Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Hamas wanaweka silaha za kivita kwenye makazi ya watu, misikitini
Israel wakishambulia lazima wawaue na raia wasio na hatia hizo ndo mbinu za hamas

Unaenda mchokoza mwenzako alafu kambi zako umeziweka kwenye makazi ya watu na nyingine msikitini
Sasa mbona hatupigi kelele nyie kitu kdogo eti magaidi.

Tunaishi hapa bongo waislamu mnawajua wote kwa nn msiende kutushtaki sisi ni magaidi?

Mauaji ya kimbali husemi? Yule nchungaji wa kenya juzi kaua watu mamia ila hakuitwa gaidi ila waislamu wamekaa kimya.!!

Tuje hapa Tz kaangalie mikoa yenye mauaji mengi na watu weny roho mbaya then uje hapa na takwimu.
 
Wewe elimu huna 😅😅 umekariri hiyo unayosema hauna kitu unachojua ,tafuta wapumbavu wenzio ndio uwaambia huo ujinga eti space science wakati hujui chochote unakariri.

Kuna mwana anga hapa Tanzania toa utapeli wako hapa!!😅😅
Acha basi kujichekesha chekesha, ama unataka nikushikishe ukuta?

Kama nakariri vitu navyiona, wewe una akili kweli kuamini eti kuna mbingu mumeo ataenda kupewa wanawake 72 na mito ya pombe halafu wewe usipewe chochote? Una akili kweli kichwani?
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo.

Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano; mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99.

Juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo hatafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini.

Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa Kimarekani na wa nchi za Ulaya, kupelekea nchi za Mashariki ya Kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa Bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha.

Hata hawa waislam wa Bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au Afaghanstan, wangeelewa shoo.

Juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, Waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za Uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu, wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
Muda mwingi Huwa nasema kama huna Elimu na Kitu ni bora kunyamaza kwani Unatengeneza Tabia kichwani kujiona Kama unakijua kumbe hta robo hujui..

Ndugu Mhaya Pengine nikuambie kwamba huitaji elimu kubwa sana kuhusu Uislamu ili kujua ulichoandika Sio sahihi hata kidogo..
Unanasibisha Makundi ya kigaidi na uislamu kitu ambacho sio sahihi japo yanaongozwa na baadhi ya waislamu wasio kuwa na Nia nzuri na uislamu ila haibadilishi dhamira nzima ya Uislamu kwa jamii..

Uislamu hairuhusu kamwe kumwaga damu ya Mtu yoyote na Mtu atakayemwaga hata damu ya mtu mmoja huhesabiwa ni kama amefanya mauaji ya Dunia nzima..
na yoyote atakayefanya Kazi ya kumuokoa mtu mmoja ni kama ameokoa Dunia nzima.. Kwa kuanzia yaani kwa wewe kama basic kasome Suratul Maida aya 32

KUHUSU WANAWAKE..
Huwa nasema hivi Dini zote zenye imani ya ibrahim zote zima sheria zinazofanana kuhusu Wanawake..
Japo kwa sheria za Kikristo zimezidi ukandamizi kuliko Dini zote (Jaribu kusoma biblia),Utagundia kwamba wanawake hawakuhesabiwa kitu na walionekana kama kituko mtu kuzaa wanawake na alionekana kidume mtu kuzaa wanaume..
Kabila la 13 La yakobo Huwezi kulisikia popote wala mtoto wa 13 huwez kumsikia popote akitajwa kwa sababu tu Dina alikuwa ni mwanamke ..
Na sehemu nyingi sana mwanamke amekandamizwa na kuonekana asiye na thamani....

Hilo swala liko tofauti katika upande wa uislamu kwani nyumba ya mtume Inayoitwa Tukufu (ahulul bayt) Imetokana na Mtoto wa mtume Fatma ambaye ni mtoto wa kike katika uislami mwanamke kapewa favor kubwa sana..

kuhusu ugaidi kuna makundi mengi sana ya kikristo ya ugaid as same as muslim
 
Hata wakizaliana vipi hawezi kuzidi
Screenshot_20231015-100703.png
 
Ronaldo kamkumbatia mchoraji kwa kumchora huko Iran kagewa adhabu ya viboko 99.

