Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

Ruhusuni uchaguzi wa huru na haki!
 
Hizo trillion 60 za DP world zipo wapi ni nani anazila?
 
Huoni aibu unaandika uzi mrefu unatetea kupewa msaada kwenye kinchi chenye watu milioni 5 tu na rasilimali chache kabisa.

Nyie mko milioni 63 na rasilimali za kutosha mnachojua ni kumsifia rais, kununua gari za gharama na kujaza mabango ya mama anaupiga mwingi na huyo mama anga kutwa kutembeza kitambaa cha msaada na kuuza rasilimali.

Shame on you!
 
Mtoa mada anatetea tumbo lake huku wananchi wa kule Likonde wanakunywa maji machafu na ndama zao. Hongera sana mwanafamilia wa mama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…