Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

... ajabu zaidi raia wa Tz waliisharogwa kiasi vinazaliwa vitoto vichanga na 'KUSEMA'😅 ati rais aliyepo afuate nyayo za Jiwe! ... yaani, kwa uzito wa akili, baadhi ya wabongo hawakuona kuwa Jiwe alikuwa anatupeleka chaka!
Hoja Ujamaa na Ubepari! Hayo ya Jiwe yanatoka wapi? Kwani hapa Africa kuna inchi ngapi ambazo zenyewe zina mlengo wa kibepari na bado maskini?
 
"MAKUWADI WA MABEBERU"

Wala hamuongelei jinsi UJAMAA ulivyovikwa "umbuzi wa kafara" ili uonekane haufai!!! Wala hamuongelei jinsi WAJAMAA WANAVYOKANDAMIZWA KWA VIKWAZO na mbinu nyingi chafu kuonekana si lolote si chochote....!

Na katika katika mifano yenu wala na kamwe hamtaitaja nchi ya kijamaa kama LIBYA na CUBA ambazo pamoja na kubanwa hazikupigia goti UBEPARI

Vilevile mnasahau UJAMAA sio STATIC, una aina zake, una hatua zake na mikakati yake...! CHINA ni nchi ya kijamaa ambayo imesonga mbele kwa style yake ambayo MEREKANI anaduwaa mpaka leo .... ukiuliza MAKUWADI WA MABEBERU wanakwambia China inafata UBEBARI na si ujamaa!!!!! (WAMEPIGWA NA CHINA BILA KUJUA WAKIDHANI NI MWENZAO) Huo sasa ndo ujamaa!!!

UJAMAA HAUBWABWAJI.......... RUSSIA ANAENDELEA KUTOA SOMO ZURI ... UJAMAA NI IMANI
#
Hebu tupe falsafa ya ujamaa vs ya ubepari, kisha utuambie Russia na China kwa nini ni wajamaa
 
Ngoja Russia iiangushe Marekani, then mkuje hapo muone uzuri wa ujamaa.
iko hivi , mfumo wa ujamaa ni mzuri , ndiyo ulioujenga strong USSR ambao ulifanyiwa fitina na hao mnaowaita superpowers , changomoto ya mfumo wa kidemokrasia Afrika ni elimu ya uraia kwa wananchi .
 
Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.

Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k

Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.

Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.

Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.

Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.

Hii ni kwa ufupi sana.

Mbona nchi ambazo hazikuwa za kijanaa ndiyo maskini wa kutupwa, kulikoni!
 
Kijana wa 1990s akichambua mfumo wa 1960s hata kitabu cha Ujamaa tu haja kisoma!!
Labda tuanze kwa kusema kuwa katika mifumo iliyopo na iliyokuwepo.... kuna mtu muhimu anaitwa KARL MARX hakika ukimjua vizuri huyu unaweza kujua ni njia ipi ya kufuata....... "CLASS STRUGGLE"
 
Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.

Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k

Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.

Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.

Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.

Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.

Hii ni kwa ufupi sana.
Ww kama huelewi mpaka sasa kwamba ss waafrika hatuwezi kusimamia mambo ya Msingi itakuchukua muda kupata connection ya vitu,na ndio maana tunalaumu Ujamaa,je huo ubebari unaokusanya Rasilimali na kuzipeleka ulaya unatuachia nn sisi kama waafrika,kumbe utambue kwamba mpaka sasa hatuna tunachoweza kusimamia kwa kutumia akili zetu ni ujinga tu umetutawala na kulalamikia mifumo tu.
 
United States Comments On Designating Russia ‘Terrorism Sponsor’

The US is considering the matter of recognizing Russia as “a state sponsor of terrorism,” US Ambassador to Ukraine Bridget Brink has said, emphasizing that the issue must be carefully analyzed from a legal point of view.

“With regard to designation as a state sponsor of terrorism, this is something we are looking at and reviewing. Any such designation requires a careful review in accordance to our own laws,” she said.

Countries daubed with this status – currently Cuba, North Korea, Iran and Syria – are subject to harsh sanctions.

Subscribe to RT
 
Kuendelea kulalamikia ujamaa au Nyerere ni kutafuta sababu za kuhalalisha failures zenu. Nchi ishaondoka huko zamani na watu wanatoboa Kila siku.

"If you are born poor it’s not your mistake but if you die poor it’s your mistake" Vijana pambaneni na Hali zenu msitafute mchawi nani.
 
