mpaka kareti msikitini wewe unaongea ujinga gani hapa?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Hamna kitu hapo. Kwanza hakuna kitu kinaitwa dini nzuri. Bibilia inasema, dini iliyonzuri ni kwenda kuwatazama yatima na wajane, kujilinda na maovu yote.
 
Duniani kote.Si Kibiti,si Znz,si Kenya,Uarabuni
,yaani kila kona matendo yanaambatana na ukatili na uuaji
Umetaja majina ambayo hata mimi naweza kukutajia, lakini hujaonesha tukio hata moja, ili tulichambuwe, ni kweli?

Hapo unajaribu kuukwepa uongo wako.
 
Umetaja majina ambayo hata mimi naweza kukutajia, lakini hujaonesha tukio hata moja, ili tulichambuwe, ni kweli?

Hapo unajaribu kuukwepa uongo wako.
Hukosi kuzaa magaidi hata wa 3 ulivyo na roho mbaya dada
 
Hukosi kuzaa magaidi hata wa 3 ulivyo na roho mbaya dada
Maelfu siyo watatu. si ndivyo ulivyoaminisha, Mpigania uhuru na haki akijitutumua ni gaidi, US na NATO wakifanya mauwaji ya kimbari ni watenda haki, au sivyo?

Wewe mungu wako ni myahudi, bila shaka.
 
Maelfu siyo watatu. si ndivyo ulivyoaminisha, Mpigania uhuru na haki akijitutumua ni gaidi, US na NATO wakifanya mauwaji ya kimbari ni watenda haki, au sivyo?

Wewe mungu wako ni myahudi, bila shaka.
Usilinganishe Us na Waarabu wewe, ndio maana wakimbizi wenu hukimbilia kwa wazungu, nyie wanafiki sana
 
Kama uislam ungeruhusu kua free hivyo bila kusimamia sheria kali mbona nao ungeshakua wahovyo ukiwaacha watu wawe huru hasa wanawake mbona wataingia had nabikin msikitin binadam wanahitaji sheria kal yan ukivuka redline jambia linakuhusu
 
Mimi ni mkristo ila nauteyea uislam. Uislam kama dini haifundishi ukatili hata siku moja, ila katika imani zote huwa kuna watu unaowaita wakatili, wapo tayari kuua, kutesa kwa sababu ya dini zao, ukristo ukiufuatilia kuna kanisa moja kubwa kuliko yote walikuwa wanachemsha watu kwenye mapipa ya mafuta, walirusha watu kwenye simba wenye njaa, walirusha watu kwenye matanuru,
Uislam ni dini ya haki. Ukiangalia ni watu wangapi hueaendea wakristo kuwaomba msaada na ni watu wangapi huwaendea waislam kuwaomba msaada utakugua jambo.
Sisi wakristo hatuna tunachojivunia
Braza wewe ni ponjolo..........yaani Uniite kafiri na nikupe msaada ........**** maqe
 
Mfumo wa kiislam ndio mfumo Bora wa haki kuongozea watu, unaondoa matabaka kwenye jamii, unaboresha ustawi na maendeleo ya watu. Palipo na mfumo wa kiislam hakuna umasikini.

Tofaut ya maendeleo baada ya uhuru kwa nchi za Kaskazini na za kusini mwa jangwani la Africa ni mfumo wa dini ya Islam.

Baada ya Uhuru nchi za kiafrika zenye maendeleo na Maisha Bora kwa watu wake ni Tunisia Libya Misri Algeria Morocco na zote ni kwa sababu ya dini.

Kwenye uislam ni haki bin haki hakuna ufisadi, rushwa, upigaji, kuchezea Kodi za wananchi, wizi, umalaya, adhabu yako ni panga ili iwe fundisho kwa wengine
Huna akil maendeleo yanatokana na nature yawatu sasa wa Algeria ambao kiasil niwatu waspanish utawafananisha nasie weus hata tupewe kibra ihamie hapa akil ndogo hatutoboi... Kwan wachina wamendelea kwajil yasharia
 
bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani 😅😅haya hamyaon?
Mkuu naomba unituwekee hapa hii umeitoa mstari gani kwenye Bible?
Kuweka facts ni muhimu kuliko hear say kama stori za kijiweni.
 
Jibu mujaraaabu 📌📌📌




Mkuu naomba unituwekee hapa hii umeitoa mstari gani kwenye Bible?
Kuweka facts ni muhimu kuliko hear say kama stori za kijiweni.
Biblia imekandamiza haki za wanakawe hawana mamlaka hata ya kuongea kanisani.

Kasome WAKORINTHO 14:34-36:-

34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?

Nilikuwa mkristo naijua biblia yote .
 
Back
Top Bottom