Ubalozi wa Iran umesema adhabu haipo ila watu wamekomaa naye kiasi kwamba yawezekana asirudi tena Iran
Mbona humzungumzii Rais wa Socaa kma sikosei Hispania aliyemkumbatia na kumbusu mchezaji wa kike baada ya kushinda hukumu yake?
 
Muda mwingi Huwa nasema kama huna Elimu na Kitu ni bora kunyamaza kwani Unatengeneza Tabia kichwani kujiona Kama unakijua kumbe hta robo hujui..

Ndugu Mhaya Pengine nikuambie kwamba huitaji elimu kubwa sana kuhusu Uislamu ili kujua ulichoandika Sio sahihi hata kidogo..
Unanasibisha Makundi ya kigaidi na uislamu kitu ambacho sio sahihi japo yanaongozwa na baadhi ya waislamu wasio kuwa na Nia nzuri na uislamu ila haibadilishi dhamira nzima ya Uislamu kwa jamii..

Uislamu hairuhusu kamwe kumwaga damu ya Mtu yoyote na Mtu atakayemwaga hata damu ya mtu mmoja huhesabiwa ni kama amefanya mauaji ya Dunia nzima..
na yoyote atakayefanya Kazi ya kumuokoa mtu mmoja ni kama ameokoa Dunia nzima.. Kwa kuanzia yaani kwa wewe kama basic kasome Suratul Maida aya 32

KUHUSU WANAWAKE..
Huwa nasema hivi Dini zote zenye imani ya ibrahim zote zima sheria zinazofanana kuhusu Wanawake..
Japo kwa sheria za Kikristo zimezidi ukandamizi kuliko Dini zote (Jaribu kusoma biblia),Utagundia kwamba wanawake hawakuhesabiwa kitu na walionekana kama kituko mtu kuzaa wanawake na alionekana kidume mtu kuzaa wanaume..
Kabila la 13 La yakobo Huwezi kulisikia popote wala mtoto wa 13 huwez kumsikia popote akitajwa kwa sababu tu Dina alikuwa ni mwanamke ..
Na sehemu nyingi sana mwanamke amekandamizwa na kuonekana asiye na thamani....

Hilo swala liko tofauti katika upande wa uislamu kwani nyumba ya mtume Inayoitwa Tukufu (ahulul bayt) Imetokana na Mtoto wa mtume Fatma ambaye ni mtoto wa kike katika uislami mwanamke kapewa favor kubwa sana..

kuhusu ugaidi kuna makundi mengi sana ya kikristo ya ugaid as same as muslim
We subiria ukienda ahera utapewa mabikira 72 mizigo uishughulikie
Hivi ahera wanawake wanapata nini
 
We subiria ukienda ahera utapewa mabikira 72 mizigo uishughulikie
Hivi ahera wanawake wanapata nini
Mkuu usisahau pombe tutayoigida ile yesu aliotuahidi kuwa atskunywa na sisi kwenye ulimwengu mpya..

NB:I dont think you point finger on the Right person Sipo katika kuamini story zozote za dini yoyote but i will mediate whatever wrong ambayo italetwa!
 
Yesu wapi aliahidi pombe embu niletee mstari kwenye biblia

We-jiandae ukashughulikie mabikira 72 mizigo
 
Hakufutwa na mahakama sababu lile sio kosa la jinai
Alijiuzulu acha uongo na upotoshaji
Kwanini alijiuzuru kama sio kupata shinikizo? na sijasema alifutwa na mahakama! Na kama lilikuwa sio kosa Kwanini alijiuzuru?
Na kama ni kosa kwanini likifanyika ulaya liwe kosa ila likifanyika Iran lisiwe kosa?
 
Hakutishiwa viboko hio ni case tofauti kabisa na ya christiano
 
Back
Top Bottom