Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Yesu wapi aliahidi pombe embu niletee mstari kwenye biblia

We-jiandae ukashughulikie mabikira 72 mizigo
Mkuu chukua Biblia yako Taratibu fungua Mathayo 26:29 au nenda taratibu fungua Marco 14:25
Mathayo 26:29


Pia soma Marko 14:25......

Mkuu sijasahi kukuabliana na mtu yyte atmnayeniambia mbinguni ni Some kind of physical place wala hakuna Raha sijui ya kuoa wala sijui kupata wasichana 72 sijawahi kukubali na sitakubali uongo wa aina yyte
 
Africa kusini imeendelea kabla ya Uhuru imejengwa na wazungu.
Nazungumzia mfumo wa uongozi sizungumzii idadi ya waislamu.
 
Kama kule taliban walivyowapiga ban wanawake kusoma na kufanya kazi
Jamaa yangu umesahau chuo cha kwanza Duniani kufundisha mwanamke kilitokea Jamii gani na ni chuo gani? Kma historia hiyo huna kasome...
Umesahau pia Wasomi wengi wa kike walitokea Mashariki ya kati ?
 
Hakutishiwa viboko hio ni case tofauti kabisa na ya christiano
Viboko ndo hukumu ya nchi ya iran kwa makosa kama hayo kila nchi ina hukumu Zake, Haihitaji hata Degree ya sheria kujua hiko katafute mwanasheria akufafanulie hilo
 
Jamaa yangu umesahau chuo cha kwanza Duniani kufundisha mwanamke kilitokea Jamii gani na ni chuo gani? Kma historia hiyo huna kasome...
Umesahau pia Wasomi wengi wa kike walitokea Mashariki ya kati ?
Dini ya uislamu imeanza baada ya muhammad waka 600+
Huu mfumo wa kusoma walioleta ni kina plato, aristotle, na socrates wote hao ni wagiriki waliishi miaka 200 kabla hata ya Yesu kuzaliwa na sio waarabu
 
Watu wanaopenda kuoa wake wengi utawajua tuu hahaha
 
Viboko ndo hukumu ya nchi ya iran kwa makosa kama hayo kila nchi ina hukumu Zake, Haihitaji hata Degree ya sheria kujua hiko katafute mwanasheria akufafanulie hilo
Kwa we unaona ni sawa yaan kumkubatia tu mwanamke unauhukumiwa viboko kwa akili yako unaona ni sawa
 
Dini ya uislamu imeanza baada ya muhammad waka 600+
Huu mfumo wa kusoma walioleta ni kina plato, aristotle, na socrates wote hao ni wagiriki na sio waarabu
Bahati mbaya pia hata Hujui kuhusu Historia ya Elimu dah kweli kazi ipo Hapa kwako....

Unazungumzia elimu ya juzi ya kina Plato mkuu Are you serious?
Education has been a fundamental aspect of human society for thousands of years. Kuhusu Ancient civilizations,
Ilianza Tangu enzi za Mesopotamia, Misri , China, na kwa wahindi huko na wali-establish well educational systems ambayo ina predate the time of Plato, ambaye aliishi miaka ya 427-347 BCE.
Ukianza na Misri wao walifundishwa hesabu,Elimu ya dini na kuandika na elimu zingine vivyo hivyo na wengine...

Mind you Mesopotamia ndo irani,Iraq na Jirdan ya leo..

Na kwa kukukumbusha tu Hata Paulo baada ya kujiita kuwa amepata Utume kutoka kwa Yesu alienda kwanza uarabuni akakaa huko kwa muda usiopungua miaka mitatu ndo akaenda Yerusalem (Alienda kule kula nondo za civilization and how to tackle things)

Soma wagalatia 1;16-17
 
Kwa we unaona ni sawa yaan kumkubatia tu mwanamke unauhukumiwa viboko kwa akili yako unaona ni sawa
Kila sehemu na utaratibu wake kila Mahali na sheria zake Akon Miaka fulani alifungiwa kufanya show na akaloose utajiri wake kwa Asilimia 40% kwa just kumkumbatia msichana tu kwenye show yake,Inasemekana msichana alikuwa na miaka 20 na Kwa marekani haikuruhusiwa kufanya hivyo....
So tufike mahali tuheshimu Mila na Desturi za kila mahali
 
Moja katika ya bandiko bora sana.
Aione Bibie wa mitaa ya Tandamti FaizaFoxy na Ustaadhi wa gas for haitoki Ntwara THE BIG SHOW kwa utetezi
 
Ila alifutwa cheo na mahakamani juu..So kila sehemu ,jamii ima sheria zake na utaratibu wake ni vyema kufata sheria na utaratibu mahalia
Acha ujinga unafananisha kumkumbatia mtu na kumkiss mdomoni...peleka shiti zako huko...haupo serious
 
Acha ujinga unafananisha kumkumbatia mtu na kumkiss mdomoni...peleka shiti zako huko...haupo serious
Vipi kuhusu Akon mkuu..
Ndo maana nikasema kila sehemu na Taratibu zake Iran ni nchi inayoendeshwa kwa sheria za kiislamu..

Kwa sheria za kiislamu sio kukumbatia tu hairuhusiwi hata kushika mikono na Mwanamke ambaye afaa kuwa mke wako
 
Vipi kwenye bible Mungu alipo mwambia Joshua na jeshi lake waue watu wote ?

Soma kitabu cha Samuel wa kwanza na Samuel wa pili uone idadi ya watu alio waua King David ambae alikuwa kipenzi cha Mungu halafu ndio uje uwaseme waislamu

Tangu lini umeanza kuiamini bibilia ambayo kila siku manasema sio halisi imechakachuliwa,niletee biblia orginal,au kuna vitabu feki na original ndani ya biblia.

Nikkimbushe wakristo wanaamini zaidi injili na Maisha ya Yesu Kristo.
 
Tatizo letu ngozi nyeusi kusoma hatutaki tukilishwa sumu na waliyosoma tunapokea bila kutafakari.
 
Kumbe we mpuuzi, kongo kuna Islamic state toka lini, acha ujinga wewe hapa kunawatu walioelimika na wanaofuatilia mambo unadhani kuna wajinga wenzio hapa. Tuondeshee udini wako hapa.

ISIS–Democratic Republic of Congo (ISIS-DRC), also called ISIS–Central Africa and locally known as the Allied Democratic Forces (ADF), is one of the deadliest militant groups in eastern Congo.
 
Uislamu hujakataza wanawake kwenda shule. Kutafuta elimu ni lazima kwa kila muislamu

The Taliban barred women from campuses last December, triggering global outrage. Girls had been banned from school beyond sixth grade soon after the Taliban returned to power in August 2021. Afghanistan is the only country in the world with bans on female education.
 
'na nyie wazee wakkufffi#rana
 

Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    59.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…