Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

Sheria ya manunuzi imekufa??? siioni wapi procurement imefanyika, tuendako ni kugumu.

Watu kama ninyi hatuwataki hii nchi, raisi wa JMTZ yuko juu ya Sheria, kama hautaki hama nchi au kunywa sumu!
Mradi utaendelea, utakamilika na Watanzania kunufaika nao, mambo yako ya Sheria mtafute Tundu lisu mkajadiliane huko sisi tunataka nyumba za kuishi na ndio muhimu kwetu!
 
Sheria ya manunuzi imekufa??? siioni wapi procurement imefanyika, tuendako ni kugumu.
Hakuna cha sheria ya manunuzi wala nini. Jana kawaambia bandari waende Google search wakaangalie mashine za kukagua mizigo wanunue.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hii ni awamu ya utekelezaji, porojo tunawaachia ukiwa!
 
unajua maana ya agency mzee, nenda kasome sharia ya mikataba au contract law ndio utajua ni maana ya agency
Ninafahamu kwa kiasi contract law. Maana ya agency kwenye sheria sio kama inavyotumika kwa wakala wa serikali. Inapokuwa wakala wa serikali inakuwa kama extended arm ya serikali
 
Watu kama ninyi hatuwataki hii nchi, raisi wa JMTZ yuko juu ya Sheria, kama hautaki hama nchi au kunywa sumu!
Mradi utaendelea, utakamilika na Watanzania kunufaika nao, mambo yako ya Sheria mtafute Tundu lisu mkajadiliane huko sisi tunataka nyumba za kuishi na ndio muhimu kwetu!
wewe kushinda hapo Lumumba kwenye corridor na kilaptop chako used unapost upuuzi unajiona una haki kuliko wengine, Mimi ni mtaalamu mbobezi naweza kwenda Fanya kazi nchi yoyote siyo kama wewe unategemea kulipwa buku 7 na sendaka
 
Wenye wivu wajinyonge mama wenye wivu wajinuonge in diamondz voice...
 
wewe kushinda hapo Lumumba kwenye corridor na kilaptop chako used unapost upuuzi unajiona una haki kuliko wengine, Mimi ni mtaalamu mbobezi naweza kwenda Fanya kazi nchi yoyote siyo kama wewe unategemea kulipwa buku 7 na sendaka

Hahah mtaalamu huwa hajisemi!
 
Nijuavyo mimi kuna 'emergency' procurement kwa situation kama hiyo uliyoitaja hapo juu, na zaidi method inayotumika kwenye nature ya namna hiyo ni 'single source procurement', na hiyo ina procedure zake nenda kwenye msaafu utakuta vifungu kwenye sheria za manunuzi utaikuta, nayo haiko bwerere ina utaratibu wake wa kutosha ki emergency hivyo hivyo. PPRA hawakuachi bure bila kukamilisha hizo taratibu ndugu.
Mie nimekupa utaratibu ambao wahandisi hutumia!Na mie ni shuhuda wa huo mfumo
 
TBA ni agency ya serikali, ndio kusema serikali ina internal capacity kujenga mradi huo, so hakuna issue ya procurement
Jambo la msingi,kama wameamua 4G, tenda za mwendo kasi, wajenge majengo yenye ubora na yatakayohimili tetemeko la ardhi kama lile la Bukoba.
 
Hii nchi haina priorities
Mkuu hebu tusaidie ni priority ipi ungeitoa wewe badala ya hizo nyumba endapo ungekuwa wewe ndio jpm?maana hata hiyo nayo ni moja ya priorities.
 
Sheria ya manunuzi imekufa??? siioni wapi procurement imefanyika, tuendako ni kugumu.
Kwa taarifa yako TBA NI taasisi ya serikali ambayo kazi yake NI kujenga nyumba,na ndio wanaojenga hostel pale mlimani.
 
Back
Top Bottom