DP WORLD NI UPUMBAVU NA UANITHI WA AKILI.Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Mzee wa logical fallacy..ππ long time no see..Argue, don't shout.
Weka hoja, pinga hoja, kwa hoja.
Sio ad hominem logical fallacies.
Ni wapi katika hiyo thread nimetaja kulitetea TUMBO LANGU ?!!Mtoa mada anatetea tumbo lake huku wananchi wa kule Likonde wanakunywa maji machafu na ndama zao. Hongera sana mwanafamilia wa mama Samia.
....wewe mwenyewe ni mkuu mbvvvvv unawezaje kudadavua ya kimantiki ?!!!D0 WORLD NI UPUMBAVU NA UANITHI WA AKILI.
Soma tena "between lines" ...Huoni aibu unaandika uzi mrefu unatetea kupewa msaada kwenye kinchi chenye watu milioni 5 tu na rasilimali chache kabisa.
Nyie mko milioni 63 na rasilimali za kutosha mnachojua ni kumsifia rais, kununua gari za gharama na kujaza mabango ya mama anaupiga mwingi na huyo mama anga kutwa kutembeza kitambaa cha msaada na kuuza rasilimali.
Shame on you!
....mapema sana!Watashindwa
Zito na Ahmad Rashid ukiwasikiliza ndio utaelewa kuwa hizo kelele haziwezi kuwa kikwazo cha kuisumbua ccm.Acha Ujinga wewe, Mashariti ya misaada ni hakikisho la Demokrasia ya kweli sio maneno na porojo.
Hivo misaada ikatwe
Hakika mkuu wangu !Zito na Ahmad Rashid ukiwasikiliza ndio utaelewa kuwa hizo kelele haziwezi kuwa kikwazo cha kuisumbua ccm.
Niishie hapo. Ccm ina marafiki wa kudumu hilo unatakiwa kulitambua na kuwa ajenda yako ya wakati wote na yakudumu
Tumia akili wewe kijambio cha samia bushiri....wewe mwenyewe ni mkuu mbvvvvv unawezaje kudadavua ya kimantiki ?!!!
Unabisha ?DP world wakupe Trilion 22,are you sneezing or something is wrong in your mind?
Hebu nionyeshe ilipotoa hata Trilioni 5 tu Mwaka jana,hivi vichwani kwenu kuna akili Au takataka?Unabisha ?
Unakataa ama umeamua kuandamana na mabango ?!!
Tundu Lissu aliupinga mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme pale Rufiji ..... AKATUSEMEA HUKO ULAYA !Tumia akili wewe kijambio cha samia bushiri
....shangaa jinsi Tundu Lissu alivyo mkurupukaji na mtegemea "wajomba kutoka nje ".Duh aiseee
Sasa tundu lissu ana akili gani ukilinganisha na JPM ni sawa umlinganishe JPM NA KIKWETE AU SAMIA ....Usimfananishe jpm na mambo ya kishenziiiiiiiTundu Lissu aliupinga mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme pale Rufiji ..... AKATUSEMEA HUKO ULAYA !
Tundu Lissu aliupinga mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima hadi Chongoleani Tanga ....AKATUSEMEA HUKO ULAYA!
Umeona eee ?!!Sasa tundu oisu ana akili gani ukilinganisha na JPM ni sawa umlinganishe JPM NA KIKWETE AU SAMIA ....Usimfananishe jpm na mambo ya kishenziiiiiii
πππππ mitano tenaAmerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.
Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215.
Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60.
Leo vibaraka koko wameingia msituni tusipewe dola milioni 38.
Hivi unawaelewa hawa ?!!
Nasemaje....hivi TL ana wafuasi "smart" vichwani ?!! Ha ha ha ha
#JMT Kwanza kivyovyote iwavyo!
Wanaowapa msaada kigezo chao kikuu ni kutekeleza demokrasia ya kweli. Sasa kutekeleza demokrasia hamtaki, ila mnataka misaada yao mpewe!Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha.