Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Umeambiwa kwamba wamenasa mawasiliano yao ya simu, hivyo ushahidi upo.
Kagame angewatrain na kuwacruit ujasusi wahutu ama makabila ya kongo wasio kuwa na muonekano wa kitutsi. Tatizo lake yeye kawaweka watutsi kila idara.

Yeye mwenyewe ni CIA recruit akujifunza kutoka kwao? Wale waliompeleleza Osama anapoishi Pakistan walikuwa CIA wenye asili ya Pakistan tena waaminifu kwa marekani.

Kagame kawa mbinafs na kujenga chuki na jamii zingine kiasi kwamba
 
Sijakupata sawa sawa naomba ufafanuzi zaidi.
Yani ndege ya juvenile habriymana iliangusha 6/4/1994 saa mbili jioni alikuwa na rais wa burundi.
Iliangushwa na RPA eneo la masaka hill kigali rwanda .
Mtu aliyeangusha ni anaitwa general Jack nzinza , alitumia kombola la aina ya 16 igla surface to air missile russian made missile.
Waliuwa na watu wengine wawili general james kaberebe na Erick akizimana.
Shot down plan ndio ilitriger genocide rwanda.

JACK nzinza 👇
 
Watu wakiambiwa ndege ya Habyarimana ililipuliwa na RPF hawaamini, kitendo kilicho spark the 1994 Rwanda Genocide.

Rwanda wanataka kurudia kosa lilelile linaloweza kusababisha Genocide ya Banyamulenge huko Congo.
Ni Kweli hatuamini, na ni ngumu kuamini.
Na wengi hatutoamini.
 
Itakuwa kweli , hawa Rwanda wako na majasusi wengi sana katika baadhi ya nchi zikiwemo hizi za New EAC.

Wanapenda kutumia majasusi wa kike katika baadhi ya nchi Kama Uganda.

Mwaka 2016 nikiwa Uganda niliwahi kukutana na Binti mrembo sana pale Speke Resort Munyonyo, aisee Kuna codes zilinifanya nigundue she's the spy
 
Watu wakiambiwa ndege ya Habyarimana ililipuliwa na RPF hawaamini, kitendo kilicho spark the 1994 Rwanda Genocide.

Rwanda wanataka kurudia kosa lilelile linaloweza kusababisha Genocide ya Banyamulenge huko Congo.
Wacongo wataamini ni watutsi wameua raisi wao , ni kama 1994 ilivyotokea pale rwanda.
 
wee wacha bana mkagunduana duuh patamu hapo
 
Na sura za watusi hazijifichi angewapa uraia ata wahaya km hawaamini wahutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…