Ujasusi Congo: Majasusi wa Rwanda wakamatwa nchini Congo

Kagame kakosea ila na wahutu nao wana roho mbaya sana
 
Kaberere bado yupo hai eeeh
Yupo mzima, ingawa nayeye alishazinguana na bosi wake huko nyuma akahamishwa hamishwa idara na kutolewa jeshini.
Na kabarebe aliwai kuwa CDF hapo Congo kipindi kabila seniour alipomuondoa mobutu.
 
Kagame na genge lake wanahusika moja kwa moja na ile genocide ya 1994,, nashangaa kwanini hawakufunguliwa mashtaka kule arusha,, au kwa kuwa wao ndio wameshika dola Rwanda.
 
Hatari sana. Lakini kwanini Lagame yupo vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…