Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

Wabongo ndio tukipata Mimba twajifungia ndani, ikitokea tumetoka nje basi mtu ajifunika gubi gubi asionwe,

Jibu la Swali lako: anaenda kazini.
Dah.....ushahidi #1 kuwa ulijig kavuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaan anazurura Rihana uko USA alafu unachoka wewe uliopo mavumbini, dunia ina vituko sana
 
Mwenzako anafanya mazoezi..msimuone mjinga yule
 
Ile mimba kwa mapaparazi ni pesa[emoji1787][emoji1787], sie tumbee vile mtaani tutaambiw mashart ya mganga au tunapigwa zongo
 
Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana.

Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti.

Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔

Kwa kweli nimechoka kila siku kumuona yeye tu na ajifungue apumzike na sisi pia tupumzike.

Kila siku kitumbo jujuu kama yeye ndo wa kwanza kupata mimba hapa duniani... ✍️View attachment 2175940View attachment 2175941View attachment 2175942View attachment 2175943
New Billionaire
 
Rihanna Kwa sasa ana umri wa miaka 34, baada ya kufanya kazi ya kutafuta pesa Kwa bidii na kwa muda mrefu mpaka kufikia kuwa bilionea, nadhani sasa amejiandaa kulea

Rihanna amechagua wa kuzaa nae, amechagua muda wa kuzaa, na anaenjoy Mimba yake,yote afanyayo Kwa sasa ni Kwa sababu anafurahia kuja kuitwa Mama

Turudi kwetu, wadada wengi wanapata mimba wakiwa hawana mbele wala nyuma,wanazaa na watu wasio chaguo Lao,wanapata mimba wakiwa ktk umri mdogo, hivo ni ngumu kukuta mdada anafurahia Mimba yake zaidi ya malalamiko Tu

Ukikuta mtu amepata Mimba ktk wakati sahihi na mtu sahihi lazima utamuona Tu vile anaenjoy kuwa na Mimba, tofauti ni kwamba hawezi kutembea tumbo wazi km Rihanna kutokana na mila zetu ila ukimuona tu unajua huyu anaenjoy, kwahiyo Mleta mada we achana nae tu huyo kwani anafanya kwa Raha zake
Well said...
 
Back
Top Bottom