Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Alikuwa ana maono ya kutaka jamii iwe namna gani. Lakini alitaka kupita njia ya shortcut isiyo na uhalisia.Ujamaa siyo umbile la binaadam,ni fantasy tu... nyerere alipopewa nchi alikua na umri wa miaka 39 tu!!..umri mdogo kupambanua Mambo ya miundo wa jamii,mahaba yalimuongoza badala ya tafakuri jadidi,walau angemsikiliza kambona wakajadiliana kwa 'nia swafi'
Kuwabana binaadam wawe na maisha sawa ni kinyume na umbile la binaadamAlikuwa ana maono ya kutaka jamii iwe namna gani. Lakini alitaka kupita njia ya shortcut isiyo na uhalisia.
Marx hakuhubiri usawa, alipinga kutumia mtaji kunyonya nguvu kazi ya wengine. Alisema si dhambi kwa mtu kujipatia mali kwa nguvu zake mwenyewe. hata biblia inahubiri hivyo(isaya 65: 21-22). Hawa waliotaka kulazimisha watu wawe sawa naona ndiyo waliharibu.Kuwabana binaadam wawe na maisha sawa ni kinyume na umbile la binaadam
Mkapitalist umekujaUjamaa siyo umbile la binaadam,ni fantasy tu... nyerere alipopewa nchi alikua na umri wa miaka 39 tu!!..umri mdogo kupambanua Mambo ya miundo wa jamii,mahaba yalimuongoza badala ya tafakuri jadidi,walau angemsikiliza kambona wakajadiliana kwa 'nia swafi'
Mi siyo capitalist...muumini wa free marketMkapitalist umekuja
Unafikiria Nn. Weka hoja zako nipime Kam una lugha kongwe inayofanana na nadharia ya populisthujui mambo.Wacha kupotosha!
Enhe, 1980s. Lete maneno Kam muafrikaMi siyo capitalist...muumini wa free market
Tengeneza stuli kauze,soko likiwa kubwa tengeneza nyingi zaidi..Kama yesu tuEnhe, 1980s. Lete maneno Kam muafrika
Unafikiri China na Tanzania wanaweza kushindana sokoni kwa usawa?Mi siyo capitalist...muumini wa free market
Hawa jamaa wansahau kuhus equity measures. Tatizo la free market limeashum usawa na uhur kitu ambacho si kweli. Kila mtu ananlipia afya, hat vitu ambavyo havikutakiwa kuwa bidhaa za kuuzwa vimegeuzwa kuwa bidhaa.Marx hakuhubiri usawa, alipinga kutumia mtaji kunyonya nguvu kazi ya wengine. Alisema si dhambi kwa mtu kujipatia mali kwa nguvu zake mwenyewe. hata biblia inahubiri hivyo(isaya 65: 21-22). Hawa waliotaka kulazimisha watu wawe sawa naona ndiyo waliharibu.
Isaya 65: 21-22
21. Watu watajenga nyumba na kuishi humo;
watalima mizabibu na kula matunda yake.
22. Hawatajenga nyumba zikaliwe na watu wengine,
wala kulima chakula kiliwe na watu wengine........
Wanaweza,bidhaa nyingi za china ni substandard,tengeneza bidhaa Bora..utauzaUnafikiri China na Tanzania wanaweza kushindana sokoni kwa usawa?
inabidi kuelimishana kuhusu equity na Equality.Hawa jamaa wansahau kuhus equity measures. Tatizo la free market limeashum usawa na uhur kitu ambacho si kweli. Kila mtu ananlipia aa, hat vitu ambavyo havikutakiwa kuwa bidhaa za kuuzwa vimegeuzwa kuwa bidhaa.
Kwa mtaji walionao wachina, kwa mazingira yao, support ya serikali yao nk. Unafikiri Mtz anaweza kuweka bidhaa zake zikashindana na za China.Wanaweza,bidhaa nyingi za china ni substandard,tengeneza bidhaa Bora..utauza
Wew unaleta idea za umasikin ni tatizo la mtu binafsi. Sio wazo baya. Unataka kusem kila mtu apmbane na Hali yake sioTengeneza stuli kauze,soko likiwa kubwa tengeneza nyingi zaidi..Kama yesu tu
Tengeneza nguo nzuri,hazichuji,uza kwenye soko third and second world,utauzaKwa mtaji walionao wachina, kwa mazingira yao, support ya serikali yao nk. Unafikiri Mtz anaweza kuweka bidhaa zake zikashindana na za China.
Ndiyo chachu ya maendeleo,hapo binaadam atakua radhi kuvuja jasho na damuWew unaleta idea za umasikin ni tatizo la mtu binafsi. Sio wazo baya. Unataka kusem kila mtu apmbane na Hali yake sio
Andika tusome na mawzo kutoka kwako
Hivi ndivyo wanavyohubiri watu wanaopigia debe soko huria, lakini kiuhalisia haipo hivyo hata kidogo na ni unaive mkubwa kufikiri ipo hivyo.Tengeneza nguo nzuri,hazichuji,uza kwenye soko third and second world,utauza
Ikoje!?Hivi ndivyo wanavyohubiri watu wanaopigia debe soko huria, lakini kiuhalisia haipo hivyo hata kidogo na ni unaive mkubwa kufikiri ipo hivyo.