Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Nchi za maziwa makuu, dawa ya Kagame ni kumuondoa tu duniani hakuna namna nyingine! Aende akakae na Lucifer!
 
Itakuwa kweli , hawa Rwanda wako na majasusi wengi sana katika baadhi ya nchi zikiwemo hizi za New EAC.

Wanapenda kutumia majasusi wa kike katika baadhi ya nchi Kama Uganda.

Mwaka 2016 nikiwa Uganda niliwahi kukutana na Binti mrembo sana pale Speke Resort Munyonyo, aisee Kuna codes zilinifanya nigundue she's the spy
Mmoja nikuta kafungua bag yangu na kunipekuwa lakini hakupata chochote na mzigo nilimla
 
Back
Top Bottom