Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni


Thanks mdau,mimi nasoma computer science katika moja ya vyuo vyetu hapa bongo ni aibu tupu.
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
as long as hawa jamaa wako madarakani,hakuna anayeweza kuniaminisha eti tuko safe kwenye mfumo wa mawasiliano.Nachojua tuko safe kwa sababu tumewaachia rasilimali zetu wajichumie ndio maana tunajidanganya
 
hack the hackerbe a whitye grey or black ts your choice....is Tanzania ina hacking envi...or we wait to be hacked by the USA.?
 
Taarifa zote sensitive zinatumia coded language.
 

Kumbe one ulimomunu go!kutiki waongela go?
 
Duh ... Haya tena, kama unadhani mlango wako umefungwa, wazee wa kazi wanakuchungulia na kujua kila kitu unachoangalia na ulicho nacho, ufumbuzi ni nini? Usiwachokoze kwa kuwaingilia kwenye anga zao ...
 
Umesoma recent hack ya gari inaitwa Tesla jamaa wanaiingilia kupitia wifi?sasa kuna laptop siku hizi haina Wifi? Kama kuna firmware kwenye disk ina maana hiyo firm ware inauwezo wa kuswitch on wifi kwa hiyo na ika hook up wireless network ambayo ipo umbali wa mita kadhaa.. Usiseme hakuna sema sijuiii
 
Hoja kwa hoja nimeendelea kuzisoma najifunza
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
Jamaa amesema NSA wamechomeka vitu flani kwa harddisk za computer kutoka USA. Hata china huenda wanafanya hivyo. Sasa tupo safe kivipi? TISS au JWTZ hawatumii computer...au wanatumia zilizotengenezwa Tanzania?
 
As long as the device is Connected to the Internet, they can track you anywhere on the planet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…