Wanahistoria, wachambuzi na watu wengine wengi mnaopenda kufuatilia maendeleo katika bara la Africa mnapaswa kutilia maanani madhara, hasara na legacy ya ujamaa katika kufifisha maendeleo ya nchi za Africa zilizofuatisha mfumo huo wa uchumi.

Nchi nyingi za Africa wakati zinapata uhuru miaka ya 1960 zilipata uhuru na zikarithi uchumi wa wakoloni uliokuwa ukikua.Viwanda vilivyokuwepo vilikuwa vikifanya kazi kwa ufanisi, hali ya biashara ilikuwa nzuri, sekta ya kilimo ilikuwa nzuri inayokua huku ikiweza kulisha raia wote bila kuagiza chakula nje, hifadhi ya fedha za kigeni ilikuwepo, huduma za kijamii nazo zilikuwa zikisonga mbele n.k

Punde tu baada ya kupata Uhuru miaka ya 60 baadhi ya viongozi kama Nkuramah, Leopold Senghor, Sekou Toure, Julius Nyerere, Kaunda, Milton Obote, Mengistu Haile Mariam(Ethiopia haikuwahi kuwa koloni)na wengine wakaja na sera zao za ujamaa. Japo zilitofautiana lakini zilifanana katika mambo muhimu kama "nationalization", vijiji vya ujamaa, chama kimoja, na kutoruhusu uwekezaji kutoka nje.

Kitu walichosahau au ambacho hawakuzingatia viongozi hawa ni kwamba Africa kwa asili yake ilikuwa ni bara la soko huria au la kibepari tangu karne na karne. Kabla ya ukoloni na hata baada ya wakoloni kuja. Ujamaa ulioletwa miaka ya 1960 hadi 70 ulikuwa kitu kigeni sana kwa raia wa bara hili. Uliharibu na kuvuruga mfumo mzima wa soko huria uliojengeka kwa karne nyingi.

Ujamaa ulileta rushwa, uzembe, matumizi mabaya ya rasilimali na kodi za wananchi. Uliondoa hata uhuru wa ukosoaji ambao ulikuwepo wakati wa ukoloni! Matokeo yake kadri miaka ilivyosonga mbele uchumi wa hizi nchi na nyingine nyingi za Africa ukadorora sana, ukawa mbovu, viwanda vikafa na vingine vikawa havianzishwi, biashara ikasinyaa, uhuru wa raia ukaminywa, migogoro ikachachamaa, umaskini ukazidi kutapakaa.

Ujamaa ni mfumo ovu sana uliochangia pa kubwa kuliharibu bara hili zuri. Unapaswa kulaaniwa na mtu yeyote anayetazamia siku nzuri za usoni katika bara hili.

Hii ni kwa ufupi sana.
China bado ni wakomunist mpaka leo japo wanaendesha uchumi wa kibepari. Kuna viwanda vingi sana china ambavyo ni mali ya serikali. Nchi za Scandinavia za Norway, Sweden na Finland ni za kijamaa, lakini uchumi unaendelea kibepari. Ujinga katika uongozi wa nchi ndio unaorudisha nyuma nchi, siyo siasa za ujamaa. Tulipata viongozi wajinga ambao hawakuwa na vision bali kutaka kukamilisha term zao tu na hivyo wakaanza kuuza viandwa na mashirika kiholela na kuiacha nchi haina dira. Ujamaa wenye dira hauurudishi nchi nyuma.
 
Dola za Kiafrika za Kale hapa Tanganyika kama, Nyungu ya Mawe( Unyanyembe), Hehe, Mirambo, Gogo, Uluguru, Chaga, Haya zote zilikua katika stage ya Feudalism( Ujamaa nyonyaji) na walikuwa vizuri sana kibiashara, ambapo walikua tayari kuhama kwenda kwenye Ubepari. Lakini Wakoloni Weusi walipoingia tu wakaturudisha nyuma kabisa huko kwenye Ujamaa wenye Ujima( Socialism). Mababue wanatucheka sana uko makaburini walipopumzika.
 
Ukichunguza saaana wanao uponda Ujamaa ni vilaza kabisaaa!! hawana shule ya kutosha Bendera fuata upepo! wakurupukaji wabandiaji!! Mwana JF yeyote anaye weza kutamka ujamaa!! na kuandika humu foramuni!!

