Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.

Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.

Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.

Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.

Hivi unawaelewa hawa ?!!

Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha

#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
 
Nakushauri uende pale CCBRT utolewe tongotongo machoni, kwa maana macho unayo lkn huoni
 
.....naipita hiyo njia kila siku bila usaidizi huko njiani ,mikononi huwa nina "jumu" langu la kubebea Pweza pale soko la Msasani,sina fimbo ya kutembelea walemavu wa macho..nikirejea navuta sigara pale mkabala na TIRDO kabla ya kwenda kuuandaa MCHUZI WA PWEZA kijiweni kwangu...

Umesikia wewe binti wa Kizaramo kutoka Masanganya?!!
 
Unafiki umewajaa mpaka mmepitiliza, sasa hapo umetoa hoja gani. Punguzeni unafiki
 
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.

Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.

Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.

Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.

Hivi unawaelewa hawa ?!!

Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha

#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Ivi kumbe DP World wanatoa trilioni 22 kwa mwaka? Mbona ni hela nyingi sana?
 
Acha Ujinga wewe, Mashariti ya misaada ni hakikisho la Demokrasia ya kweli sio maneno na porojo.
Hivo misaada ikatwe
Sitasahau wema wako wa kumpatia tohara yule kijana wa kinyamwezi kwa fedha kiduchu ya shilingi elfu 30....kijana amepona vyema na ameniambia ameshafanya "mazoezi" ....ameusifu sana mkono wako kwa kumremba "kifyagio"....ha ha ha

Hivi Dr.wasiwasi wako juu ya kukatwa misaada ya USAID umekufikisha kuwa na hofu na hao waNorway wanaotupatia dola milioni 38?!!!
 
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.

Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.

Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.

Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.

Hivi unawaelewa hawa ?!!

Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha

#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Argue, don't shout.

Weka hoja, pinga hoja, kwa hoja.

Sio ad hominem logical fallacies.
 
Argue, don't shout.

Weka hoja, pinga hoja, kwa hoja.

Sio ad hominem logical fallacies.
Hoja yao : Dola milioni 38 kwa miaka 5.

Hoja yangu : DP WORLD kutupatia trilioni 22 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom