Hoja Ujamaa na Ubepari! Hayo ya Jiwe yanatoka wapi? Kwani hapa Africa kuna inchi ngapi ambazo zenyewe zina mlengo wa kibepari na bado maskini?... ajabu zaidi raia wa Tz waliisharogwa kiasi vinazaliwa vitoto vichanga na 'KUSEMA'π ati rais aliyepo afuate nyayo za Jiwe! ... yaani, kwa uzito wa akili, baadhi ya wabongo hawakuona kuwa Jiwe alikuwa anatupeleka chaka!
Hebu tupe falsafa ya ujamaa vs ya ubepari, kisha utuambie Russia na China kwa nini ni wajamaa"MAKUWADI WA MABEBERU"
Wala hamuongelei jinsi UJAMAA ulivyovikwa "umbuzi wa kafara" ili uonekane haufai!!! Wala hamuongelei jinsi WAJAMAA WANAVYOKANDAMIZWA KWA VIKWAZO na mbinu nyingi chafu kuonekana si lolote si chochote....!
Na katika katika mifano yenu wala na kamwe hamtaitaja nchi ya kijamaa kama LIBYA na CUBA ambazo pamoja na kubanwa hazikupigia goti UBEPARI
Vilevile mnasahau UJAMAA sio STATIC, una aina zake, una hatua zake na mikakati yake...! CHINA ni nchi ya kijamaa ambayo imesonga mbele kwa style yake ambayo MEREKANI anaduwaa mpaka leo .... ukiuliza MAKUWADI WA MABEBERU wanakwambia China inafata UBEBARI na si ujamaa!!!!! (WAMEPIGWA NA CHINA BILA KUJUA WAKIDHANI NI MWENZAO) Huo sasa ndo ujamaa!!!
UJAMAA HAUBWABWAJI.......... RUSSIA ANAENDELEA KUTOA SOMO ZURI ... UJAMAA NI IMANI
#
iko hivi , mfumo wa ujamaa ni mzuri , ndiyo ulioujenga strong USSR ambao ulifanyiwa fitina na hao mnaowaita superpowers , changomoto ya mfumo wa kidemokrasia Afrika ni elimu ya uraia kwa wananchi .Ngoja Russia iiangushe Marekani, then mkuje hapo muone uzuri wa ujamaa.
Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.
Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k
Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.
Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.
Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.
Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.
Hii ni kwa ufupi sana.
Labda tuanze kwa kusema kuwa katika mifumo iliyopo na iliyokuwepo.... kuna mtu muhimu anaitwa KARL MARX hakika ukimjua vizuri huyu unaweza kujua ni njia ipi ya kufuata....... "CLASS STRUGGLE"Kijana wa 1990s akichambua mfumo wa 1960s hata kitabu cha Ujamaa tu haja kisoma!!
Nasisitizahakuna cancer kubwa inayoua uchumi na ubunifu wa nchi kama ujamaa
Ww kama huelewi mpaka sasa kwamba ss waafrika hatuwezi kusimamia mambo ya Msingi itakuchukua muda kupata connection ya vitu,na ndio maana tunalaumu Ujamaa,je huo ubebari unaokusanya Rasilimali na kuzipeleka ulaya unatuachia nn sisi kama waafrika,kumbe utambue kwamba mpaka sasa hatuna tunachoweza kusimamia kwa kutumia akili zetu ni ujinga tu umetutawala na kulalamikia mifumo tu.Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.
Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k
Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.
Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.
Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.
Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.
Hii ni kwa ufupi sana.
[emoji23][emoji23]Ngoja Russia iiangushe Marekani, then mkuje hapo muone uzuri wa ujamaa.
China bado ni wakomunist mpaka leo japo wanaendesha uchumi wa kibepari. Kuna viwanda vingi sana china ambavyo ni mali ya serikali. Nchi za Scandinavia za Norway, Sweden na Finland ni za kijamaa, lakini uchumi unaendelea kibepari. Ujinga katika uongozi wa nchi ndio unaorudisha nyuma nchi, siyo siasa za ujamaa. Tulipata viongozi wajinga ambao hawakuwa na vision bali kutaka kukamilisha term zao tu na hivyo wakaanza kuuza viandwa na mashirika kiholela na kuiacha nchi haina dira. Ujamaa wenye dira hauurudishi nchi nyuma.Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.
Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k
Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.
Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.
Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.
Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.
Hii ni kwa ufupi sana.
Ule ni aina ya ujamaa wa wao kama wao!!...ujamaa siyo eti uwe Maskini tuuuu!! Big noooo!! hamunielewiga siujui kwa nini?? watanzania wkt wa ujamaa na kujitegemea walikuwepo Mabepari hasaaa!Nchi za Scandinavia za Norway, Sweden na Finland ni za kijamaa, lakini uchumi unaendelea kibepari.
Unachoongea hakieleweki, na inawezekana huenda ukawa hujui ujamaa uliokuwapo Tanzania bali unajua kuukosa tu! Uandishi yako wenye kutumia generalization kama vile "ndipo mliposhindwa" ni wa low level sana kwani haujadili dhana bali unajadili watu.Ule ni aina ya ujamaa wa wao kama wao!!...ujamaa siyo eti uwe Maskini tuuuu!! Big noooo!! hamunielewiga siujui kwa nini?? watanzania wkt wa ujamaa na kujitegemea walikuwepo Mabepari hasaaa!
Kama Tanganyika Bus!! Mwita chacha Manko, Manka enterpises, Rupia Buildings LTD! nk! kwa uchache tu! walimiliki mpaka viwanda ..ubepari lazima uwepo lkn kwa misingi ya ujamaa na kujitegemea!
tatizo la wabongo wana tafsiri ujamaa vibaya kwa vile wanavo dhania wao ni sahihi! ! eti wooote muwe maskini tyuuuuu!! kuanzia rais mpaka kwa muosha choo! wote muwe sawa sawia!
basii shida kwa kwenda mbele ndo hapo wengi mlipo shindwa make hamkuwahi kuelewa somo!! Israel nimeenda huko wana vijiji na mashamba yao makuuubwa ya ujamaa na kujitegemea maarufu km Kibutz!
hao ndo wanaujua ujamaa!!...na hata hao Mabepari wa nchi za western walivyo nikuwa wana ukumbatia ujmaa jana na leo wana practise ujamaa ktk hali ambayo wewe maskini wa Dunia ya tatu kamwe hutaujua.
Mabepari wanacho fanya ni kukuchanganyeni Dunia ya tatu!! wanakupa na kukufanyia kila kitu ili ubweteke, na ili muwe Mabwege wooote na msipende kazi! wala msiwe wabunifu wa mambo!
Kila ukibuni kitu kipya wanakupiga pin! ilimradi uko nao hapo!! wanakwambia hii ilisha buniwa toka miaka mingi ina hati milki yake huko kwa USA, inakubidi ulipie wkt wanajua huna hela utashindwa tu!!
Ujamaa siyo kwamba wasiwepo Mabepari sisi hatukusema ivooo!...ujamaa siyo uadui/umaskini/majungu/fitina/chuki/kusakama na Mabepari!! mnakosea NA hamkutuelewa ilipaswa kuwa na somo leeefu sana ili tuwatoe tongotongo!
Ipo hivi hao mabepari wachache kwenye mfumo wa ujamaa ni lazima wawe wanalink na watawala au watawala wananufaika direct au indirect Ili waweze kusurvive nje ya hapo ni lazima washughulikiwe. Tanganyika bus alisurvive kwa kutoa mabus yake wakati wa vita vya kagera, wapo matajiri walioshughulikiwa baada ya kugoma kutoa au kushindwa kutoa mali zaoUle ni aina ya ujamaa wa wao kama wao!!...ujamaa siyo eti uwe Maskini tuuuu!! Big noooo!! hamunielewiga siujui kwa nini?? watanzania wkt wa ujamaa na kujitegemea walikuwepo Mabepari hasaaa!