Lazmia huyo atakuwa mtu mzima anajua mifumo ya kisiasa Duniani kwa hiyo alifurahia sera za ujamaa na kujitegemea...Bepari kamwe hawezi kufurahia ujamaa wa Africa ana jua weusi watavuka tu!

Mleta mada ni mlaini wakurubuniwa na vijicent vya Mabepari!! sasa mabepari wanazinyanyua kiuchumi Kenya, Ghana, Nigeria nk hii ikiwa kama mifano ya mafanikio ya ubepari katika Africa ili kuzivutia nchi nyingine zinyonywe zaidi!

Ujamaa ni kuwa innovative!! uwe kivyako sasa weye mleta mada unafurahiavya kupewa km Mwanamke tu! hutaki kupata chako mwenyewe!! Ujamaa ni siasa za vidume hasa km wakurya!! hawatakagi ujinga!

Mleta mada ni mzaramo au mtu wa pwani! pwani huko hawa bana hawapendagi kazi ni kushindia chai ya rangi na kakitumbua kamoja na kukaa barazani!!

Mibepari ile ikikutaka kimasrahi bana, inaweza hata kukutawaza mavi ili mradi wapate wanachotaka lkn jua kuwa utailipia kama Mobutu! sasa ndo watu wa type yako! UJAMAA BADO ILIKUWA SERA SAHIHI HKN KOSA!

Ila nyie na watu wa type yako mkishirikiana na Mabepari ndo mmetuangusha, Gujiwe halikujua ujamaa tulio uhitaji sisi km sisi!! na wala jiwe siyo mjamaa yule! alikuwa ni chizi maarifa tu!
zenu
Msimuweke wala kuthubutu kwenye ujamaa wetu! tunao ulilia usiku na mchana!! nisije chana chana karatasi zenu humu jf kwa hasiraaa! mkaniona kichaa bureeee!!

anajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwao kijijini Gbadorite ndogo!!! unasema mjamaa yule ? weeee! umelewa nini!! au una papuchika sasa hivi.... matumizi ya hovyo yale ya hela ya Umma ever>
 
Nchi za Scandinavia za Norway, Sweden na Finland ni za kijamaa, lakini uchumi unaendelea kibepari.
Ule ni aina ya ujamaa wa wao kama wao!!...ujamaa siyo eti uwe Maskini tuuuu!! Big noooo!! hamunielewiga siujui kwa nini?? watanzania wkt wa ujamaa na kujitegemea walikuwepo Mabepari hasaaa!

Kama Tanganyika Bus!! Mwita chacha Manko, Manka enterpises, Rupia Buildings LTD! nk! kwa uchache tu! walimiliki mpaka viwanda ..ubepari lazima uwepo lkn kwa misingi ya ujamaa na kujitegemea!

tatizo la wabongo wana tafsiri ujamaa vibaya kwa vile wanavo dhania wao ni sahihi! ! eti wooote muwe maskini tyuuuuu!! kuanzia rais mpaka kwa muosha choo! wote muwe sawa sawia!

basii shida kwa kwenda mbele ndo hapo wengi mlipo shindwa make hamkuwahi kuelewa somo!! Israel nimeenda huko wana vijiji na mashamba yao makuuubwa ya ujamaa na kujitegemea maarufu km Kibutz!

hao ndo wanaujua ujamaa!!...na hata hao Mabepari wa nchi za western walivyo nikuwa wana ukumbatia ujmaa jana na leo wana practise ujamaa ktk hali ambayo wewe maskini wa Dunia ya tatu kamwe hutaujua.

Mabepari wanacho fanya ni kukuchanganyeni Dunia ya tatu!! wanakupa na kukufanyia kila kitu ili ubweteke, na ili muwe Mabwege wooote na msipende kazi! wala msiwe wabunifu wa mambo!

Kila ukibuni kitu kipya wanakupiga pin! ilimradi uko nao hapo!! wanakwambia hii ilisha buniwa toka miaka mingi ina hati milki yake huko kwa USA, inakubidi ulipie wkt wanajua huna hela utashindwa tu!!

Ujamaa siyo kwamba wasiwepo Mabepari sisi hatukusema ivooo!...ujamaa siyo uadui/umaskini/majungu/fitina/chuki/kusakama na Mabepari!! mnakosea NA hamkutuelewa ilipaswa kuwa na somo leeefu sana ili tuwatoe tongotongo!
 
