Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Mambo kadha wa kadha yaliyoandikwa katika andiko lako kwamba ni mabaya katika Uislamu yapo pia katika Sheria za nchi yako pendwa. Msemo naoweza kuutumia katika muktadha wa andiko lako ni "Mpe jina mbaya mbwa wako na umuuwe".
 
Tunazungumzia kuhusu ukamilifu wake na dosari yake, ITABIDI WANAZUONI WAINGILIE KATI WAINDOSHE VIFUNGU KATILI NDANI YA KURAAN. ILI IWE DINI BORA ZAIDI.
Wakinyafa hivyo sasa utofauti wake na ukristo utakua ni upi?
 
Dini hizi zote ni Abrahamic,

Ukristo ni ufuasi kwa Yesu Kristus of Abrahamic

Uislam ni Adoptive wa Abrahamic,

Jews ni Remnants wa Abrahamic.



Huo ndio Uabrahamic

mengine ni kujipendekeza na kujipendelea kwenye hayo makundi ila Mungu yuko Kimya, halaumu wala hatoi zawadi kwa wabaguzi!

Kaeni chini kimya kama Mungu asivyo mbaguzi!
 
1. Jino kwa Jino

2. Kuua vyote vitambaavyo, usiache yeyote aliye hai katika miji mtakayoingia.
👆
Hii nimeikuta kwenye bible
 
Kutokuvijua kwako haimaanishi Kuwa havipo shika hilo mkuu.

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri ukimwekea muislam SAUD ARABIA na UJERUMAN atataka kwenda Ujerumani

Iran na Poland atachagua Poland

Italy na Maka atachagua Italy
Umeongea ukweli kabisa,waislamu wengi wame experience ubaguzi kwenye nchi za kiislamu kuliko nchi za ulaya. Kuna wabangladesh na walakistania wanaona bora wabaki uingereza kuliko kWenda Dubai au Saudia
 
Kwa hiyo Christian Ronaldo akiingia tu Iran fimbo za Makalio 99 zinamsubiri.
 

Wewe sio mkristo ni mamluki.
 
vita ya kidini huanza hivi hivi kidogo kidogo, kwamba uhuru ni wa kutoa maoni au haki ya kutoa maoni ,kumbe unaumiza imani za watu.......

Acha ukweli uwekwe wazi,uislamu umekua dini tishio kwa amani ya dunia. Kuna jambo lazima lifanyike hatuwezi kwenda hivi.
 
This is the truth the whole truth nothing but the truth
 

Kwanini utumie makafiki kujustify uhalali wa hamas kuua na kujeruhi na kuteka raia wema wa israel last saturday?

Ikijibu mapigo israel mnakimbilia kulialia,uislam ni dini ya hovyo wachokozi wasio penda amani wakipigwa wanarudi kuplay victims. Hovyo kabisa.

Muisrael na mpalestina wote wa vamizi wa hiyo ardhi,angalau muyahudi ana ushahidi wa kihistoria kutoka katika torati yao.
 
Sema waislam wanazaa sana kuliko wakristo. mtu una wake 4 alafu kila mmoja watoto 7 na kuendekea.
Cha ajabu tz kuna watu wanajiaminisha wakristo wengi kuliko waislam wakati waislam wanazaana sana, au waislam wanakufa sana na wakristo hawafi?
 
Hoja ya mtu kusema mapungufu ya uislamu na wafia dini kama wewe kukimbilia kusema kwamba mtu anaesema hivyo haujui uislamu ni hoja ya hovyo na ya kipumbavu. Watu tunaujua uislamu nje ndani, hiyo sio hoja. Leta majibu yenye hoja.

Uislamu ni dini ya kitapeli there is no question about that.

Uislamu unaahidi wanaume pepo ya wanawake 72, mito ya pombe, ngono non stop halafu hakuna ahadi yoyote kwa wanawake, so wanawake ni kama wanapoteza tu muda wao kuamini kwenye uislamu maana hawana ahadi yoyote.

Uislamu unafundisha kuhusu mbingu lakini hiyo mbingu imejaa ahadi kwa ajili ya wanaume tu na sio wanawake, so hawa wanawake hawana chao.

Uislamu unaonyesha wazi kwamba Allah ni kiumbe ambacho ni kama nimechanganyikiwa, very frustrated, very confused kwa sababu hana solution ya matatizo, ni kuua tu, hataki challenge, ni kuua tu anachotaka ni watu kuamini uharo wake anaouita maandiko matakatifu.

Mwisho, dini ni utapeli kama utapeli mwingine mungu hayupo usihamgaike na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
 
hujaelewa vizuri tofautisha uislamu na matendo ya watu hata kama ni uislamu,hakuna maelekezo ya kiislamu yanayosema wafanye ukatili

The Quran’s Sura 5:33 says about infidels, “They shall be slain or crucified, or have their hands and feet cut off.” Sura 9:5 says, “Slay the infidels wherever you find them ... and lie in wait for them ... and establish every stratagem (of war against them).” Sura 47:4-9 promises paradise to whoever cuts off the head of an infidel.
 
Umejazwa ujinga ukakujaa. Uislam hauna ukatili na wala haufundishi ukatili.

Mnajazwa ujinga na mashetani ili msiusome Uislam.

The Quran’s Sura 5:33 says about infidels, “They shall be slain or crucified, or have their hands and feet cut off.” Sura 9:5 says, “Slay the infidels wherever you find them ... and lie in wait for them ... and establish every stratagem (of war against them).” Sura 47:4-9 promises paradise to whoever cuts off the head of an infidel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…