Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

Ujenzi maghorofa ya Magomeni kuanza. TBA waahidi kuukamilisha kwa wakati

Hii speed ya mjomba sio mchezo ..kamua kamua...
 
Ninafahamu kwa kiasi contract law. Maana ya agency kwenye sheria sio kama inavyotumika kwa wakala wa serikali. Inapokuwa wakala wa serikali inakuwa kama extended arm ya serikali
okay ni hivi serikali ni principal hlfu TBA ni agency, kwhy serikali imedelegate power kwa agency ambae ndio TBA, kwhy TBA ndio ana-act kama client, pia ukisoma sharia ya manunuzi utaona instutite yeyete ya serikali au public entity inapaswa kuifuta sharia ya manunuzi , lakini sharia hiyo imeenda mbali na kuruhusu PE yeyto kuwa consultant kama ina uwezo huo, sasa kaka sijui umeleeewa
 
hakika ili ni pigo kwa chadema na wana viherehere....
 
mipunga imekata walijua kuendesha nchi ni kama kuendesha tingatinga
 
basi punguza unafiki na nenda site sio kuhukumu ukiwa nyuma ya keyboard kama Manyumbu ya Ufipa
nimepita site punde nimeona kama palivyo siku zote kuna milima ya mchanga bila ya harakati zozote za ujenzi.. kimsingi ndio njia ninayopita
 
Ile sehemu ni nzuri sana panatakiwa jengwa vitu vya maana pale
 
Naujua vizuri ule mradi....huo mchanga mnauona kila mkipita ni machimbo ya basements so ujenzi unaendelea kama kawaida............TUACHE UNAFIKI
 

Attachments

  • 16797139_1270681826351078_4148921119416339692_o.jpg
    16797139_1270681826351078_4148921119416339692_o.jpg
    128.6 KB · Views: 41
Si watajenga TBA? acha basi kwanza hiyo 'keshokutwa' ifike ili wakitoka hosteli za UDSM ndipo wahamie hapo!
 
nyumba za magomeni mlizoahidiwa na SIZONJE zimebuma...
hakuna ujenzi unaoendelea. na wananchi mlitegemea mkae hapo miaka mitano bureeee.
kumbe ilikuwa zuga tu hakuna cha ujenzi pale ni mashimo tu yamebakia.
 
MKULU UKO WAPI....
HEBU FATILIA HII KITU MAANA NASKIA PALE UKIPITA NI MASHIMO TU HAKUNA KINACHOENDELEA.
SIKU HAZIGANDI MKULU...
UTAKUJA TAHAMAKI ASUBUHI HII.. WANANCHI WANAULIZA NYUMBA ULIZOWAAHIDI ZIKO WAPIII??
 
Back
Top Bottom