Unachoongea hakieleweki, na inawezekana huenda ukawa hujui ujamaa uliokuwapo Tanzania bali unajua kuukosa tu! Uandishi yako wenye kutumia generalization kama vile "ndipo mliposhindwa" ni wa low level sana kwani haujadili dhana bali unajadili watu.

Ujamaa wa Tanzania haukutaka kila mtu awe maskini, lakini ulidhibiti upatikanaji wa mali kwa njia haramu kama vile rushwa, magendo na wizi. Akina Manko, Gachuma, Dr Winani, Chambiri Musoma Bus, Tanganyika, United Bus na makampuni mengine mengi yalikuwa yanamilikiwa na watu wasiokuwa maskini, ila upatikanji wa mali zile ulikuwa na trace record inoyojulikana. Hata marekani ukikurupuka kuwa na mali nyingie bila kuelewa watakudhibiti kukutaka ueleze umezitoa wapi. Wakati tunapata uhuru zaidi ya asilimia 90 ya wanachi walikuwa ni maskini sana wakiwa wanaishi huko maporini ambako hata walikuwa hawapeleki watoto watoto shule. Kwa hiyo unapoongelea kuwa serikali ilitaka watu wote wawe masikini sijui ulitegemea matajiri gani. Sasa hivi kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake lakini bado watu wanalalamika je kweli iwapo miaka hiyo kila mbuzi angekulwa kwa urefu wa kamba yake kweli nchi ingefika popote?
 
Lengo kuu la ujamaa ni kuwatawala watu kifikra na sio kuleta unafuu wa kiuchumi. Faida ya mfumo wa ujamaa ni kwa mtawala au watawala na sio kwa watawaliwa, lengo kuu la mfumo wa ujamaa ni kuwafanya watu wawe masikini Ili iwe wepesi kuwatawala. Thus ujamaa unaendana na umasikini ujamaa unaendana na udikteta.
Maana ni mifumo inayoendana.
 
Ule ni aina ya ujamaa wa wao kama wao!!...ujamaa siyo eti uwe Maskini tuuuu!! Big noooo!! hamunielewiga siujui kwa nini?? watanzania wkt wa ujamaa na kujitegemea walikuwepo Mabepari hasaaa!

Kama Tanganyika Bus!! Mwita chacha Manko, Manka enterpises, Rupia Buildings LTD! nk! kwa uchache tu! walimiliki mpaka viwanda ..ubepari lazima uwepo lkn kwa misingi ya ujamaa na kujitegemea!

tatizo la wabongo wana tafsiri ujamaa vibaya kwa vile wanavo dhania wao ni sahihi! ! eti wooote muwe maskini tyuuuuu!! kuanzia rais mpaka kwa muosha choo! wote muwe sawa sawia!

basii shida kwa kwenda mbele ndo hapo wengi mlipo shindwa make hamkuwahi kuelewa somo!! Israel nimeenda huko wana vijiji na mashamba yao makuuubwa ya ujamaa na kujitegemea maarufu km Kibutz!

hao ndo wanaujua ujamaa!!...na hata hao Mabepari wa nchi za western walivyo nikuwa wana ukumbatia ujmaa jana na leo wana practise ujamaa ktk hali ambayo wewe maskini wa Dunia ya tatu kamwe hutaujua.

Mabepari wanacho fanya ni kukuchanganyeni Dunia ya tatu!! wanakupa na kukufanyia kila kitu ili ubweteke, na ili muwe Mabwege wooote na msipende kazi! wala msiwe wabunifu wa mambo!

Kila ukibuni kitu kipya wanakupiga pin! ilimradi uko nao hapo!! wanakwambia hii ilisha buniwa toka miaka mingi ina hati milki yake huko kwa USA, inakubidi ulipie wkt wanajua huna hela utashindwa tu!!

Ujamaa siyo kwamba wasiwepo Mabepari sisi hatukusema ivooo!...ujamaa siyo uadui/umaskini/majungu/fitina/chuki/kusakama na Mabepari!! mnakosea NA hamkutuelewa ilipaswa kuwa na somo leeefu sana ili tuwatoe tongotongo!
Ipo hivi hao mabepari wachache kwenye mfumo wa ujamaa ni lazima wawe wanalink na watawala au watawala wananufaika direct au indirect Ili waweze kusurvive nje ya hapo ni lazima washughulikiwe. Tanganyika bus alisurvive kwa kutoa mabus yake wakati wa vita vya kagera, wapo matajiri walioshughulikiwa baada ya kugoma kutoa au kushindwa kutoa mali zao
 
Back
Top Bottom