Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Nakushauri uende pale CCBRT utolewe tongotongo machoni, kwa maana macho unayo lkn huoniAmerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
.....naipita hiyo njia kila siku bila usaidizi huko njiani ,mikononi huwa nina "jumu" langu la kubebea Pweza pale soko la Msasani,sina fimbo ya kutembelea walemavu wa macho..nikirejea navuta sigara pale mkabala na TIRDO kabla ya kwenda kuuandaa MCHUZI WA PWEZA kijiweni kwangu...Nakushauri uende pale CCBRT utolewe tongotongo machoni, kwa maana macho unayo lkn huoni
Unafiki umewajaa mpaka mmepitiliza, sasa hapo umetoa hoja gani. Punguzeni unafiki.....naipita hiyo njia kila siku bila usaidizi huko njiani ,mikononi huwa nina "jumu" langu la kubebea Pweza pale soko la Msasani,sina fimbo ya kutembelea walemavu wa macho..nikirejea navuta sigara pale mkabala na TIRDO kabla ya kwenda kuuandaa MCHUZI WA PWEZA kijiweni kwangu...
Umesikia wewe binti wa Kizaramo kutoka Masanganya?!!
Ivi kumbe DP World wanatoa trilioni 22 kwa mwaka? Mbona ni hela nyingi sana?Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Sitasahau wema wako wa kumpatia tohara yule kijana wa kinyamwezi kwa fedha kiduchu ya shilingi elfu 30....kijana amepona vyema na ameniambia ameshafanya "mazoezi" ....ameusifu sana mkono wako kwa kumremba "kifyagio"....ha ha haAcha Ujinga wewe, Mashariti ya misaada ni hakikisho la Demokrasia ya kweli sio maneno na porojo.
Hivo misaada ikatwe
Ndio mkuu....Ivi kumbe DP World wanatoa trilioni 22 kwa mwaka? Mbona ni hela nyingi sana?
Argue, don't shout.Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Mimi ni mswalihina sina tabia zako za kibaaasheer....Unataga?
Hoja yao : Dola milioni 38 kwa miaka 5.Argue, don't shout.
Weka hoja, pinga hoja, kwa hoja.
Sio ad hominem logical fallacies.
Basi kama ni ivi, naunga mkono uwepo wao.Ndio mkuu....
TICTS walitupatia trilioni 22 kwa miaka yote 22 waliyokuwepo pale bandarini......
Huyo ni bwabwaji tu mwenye ufuasi wa wasomi MBULULAAAZ....Tundu lissu atahukumiwa na video za maneno yake.
Ogopa sana Mungu na teknolojia
....hongera kwa kuujua ukweli huo....Basi kama ni ivi, naunga mkono uwepo wao.
Nawe umetoa hoja gani zaidi ya LOGICAL FALLACIES?!! .Njoo tunywe CIROC hapa T 7.....Unafiki umewajaa mpaka mmepitiliza, sasa hapo umetoa hoja gani. Punguzeni unafiki
Nina wasiwasi huelewi hata hoja ni nini.Hoja yao : Dola milioni 38 kwa miaka 5.
Hoja yangu : DP WORLD kutupatia trilioni 22 kwa mwaka
Ha ha ha mbango ?!!Nina wasiwasi huelewi hata hoja ni nini.
Sasa "Dola milioni 38 kwa miaka 5" ndiyo hoja?
Mbona hata kwenye sentensi haijafika?
(Ukiambiwa changanya na zakwako JK)Ivi kumbe DP World wanatoa trilioni 22 kwa mwaka? Mbona ni hela nyingi sana?