Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

Kweli kabisa[emoji106]
 
*Tofari 5000×1500= 7, 500, 000Tsh

*kokoto na mchanga=2, 000, 000Tsh

*Nondo 100×25000=2, 500, 000Tsh

*ciement mifuko 200×15000=3, 000, 000Ts

*Mabati 80(Gauge 28)
75×33000= 2, 640, 000 Tsh

* mbao= 3, 100, 000Tsh

*madirisha na milango (complete)=
16, 000, 000Tsh

*Tiles +gypsum+rangi=
7, 000, 000Tsh

*maji(pamoja na masinki ya jikoni, chooni) + umeme= 7, 000, 000Tsh

*maitaji madogo madogo
1, 000, 000Tsh
* ufundi Tsh. 10, 000, 000/=


Jumla Tsh 60, 000, 000/=
 
Hapo juu[emoji115] Tena nmesahau pia

-gharama za kufunga mifumo ya SIMU (TTCL) ofisini,

-gharama za KUFUNGA mifumo ya INTERNET (WAN) ofisini.

-gharama za AIR CONDITION ofisini.

-gharama za CCTV camera.

-gharama za Electric fence.

Hapo unaongelea sio chini ya 10mil lazima ikatike tena..
 
Hebu lete mchanganuo wako mkuu.

Yaani
Hiyo hiyo mifuko 200 ya simenti ndo hiyo hiyo

-Ujengee msingi.
-umwagie jamvi
-uinulie kuta mpaka juu
-ujengee SHIMO la choo na kufunika na mfuniko wa zege
-umwage linta
-upige lipu
-upige rough floor
-ubandikie tiles sakafuni na ukutani kuanzia chooni,vyumbani mpaka kuta za nje.

AISEE,
HEBU KUA SIRIASI BASI MKUU [emoji851]
 
Hebu lete huo mchanganuo wa tilez za millioni 7 nyumba Kama hii.

Aisee Kuna watu mnachekesha Sana[emoji1]
 
Fake hesabu
 
Hivi ukiizunguka nyumba unaweza kujua hiyo Bati ni gauge ngapi?
 
Hebu lete huo mchanganuo wa tilez za millioni 7 nyumba Kama hii.

Aisee Kuna watu mnachekesha Sana[emoji1]
Jamaa mwongo sana hata kama ni nyumba yako kwa hesabu zake ni za uwongo zote kuanzia nondo mpaka mwisho sina
Ujenzi jaman ni changamoto sana na pia nyumba za raia nyingi zipo chini ya viwango
 
Ofisi nyeti Kama hii haiwezi kukosa Underground bunker au STRONG vault.

Hizi gharama naona Ni halisi.
Mkuu hazina hayo makitu unayosema. Hiyo ofisi wilaya flani imejengwa karibu na kwangu hazizidi mita 15 na fundi aliyekuja kujenga akachukua na mafundi wa mtaani wasaidie kujenga. Hizo ofisi zimejengwa kwa material ya kawaida.
 
Hakuna cctv wala viyoyozi Mh. Rais yupo sawa.
 
Mkuu hazina hayo makitu unayosema. Hiyo ofisi wilaya flani imejengwa karibu na kwangu hazizidi mita 15 na fundi aliyekuja kujenga akachukua na mafundi wa mtaani wasaidie kujenga. Hizo ofisi zimejengwa kwa material ya kawaida.
Sawa ila kwenye 90m itaenda tu
 
Msisahau na contractor lazime aweke faida yake hapo kama 30% ya gharama za nyumba yenyewe, msipige mahesahu ya material na mafundi wenu vinega
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…