Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
- #21
Alikuwa ana maono ya kutaka jamii iwe namna gani. Lakini alitaka kupita njia ya shortcut isiyo na uhalisia.Ujamaa siyo umbile la binaadam,ni fantasy tu... nyerere alipopewa nchi alikua na umri wa miaka 39 tu!!..umri mdogo kupambanua Mambo ya miundo wa jamii,mahaba yalimuongoza badala ya tafakuri jadidi,walau angemsikiliza kambona wakajadiliana kwa 'nia swafi'