Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mkuu kwani hapo kimetumika kitu gani kupaua?Naona watu wanaosema kupaua mil 10 finishing mil 15 hawajui maana yake. Labda wanazungumzia za uswahilini
Si ni hizi hizi mbao za kutoka iringa na mabati yenyewe hayo si ndio haya haya tunahopaulia huku mtaani?