Ujamaa uliofanywa na Nyerere ulikuwa umepingwa vikali sana na Karl Marx

Hiv unajua Bill gate akisema anafunga progmane zake zakuendesh android/internet Kuna mamilioni ya wat itakufa njaa?

Mkuu are you serious kuwa programme za android na internet ni za Bill Gate? Au unazungumzia jambo lingine tofauti na hili linalojadiliwa hapa?
 
Azimio la Arusha lilikua 1967..ngumu kusema alipata tanbihi ya ujamaa hiyohiyo 1967..ni kabla ya hapo
Yeye binafsi alipata urahibu wa falsafa ya kijamaa toka muda sana ila taifani falsafa iliidhinishwa kupitia azimio la arusha akiwa tayari mkomavu wa fikra pia umri wa Mwalimu ulikuwa sio kigezo kikubwa kusema fikra zake hazikua zimekomaa, Mwalimu alikuwa na umri mdogo ila akili yake ilikuwa kubwa sana.
 
Usawa wa mwalimu alio uhubiri kwenye ujamaa ni usawa kihuduma za kijamii na kukomesha matabaka kupitia kigezo cha rangi waafrika, waasia na wazungu n.k
Ndiyo kilichozaa msamiati walanguzi!?..na watu kutupa fedha/Mali porini!?..kivipi watanzania walikua wanalingana maisha Hadi 1990s mwanzoni!?...madai yako ni unafiki kwa kuwa unaona upogo kwenye zile sera
 
Yeye binafsi alipata urahibu wa falsafa ya kijamaa toka muda sana ila taifani falsafa iliidhinishwa kupitia azimio la arusha akiwa tayari mkomavu wa fikra pia umri wa Mwalimu ulikuwa sio kigezo kikubwa kusema fikra zake hazikua zimekomaa, Mwalimu alikuwa na umri mdogo ila akili yake ilikuwa kubwa sana.
Kusema alikua na akili kubwa ni kumkuza..alikua na uwezo wa kawaida wa kufikiri,mahaba ya ujana kwa ujamaa yalimpofua,Kama yeye alikua na akili kubwa kambona amabaye alitabiru pricesly Tanganyika itavyokua kwa kufuata ujamaa atakua na akili gani!?
 
Hayo aliyo zungumza kambona wewe umeya pata wapi ?

: Halafu andika vizuri ueleweke.
 
Ndiyo kilichozaa msamiati walanguzi!?..na watu kutupa fedha/Mali porini!?..kivipi watanzania walikua wanalingana maisha Hadi 1990s mwanzoni!?...madai yako ni unafiki kwa kuwa unaona upogo kwenye zile sera
Unafiki wangu upo wapi ?
 
Back
Top Bottom