Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.

Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.

Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.

Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.

Hivi unawaelewa hawa ?!!

Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha

#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
DP WORLD NI UPUMBAVU NA UANITHI WA AKILI.
 
Mtoa mada anatetea tumbo lake huku wananchi wa kule Likonde wanakunywa maji machafu na ndama zao. Hongera sana mwanafamilia wa mama Samia.
Ni wapi katika hiyo thread nimetaja kulitetea TUMBO LANGU ?!!

Nioneshe nilipoutetea huo "mtumbo wangu" ...

Mh.Rais Samia na waziri wa maji mh.Jumaa Awesso walikuwa Handeni Tanga kuendelea kuwatumikia wananchi wa huko miongoni mwao ni MIRADI YA MAJI....nchi nzima hii mama ANAWATUA NDOO WANAWAKE.....
 
Huoni aibu unaandika uzi mrefu unatetea kupewa msaada kwenye kinchi chenye watu milioni 5 tu na rasilimali chache kabisa.

Nyie mko milioni 63 na rasilimali za kutosha mnachojua ni kumsifia rais, kununua gari za gharama na kujaza mabango ya mama anaupiga mwingi na huyo mama anga kutwa kutembeza kitambaa cha msaada na kuuza rasilimali.

Shame on you!
Soma tena "between lines" ...
Ni kweli tuko milioni 63 na kweli tunahitaji trilioni 22 za DP WORLD kila "fiscal year" ili akina Tundu Lissu wasiende "kutusemea kwa wajomba zao"....
 
Acha Ujinga wewe, Mashariti ya misaada ni hakikisho la Demokrasia ya kweli sio maneno na porojo.
Hivo misaada ikatwe
Zito na Ahmad Rashid ukiwasikiliza ndio utaelewa kuwa hizo kelele haziwezi kuwa kikwazo cha kuisumbua ccm.

Niishie hapo. Ccm ina marafiki wa kudumu hilo unatakiwa kulitambua na kuwa ajenda yako ya wakati wote na yakudumu
 
Hakika mkuu wangu !
 
Tumia akili wewe kijambio cha samia bushiri
Tundu Lissu aliupinga mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme pale Rufiji ..... AKATUSEMEA HUKO ULAYA !

Tundu Lissu aliupinga mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima hadi Chongoleani Tanga ....AKATUSEMEA HUKO ULAYA!
 
Sasa tundu lissu ana akili gani ukilinganisha na JPM ni sawa umlinganishe JPM NA KIKWETE AU SAMIA ....Usimfananishe jpm na mambo ya kishenziiiiiii
 
Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.

Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.

Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.

Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.

Hivi unawaelewa hawa ?!!

Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha

#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
𝚂𝚊𝚖𝚒𝚊 mitano tena
 
Wanaowapa msaada kigezo chao kikuu ni kutekeleza demokrasia ya kweli. Sasa kutekeleza demokrasia hamtaki, ila mnataka misaada yao mpewe!
 
Back
Top Bottom