Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
situmii ten hard disk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Government ijaribu kutunyanyua wana tech ili kuja kusuka mifumo salama ya mawasiliano yani tuagize tu vifaa nje but circuit nzima isukwe apa kama pc au hata mobile zinazotumiwa ni viongozi mfumo wa vyuo vya tech ubadilishwe pia badala ya kusoma installation na maintenance tuanze kusoma production and design Hapo wataalamu bora watapatikana kwenye technology tuondoe siasa habari za kubebana kindungu tuziache kwenye mambo ya procurement hapa tuchukue greater thinker...All in all mbabe wa technology ndo anatawala dunia
situmii ten hard disk.
as long as hawa jamaa wako madarakani,hakuna anayeweza kuniaminisha eti tuko safe kwenye mfumo wa mawasiliano.Nachojua tuko safe kwa sababu tumewaachia rasilimali zetu wajichumie ndio maana tunajidanganyaNatamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
Huwezi kuwa safe kama unatumia products za Huawei. Watu wana-focus only kwenye mashirika ya Magharibi lakini ukweli ni kwamba China kupitia Huawei anafanya ujasusi wa hali ya juu. Vifaa vinaingia na hakuna mtu anayevikagua kutambua chips zilizowekwa purposely kwa ajili ya kurekodi digital files.
Serikali ime-focus kupeleka vijana kusomea mambo ya mafuta lakini wanasahau kupeka vijana kusomea information security. Je hao wataalamu wa mafuta wataweza ku-protect info zinazohusiana na uchimbaji hadi uuzaji wa mafuta? Fuatilia Stuxnet ujuwe watu walivyo-advance kwenye cyber warfare.
Umesoma recent hack ya gari inaitwa Tesla jamaa wanaiingilia kupitia wifi?sasa kuna laptop siku hizi haina Wifi? Kama kuna firmware kwenye disk ina maana hiyo firm ware inauwezo wa kuswitch on wifi kwa hiyo na ika hook up wireless network ambayo ipo umbali wa mita kadhaa.. Usiseme hakuna sema sijuiiiMhh hii kitu ipo technical sana..Niulize NSA wanatumia teknolojia gani kutransmitt hizo data ktk kwenye hard drive??sababu kuweza kufanya surveillance kama hyo unahitaji kifaa unachochunguza kuwa na uwezo wa kuwasiliana back n forth.Bila kuwa na Bluetooth,infrared,Data access yaani internet computer yoyote haiwezi kutransmitt data.IT'S A HOAX NO SUCH FIRMWARE EXISTS!!
Unamaanisha S.L.P !!TISS wana mfumo wao wa peke yao wa mawasiliano ngoja niishie hapa.but we are safe
DuhMfumo gani ata komputer wanazotumia hawajui zimetokea wapi na zimetengenezwa na kampuni gani! Labda gud things CIA hawana cha mhimu cha kuchukua kwetu.
Jamaa amesema NSA wamechomeka vitu flani kwa harddisk za computer kutoka USA. Hata china huenda wanafanya hivyo. Sasa tupo safe kivipi? TISS au JWTZ hawatumii computer...au wanatumia zilizotengenezwa Tanzania?Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
As long as the device is Connected to the Internet, they can track you anywhere on the planet.Mhh hii kitu ipo technical sana..Niulize NSA wanatumia teknolojia gani kutransmitt hizo data ktk kwenye hard drive??sababu kuweza kufanya surveillance kama hyo unahitaji kifaa unachochunguza kuwa na uwezo wa kuwasiliana back n forth.Bila kuwa na Bluetooth,infrared,Data access yaani internet computer yoyote haiwezi kutransmitt data.IT'S A HOAX NO SUCH FIRMWARE EXISTS!!
Lenovo, hp, Dell,Sio kila kitu lzm ubishe
Wewe unajua TISS wanatumia computer brand gn?
kua mzalendo acha maneno ya ajabukama wameweza kumpekuwa rais wa brazil, kansela wa Ugerumani watashindwaje kwa tanzania ambayo mambo yake mengi yako Hovyo.
TISS wana mfumo wao wa peke yao wa mawasiliano ngoja niishie hapa.but we are safe
Unataka uzalendo Au ukweli?kua mzalendo acha maneno ya ajabu