Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Kagame kakosea ila na wahutu nao wana roho mbaya sana
 
20230103_135643-jpg.2467785



Huyu Mzungu wa Amerika kusini nae amehusikaje humu?
Roméo Dallare , ndie alie kua mkuu wakikosi Cha umoja wa mataifa Cha kuilinda amani.
 
Kagame na genge lake wanahusika moja kwa moja na ile genocide ya 1994,, nashangaa kwanini hawakufunguliwa mashtaka kule arusha,, au kwa kuwa wao ndio wameshika dola Rwanda.
 
Serikali ya drc imesema kwamba imekamata majasusi wa Rwanda jijini Kinshasa. Ambao walifanikiwa kujipenyeza na kuwa ba mawqsiliano na maofisa wa juu wa jeshi la congo.

Majasusi HAO walikuwa wanapanga njama za kuangusha ndege ya rais felix.

Serikali ya congo imesema wanao USHAHIDI wa kutosha unaonyesha njama HIZO za mauaji ya rahisi felix.
Ushahidi huo upo kwenye simu zao waliokamatwa majasusi HAO.

jasusi mmoja ni MTOTO wa generali mmoja wa rwanda Jeneral Erick murokore. Ambaye ni mwanajeshi wa Rwanda mpaka sasa, ila kakamatwa Congo.

View attachment 2467714View attachment 2467715
Serikali ya rwanda WANASEMA kuwa sio kweli wamekamata watu ambao HAWANA hatia.

Mmoja wa majasusi wa rwanda aliyekamatwa anafanya kazi kwenye shirika mmoja la NGO congo linahusu afya. AFRICA HEALTH DEVELOPMENT ORGANISATION.

Serikali ya congo wamesema USHAHIDI wanao.

MARA nyingi serikali ya rwanda unakuwa inashutumiwa kutuma majasusi nchi kama congo , Uganda, Burundi, kenya , south africa, zambia, Mozambique, Tanzania na zingine.

Picha chini ni ya watuhumiwa walikamatwa wamepigwa picha na serikali ya Congo.

View attachment 2467719View attachment 2467721
Hatari sana. Lakini kwanini Lagame yupo vile
 
Back
Top Bottom