Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

Government ijaribu kutunyanyua wana tech ili kuja kusuka mifumo salama ya mawasiliano yani tuagize tu vifaa nje but circuit nzima isukwe apa kama pc au hata mobile zinazotumiwa ni viongozi mfumo wa vyuo vya tech ubadilishwe pia badala ya kusoma installation na maintenance tuanze kusoma production and design Hapo wataalamu bora watapatikana kwenye technology tuondoe siasa habari za kubebana kindungu tuziache kwenye mambo ya procurement hapa tuchukue greater thinker...All in all mbabe wa technology ndo anatawala dunia

Thanks mdau,mimi nasoma computer science katika moja ya vyuo vyetu hapa bongo ni aibu tupu.
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
as long as hawa jamaa wako madarakani,hakuna anayeweza kuniaminisha eti tuko safe kwenye mfumo wa mawasiliano.Nachojua tuko safe kwa sababu tumewaachia rasilimali zetu wajichumie ndio maana tunajidanganya
 
hack the hackerbe a whitye grey or black ts your choice....is Tanzania ina hacking envi...or we wait to be hacked by the USA.?
 
Huwezi kuwa safe kama unatumia products za Huawei. Watu wana-focus only kwenye mashirika ya Magharibi lakini ukweli ni kwamba China kupitia Huawei anafanya ujasusi wa hali ya juu. Vifaa vinaingia na hakuna mtu anayevikagua kutambua chips zilizowekwa purposely kwa ajili ya kurekodi digital files.

Serikali ime-focus kupeleka vijana kusomea mambo ya mafuta lakini wanasahau kupeka vijana kusomea information security. Je hao wataalamu wa mafuta wataweza ku-protect info zinazohusiana na uchimbaji hadi uuzaji wa mafuta? Fuatilia Stuxnet ujuwe watu walivyo-advance kwenye cyber warfare.

Kumbe one ulimomunu go!kutiki waongela go?
 
Duh ... Haya tena, kama unadhani mlango wako umefungwa, wazee wa kazi wanakuchungulia na kujua kila kitu unachoangalia na ulicho nacho, ufumbuzi ni nini? Usiwachokoze kwa kuwaingilia kwenye anga zao ...
 
Mhh hii kitu ipo technical sana..Niulize NSA wanatumia teknolojia gani kutransmitt hizo data ktk kwenye hard drive??sababu kuweza kufanya surveillance kama hyo unahitaji kifaa unachochunguza kuwa na uwezo wa kuwasiliana back n forth.Bila kuwa na Bluetooth,infrared,Data access yaani internet computer yoyote haiwezi kutransmitt data.IT'S A HOAX NO SUCH FIRMWARE EXISTS!!
Umesoma recent hack ya gari inaitwa Tesla jamaa wanaiingilia kupitia wifi?sasa kuna laptop siku hizi haina Wifi? Kama kuna firmware kwenye disk ina maana hiyo firm ware inauwezo wa kuswitch on wifi kwa hiyo na ika hook up wireless network ambayo ipo umbali wa mita kadhaa.. Usiseme hakuna sema sijuiii
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
Jamaa amesema NSA wamechomeka vitu flani kwa harddisk za computer kutoka USA. Hata china huenda wanafanya hivyo. Sasa tupo safe kivipi? TISS au JWTZ hawatumii computer...au wanatumia zilizotengenezwa Tanzania?
 
Mhh hii kitu ipo technical sana..Niulize NSA wanatumia teknolojia gani kutransmitt hizo data ktk kwenye hard drive??sababu kuweza kufanya surveillance kama hyo unahitaji kifaa unachochunguza kuwa na uwezo wa kuwasiliana back n forth.Bila kuwa na Bluetooth,infrared,Data access yaani internet computer yoyote haiwezi kutransmitt data.IT'S A HOAX NO SUCH FIRMWARE EXISTS!!
As long as the device is Connected to the Internet, they can track you anywhere on the planet.
 
Back
Top Bottom